Mwanamke mwenye furaha huleta baraka ndani

APPROXIMATELY

JF-Expert Member
Aug 10, 2021
2,035
2,682
Habari za kwenu??

Ili uwe na amani mda wote,hii inajumuisha wote walio ndani ya ndoa au walio na mahusiano ya kimapenzi.

Mwanamke anaweza kukufanya ukaonekana kidume mbele ya jamii,pia anaweza kukufanya ukaonekana kituko na jamii.

Mwanamke mwenye furaha huleta baraka ndani,ndo maana unaweza kuta mwanaume baada ya kuoa mafanikio yamekuwa makubwa zaidi alivyokuwa bachelor,pia hivyo hivyo vice versa kote kote inahusika.

Malaika wa baraka wapo kwa mwanamke mwenye furaha,vicheko ndani usafisha mioyo.

Epuka mwanamke mwenye visa,kila mda anakuwazia hasi tu,naongea haya kutokana na experience niliyoipata kwa dada zetu hawa.

Wanawake MUNGU amewajalia sana baraka,ndo maana leo hii unaweza kukutana naye maskini lakini baada ya miaka kadhaa utaamini macho yako.

Mwanamke ni kama shamba tujitahidi kuchagua shamba lenye rutuba nyingi ili mazao yetu yakuwe mengi,na kama halina rutuba tuliongezee mbolea.

Unaambiwa ukiona mwanaume anamafanikio kaa ukijua nyuma yake kuna mwanamke hodari.

Ila mwanamke ni kiumbe hatari sana,kinaweza kukuchanganya na kukuhalibia kabisa maisha yako,kwenye kuchagua tujitahidi kuwa makini,tusije kuangukia kwenye moto.
Hii naitoa kwenye my experience..
APPROXIMATELY...
 
Kijana, ukiwa na akili timamu…. ukiweza USIOE.
Hebu imagine hustle zako zote halafu unaambiwa mwanamke ndiye anaamua furaha yako na maisha yako, hell no maafakaaa.!!
 
Habari za kwenu??

Ili uwe na amani mda wote,hii inajumuisha wote walio ndani ya ndoa au walio na mahusiano ya kimapenzi.

Mwanamke anaweza kukufanya ukaonekana kidume mbele ya jamii,pia anaweza kukufanya ukaonekana kituko na jamii.

Mwanamke mwenye furaha huleta baraka ndani,ndo maana unaweza kuta mwanaume baada ya kuoa mafanikio yamekuwa makubwa zaidi alivyokuwa bachelor,pia hivyo hivyo vice versa kote kote inahusika.

Malaika wa baraka wapo kwa mwanamke mwenye furaha,vicheko ndani usafisha mioyo.

Epuka mwanamke mwenye visa,kila mda anakuwazia hasi tu,naongea haya kutokana na experience niliyoipata kwa dada zetu hawa.

Wanawake MUNGU amewajalia sana baraka,ndo maana leo hii unaweza kukutana naye maskini lakini baada ya miaka kadhaa utaamini macho yako.

Mwanamke ni kama shamba tujitahidi kuchagua shamba lenye rutuba nyingi ili mazao yetu yakuwe mengi,na kama halina rutuba tuliongezee mbolea.

Unaambiwa ukiona mwanaume anamafanikio kaa ukijua nyuma yake kuna mwanamke hodari.

Ila mwanamke ni kiumbe hatari sana,kinaweza kukuchanganya na kukuhalibia kabisa maisha yako,kwenye kuchagua tujitahidi kuwa makini,tusije kuangukia kwenye moto.
Hii naitoa kwenye my experience..
APPROXIMATELY...
Naunga hoja,uko sahihi.
 
Mwanamke anakua na furaha baraka zinapokuwepo ndan( pesa) atakuaje na furaha ili alete baraka ( pesa) wakati bila pesa hawezi kuwa na furaha?
 
Wake zenu wenyewe furaha watoe wapi?

Mmeshavunja na kuharibu mioyo yao kwa kukosa uaminifu..............

Matokeo yake anaomba msifanikiwe ili "utulie"

Ni mfano tu nimetoa....... napita
 
Back
Top Bottom