Search results

  1. T

    Afisa Utumishi Wilaya Songwe ni jipu

    Afisa utumishi ana nyodo vibaya na kujiona vibaya hivi serikali inawatoaga wapi hawa? 1. Kazi ya kufanya siku 2 au tatu yeye anafanya mwezi mzima. 2. Kuna wafanyakazi hawakuandishwa madaraja kwa sababu ya uzembe wake. 3. Ni mtu ambaye hajali watumishi ana wahudumi anao wajua tu. 4. Kuna...
  2. T

    Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

    Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist...
  3. T

    Profesa Kitila Mkumbo kamaliza kuhusu elimu Tanzania

    Pro kitila leo kamwaga nondo za kufa mtu ushauri wake serikali ikiuzingatia tutafika mbali sana. Ukianza na degree ya ualimu iwe miaka minne for freshers Yaaani form six na diploma iwe miaka 3 ni wazo zuri kwanza itandoa mrundikano wa wanaopanga foreni kusubiria ajira kwani miaka itakuwa mingi...
  4. T

    Afisa elimu sekondari Songwe huko kwenye semina ya sensa zingatia yafuatayo

    Huyu mheshimiwa ndio amebaki wilaya ya Songwe baada ya God father wake kupelekwa Tabora. Watu wa Tabora chukueni tahadhari zote kuwania ameanza kuwahamisha watumishi wake vipenzia aliokuwa anafanya kazi nao mkoa wa Songwe kuwahamishia Tabora. Muwe makini hawachelewi kujazana maofisi huko...
  5. T

    Mkoa Songwe bila connection hutoboi

    Kila kitu ni connection, ni mkoa ambao jiographia yake ipo kinyume sana na mkoa tukutu sina hakika vipaumbele vyake nini? Mfano kuna mtu anaitwa kaponda amejaza mademu zake kuwa kuwa wakuuu wa shule na maafisa taaaluma. Kuna jamaaa mmoja anaitwa kafulila alikuja kufanya kazi mkoaaa huuu kama...
  6. T

    Ngoja tuzisubiri hizo pesa IMF tuzipige kama kawa

    Nasikia serikali imepata fedha kutoka Imf kwa ajili ya ujenzi wa majengo madarasa ni vizuri lakini kwa mkoa wa Songwe najua wanafunzi wanaitaji kujiunga kidato cha kwanza mwakani ni wa chache sana kutokana jamiii ya watu wasivyothamini shule. Shuleina form one mpk 4 ina wanafunzi 78. Pia...
  7. T

    Hivi kwanini tovuti ya wizara elimu haifanyi kazi na haipo kabisa?

    Kuna kitu kimoja nimekuwa najiuliza kwa mda mrefu hivi kwanini tovuti ya wizara ya elimu tanzania kwanini haifanyi kazi? Kuna nini wanaficha? Hii wizara ilikuwa active for past years lakini baada ya kuingia ndalixhaxko tumona hakuna updates yeyote ambayo unaweza ukaipata kutoka tovuti ya...
  8. T

    Maafisa Uhamiaji walioko mkoani Sumbwawanga(Kanongo) wanaongoza kwa kuwadhulumu wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi

    Maafisa uhamiaji mkoani Sumbawanga (Kanongo) wanaongoza kwa kuchukua rushwa na kuwasumbua wageni wanaopita kwenda nje ya Nchi. Leo nikiwa kwenye gari nimeshuhudia wakongo mani waliokuwa na vibali vyote kupita nchini Malawi wakisumbuliwa na kulipishwa fedha nyingi dola 300 kila mmoja...
  9. T

    Walimu wapya Wilaya ya Mbinga hatujapata mishahara, Waziri Jafo tuaomba ushughulikie hili

    Waalimu walioanza kazi mwezi wa 12 mwaka jana wilaya ya mbinga hatujapatamshahara, ukiwauliza wahusika wanakuambia hawajatuma majina yetu mwezi uliopita tulipewa lakini haikubainika wazi kama ilikuwa ni pesa ya kujikimu au mshahara, tunaomba mamlaka zinazohusika ziweze kufuatilia kwani hali ni...
  10. T

    Hivi Serikali itatoa ajira kwa usawa?

