nimetapeliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. lord commander

    Nilijiona mjanja kumbe mjinga tu, hatimaye leo nimetapeliwa

    LEO BORN TOWN NIMETAPELIWA/NIMEIBIWA, SIJUI ILIKUWAJE, NIMEBAKI NAJICHEKA TU. Basi bhana leo jumapili ya tarehe 17-03-2024 nikaamka zangu maghetoni nikasema wacha nikanunue boxer kabwe, nikachukua zangu tsh 30,000/= nikaweka mfukoni nikabeba begi langu nimenunua juzi buku 23 nikaliweka...
  2. Protector

    Jinsi Nilivyotapeliwa Kijinga Sana, Nimejifunza

    Mida ya saa 5 asubuhi simu yangu inaita, kuangalia ni namba mpya nikapokea. Hallo, upande wa pili ukaitika, naongea na fulani? (akataja jina langu), nikajibu ndiyo. Unaongea na huduma kwa wateja kutoka Benki tunafanya maboresho kwenye account yako ya benki, hii namba naoma ndiyo imesajiliwa na...
  3. APPROXIMATELY

    Leo hii nimetapeliwa

    Daaaah sona habari na nyiee... Nimetapeliwa 15000,hii ela siningekunywa zangu beer hata 5.
  4. P

    Nimetapeliwa zaidi ya Tsh. 45,000,000 kwa kuuziwa kiwanja feki

    Haya mambo yasikie tu. Nina siku ya nne leo tangu nigundue kwamba nimepigwa, hata kula vizuri siwezi, nawaonea wivu wenzangu walionunua maeneo madogo kwa bei za 15m kushuka chini. Naona hasara yao ni ndogo kuliko yangu.
  5. Komeo Lachuma

    Huyu dada kanitapeli Tsh. 1,500 siku yangu imeharibika kabisa, sina hata raha

    Huyu dada nilionana naye Hotel Flani Arusha tukawa marafiki. Ana issues nyingi sana sana za kusafiri kwenda Dubai n.k ni lidada hasa la ukweli aisee, toka kanda ya Ziwa huko. tukawa karibu na kadhalika. Leo asubuhi kaniambia ameishiwa vocha nimtumie some amount nikamwambia nipo ofisini sina...
  6. Zee Korofi

    Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

    Khali gani JF, wanamfungo nawatakia ufungaji mwema, Jana nimenusurika kuitiwa mwizi na huyu dada. Niliyemuamini sanaaa, na niliyemheshimu sana. Alikuja analia nimkope 40k, card yake ya bank ili crack na home walimuambia after 4 days watamtumia hela. Nikatoa 50k kwa bahati mbaya mfukoni wakati...
Back
Top Bottom