Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

Rushwa nje nje, Serikali litupie jicho hili

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
199
Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700,000 mpaka 1,000,000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.

Inawezekana mtu au watu wanaofanya hivi wakawa na connection na wafanyakazi wasio waaminifu wa TAMISEMI. Nimewahi kushuhudia mwaka jana watu wakitoa milioni 2 mwaka jana katika kampuni moja ya kimataifa iitwayo SICPA ili wapate kazi na hayo yalifanywa na HR akishirikiana na ma-team leader wa kila kanda.

Sasa hayo mambo tena yanakuja katika serikali ni hatari kwa sababu najua wanafunzi wengi wa vyuo wanadaiwa na wamekomboa vyeti vyao kwa gharama hivyo kuwaongezea gharama nyingine za kutoa rushwa haina afya. Na wamedai hawatoi majina ili waendelee kuvuna pesa za sikuuu na mwaka mpya.

Kwa sheria ya JamiiForums inanizuia kuweka namba zao humu lakini ukija inbobo nakupatia namba. Nasikia wameanzisha kauli mbiu bila maji hulambia ajira na hivi ajira zenyewe hazina interview.
 
Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza...
TAKUKURU wana Ofisi kila Mkoa na hapo ulipo Dodoma ni Makao Makuu yao kwanini usiende haraka hapo 'ukaripoti' kuliko kuja 'Kutupasha' hapa?
 
Kumeibuka wimbi la matapeli dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa tamisemi wanaitaji sh700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kati na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza...
Mmmh, hivi hizi ajira mbona kama kuna magumashi jamani ila hapa kuna tatizo kwanini wakae kimya kiasi hiki! Poleni sana Watanzania wenzangu,
 
mmmh, hivi hizi ajira mbona kama kuna magumashi jamani ila hapa kuna tatizo kwanini wakae kimya kiasi hiki! Poleni sana Watanzania wenzangu,
Serikali haina pesa kama wanavyotaka kutuaminisha. ..................!!
 
mmmh, hivi hizi ajira mbona kama kuna magumashi jamani ila hapa kuna tatizo kwanini wakae kimya kiasi hiki! Poleni sana Watanzania wenzangu,
Wanaendelea kuzikusanya tuu wameshwapiga kuna waombaji zaidi ya laki kwahiyo mpaka wawamalize angalau nusu ndio watoe majina
 
Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.

Inawezekana mtu au watu wanaofannya hivi wakawa na connection na wafanyakazi wasio waaminifu wa TAMISEMI. Nimewahi kushuhudia mwaka jana watu wakitoa milioni 2 mwaka jana katika kamouni moja ya kimataifa iitwayo SICPA ili wapate kazi na hayo yalifanywa na HR akishirikiana na mateam leader wa kila kanda.

Sasa haxo mamba tena yanakuja katika serikali ni hatari kwa sababu najua wanafunzi wengi wa vyuo wanadaiwa na wamekomboa vyeti vyao kwa gharama hivyo kuwaongezea gharama nyingine za kutoa rushwa haina afya. Na wamedai hawatoi majina ili waendelee kuvuna pesa za sikuuu na mwaka mpya.kwa sheria ya jamii forum inanizuia kuweka namba zao humu lakini ukija inbobo nakupatia namba.
Hayo mambo yangeisha,kwa kuwepo kwa uhuru kamili wa habari,saudi ya happy tunadanganyana,na tunachochea haha tunayoimba kuyakataa,ila uhalisia tunayalea na kuyakuza kwa manufaa ya kundi la wachache waliovalia ngozi ya kondoo ilhali ni mbwa mwitu wakali.
 
Akienda huko atabambikizwa kesi mpaka zimtoke milioni ndio kesi ifutwe 😛 😛 😛 😛
Ina maana TAKUKURU ( PCCB ) hii ya Brigedia Mbungo imekuwa ya 'Kihuni' na 'hovyo hovyo' hivi? Nitakuwa wa mwisho 'Kuamini' hili Mkuu wangu.
 
Kumeibuka wimbi la matapeli Dodoma ambao wanajifanya wenyewe ni wafanyakazi wa TAMISEMI wanaitaji sh. 700000 mpaka 1000000 ili mwalimu alioomba nafasi aweze kupata kazi na kupangiwa mjini au hata kijijini na baadae watamtoa huko alipo lakini cha muhimu apate kwanza.

Inawezekana mtu au watu wanaofannya hivi wakawa na connection na wafanyakazi wasio waaminifu wa TAMISEMI. Nimewahi kushuhudia mwaka jana watu wakitoa milioni 2 mwaka jana katika kamouni moja ya kimataifa iitwayo SICPA ili wapate kazi na hayo yalifanywa na HR akishirikiana na mateam leader wa kila kanda.

Sasa haxo mamba tena yanakuja katika serikali ni hatari kwa sababu najua wanafunzi wengi wa vyuo wanadaiwa na wamekomboa vyeti vyao kwa gharama hivyo kuwaongezea gharama nyingine za kutoa rushwa haina afya. Na wamedai hawatoi majina ili waendelee kuvuna pesa za sikuuu na mwaka mpya.kwa sheria ya jamii forum inanizuia kuweka namba zao humu lakini ukija inbobo nakupatia namba.
Kuna matapeli pia msipende kuwaonea watu.Ajira au majina Toka muda mrefu mbona yalishafanyiwa kazi tu.Kilichobaki ni kuachiwa tu.Tusichafuane Watanzania.
 
Back
Top Bottom