    Jamani wanajamvi, Nilikuwa nauliza tu ni lini serikali itatoa ajira za waalimu maanake zile 5000 zimetolewa kwa connection na rushwa nyingi. Lkn tumaini langu ni kuanzishwa kwa somo la historia nina imani wengi tutaajiriwa. Viongozi wetu waache kutuona sisi kama mazombi, nasi tuna haki ya...
  11. T

    Maswali ya papo kwa papo kwa Waziri Mkuu yana mambo mengi ya kujiuliza

    Vijana kama vijana tunasakamwa kila kona.Ukianzia nyumbani hapasomeki, wazazi wakati mwingine wanakuona kama mzigo, ukija kwa watengeneza sera wa nchi ndo balaaa! Viongozi wetu balaaa kubwa.Mara hatuwezi kuweka hata mbolea! Kazi kushinda mitandaoni ohh!? Mara kazi kuvuta shisha.wakati tunakua...
  12. T

    Tukilalamika sisi tunaambiwa tunalitunalia

    Maisha na kazi za kujuana, ipo siku mtajutia nafasi hizo mnazo peana kwa kile kinacho itwa connection. Acheni MUNGU abaki kuwa MUNGU ipo siku atatukumbuka na sisi tusio na chochote na Wala hakuna tumjue huku juu. Kumbukeni hata sisi tunahitaji kuishi Kama nyinyi. Ngoja tulime tuwaletee vyakula...
  13. T

    Walimu wapya tumesahaulika

    Ni zaidi ya miezi miwili tangu turipoti vituo vipya kazi. Lakini kuanzia muda huo maisha yamekuwa hayaeleweki tuko kazini kifikra lakini kiakili mawazo yako mbali. Mshahara hakuna haukuotoka, Pamoja na mheshimiwa Jafo kuziambia halmashauri zitoe hela ya kujikimu bado kimya mpaka sasa, sipati...
  14. T

    Walimu wapya walioripoti makazini Halmashauri ya Mbinga wahenyeshwa

    Walimu walioripoti vituo vyao vipya vya kazi kuanzia tarehe 1 mpaka 14 Desemba katika Halmashauri Ya Mji wa Mbinga wameendelea kupata shida huku wakiwa hawajui hatima yao. Mpaka sasa hawajapewa fedha yao ya kujikimu na wameendelea kusumbuliwa bila kujua hatma yao. Wenzao wa wilaya ya mbinga...
  15. T

    Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo

    Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo. 1. Haiwezekani jina la mtu aliye ajiriwa kujirudia zaidi ya Mara 195 alafu wasingizie kuwa ni tatizo la kiufundi. 2. Haiwezekani mtu aliyemaliza form 4 mwaka 2019 kuajiriwa alafu wasingizie kuwa mfumo ulikuwa hauruhusu ku edit...
  16. T

    Rushwa imeifikisha pabaya TAMISEMI. Je, hawa viongozi wanaoiongoza wanapaswa kuwepo hapo?

    Barua ya wazi kwa sekretarieti ya ajira na TAMISEMI Ndg, Viongozi wenye dhamana inayohusiana na AJIRA hususani Ajira za ualimu Mimi kama Mtanzania wa kawaida mwenye akili timamu na ambae pia ni Mdau wa ELIMU Naiomba Ofisi yako iweze kutoa ufafanuzi kuhusu baadhi ya majina ya waajiriwa wa Kada...
  17. T

    Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

    Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700,000 mpaka 1,000,000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza. Inawezekana mtu au...
  18. T

    Ajira za waalimu zimetoka au magumashi yanaendelea?

    Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la...
  19. T

    Zile ajira za walimu 13,000 zimeyeyukia wapi?

    Mwezi wa 9 serikali ilitangaza ajira za waalimu zipatazo 13,000. Lakini mpaka sasa hakuna kitu chochote kinachoendelea TAMISEMI imekumbwa na nini. Zimebaki siku 4 hakuna mtumaini yeyote na uchaguzi ukishappita tusitegemee ajira kutoka serikalini wakati zikiwa zinebaki siku 3 watu wapige...
  20. T

    Jamani naombeni msaada wa haraka sijasubmit maombi yangu ya otes

    Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form...
Back
Top Bottom