Dkt. Msonde alistahili kuondolewa Baraza la Mitihani (NECTA)

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
199
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
 
Kuna vitu kwenye bandiko lako ni vya kufikirika sana
- Hakuna shule kutoka chato iliwahi kuongoza taifa, nasisitiza HAKUNA na haikuwahi kutokea. Ukitaka kuini nachosema taja hiyo shule na mwaka ilipoongiza kitaifa

- Mapungufu Kama mtendani huwa yapo, hata Sasa tukianza kutafuta kwa wengine waliopo sehemu zingine tutayapata. Je nao waondolewe? Hata Raisi ana mapungufu, naye aondolewe?

- Kuondolewa sioni shida sana maana hawezi kukaa hapo milele, Ila nakataa sababu ulizotoa
 
Acha uongo. Namba 2 ni uongo sababu ya wingi wa watahiniwa na idadi ya masomo, kuna watu wanaofanya hiyo kazi ya kuchagua wala sio yeye.
Namba 6 ilikuwepo toka zamani, yeye sio mwanzilishi.
Nafikiri hoja yako ni namba 6, acha Udini hauna faida kwenye maendeleo.
 
... umemstukia vizuri sana! Akili yake ndio hiyo; sijui mwakani atajitetea nini tena?
 
Kuna vitu kwenye bandiko lako ni vya kufikirika sana
- Hakuna shule kutoka chato iliwahi kuongoza taifa, nasisitiza HAKUNA na haikuwahi kutokea. Ukitaka kuini nachosema taja hiyo shule na mwaka ilipoongiza kitaifa

- Mapungufu Kama mtendani huwa yapo, hata Sasa tukianza kutafuta kwa wengine waliopo sehemu zingine tutayapata. Je nao waondolewe? Hata Raisi ana mapungufu, naye aondolewe?

- Kuondolewa sioni shida sana maana hawezi kukaa hapo milele, Ila nakataa sababu ulizotoa
Work smart not harder. Haiwezekani matokeo ya shule Div one Pt 7 O level zimemwagika vile . Huko Std seven kila mtu ana A zote . Form two kila mtu ana ma A yote mtihani UNAKOSA sifa ya kubagua lazima mtihani ubague ya should discriminate student accordingly. Naona chujio hakuna kuna nyavu za goli

Sent from my TECNO RC6 using JamiiForums mobile app
 
Huyo jamaa hakuwa na ueledi, shida hiyo taasis imesheheni ma Dr. Uchwara
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Bora ameondoka ni mbovu sn
 
Ndugu ww ni waajabu Sana.Kufuatilia tu scholarship yako ukagundua yeto hayo.Mm nilitegemea useme,kuwa alisababisha ukakosa scholarship.Lakin scholarship uliyokuwa unafuatilia haina uhusiano na Dr Msonde.Sijaelewa scholarship imeingia vip ,kuhusika na Dr Msonde.
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Lengo lako ni point No.6 na tunajua ndiyo iliyomuondoa hapo. Mitihani mnatunga na kusahihisha wenyewe, mlitaka yeye afànye nini ili mfaulu mtihani wenu?

Sent from my M2003J15SC using JamiiForums mobile app
 
Kwa bahati nzuri nilifika ofisini ya wizara ya elimu tena kipindi kile wizara ya elimu iko Magogoni (Obama) road nikifuatilia scholarship ya kwenda Russia masomoni ndipo nilipopamba na Mr Msonde kwa ukweli mtu mzuri ila kwa siku chache nilipokuwa nafuatili pale niligundua kama ni opportunist kama wengine.

Kwa sababu zifuatazo
1. Kutumika na wanasiasa tumeona wakati wa Magufuli akizitangaza shule za Chato kuongoza kitaifa na kuzusha maswali mengi juu ya weledi wake.

2. Kuamua kwamba wanaosahihisha mitihani hawatobadilishwa ni wale wale mpaka wastaaafu au wafe hii ni dosari kubwa sana katika utumishi wake pale NECTA, kwani watumishi wengine yaani waalimu wasingesahiisha mpaka wanastaafu.

3. Alileta mkanganyiko mkubwa sana kwenye mitihani iliopita baada ya maafisa elimu kupendekeza majina ya wasimamizi na yeye akateua wasimamizi kwa kuwatumiwa ujumbe kwenye simu.

4. Hata hii mitihani ya form six inayorndelea kuna walimu wa diploma wanawasimamia kidato cha sita kutoka shule isiyokuwa na kidato cha sita.

5. Pia kupokea mrungula kwa baadhi ya shule ili kuzifanya kungara na kufanya biashara zaidi.

6. Kusimamia Utungaji wa mitihani yenye kiwango cha chini mfano darasa la saba mitihani ya kichagua majibu mitihani yote pia na mitihani husaihishwa na wanafunzi waalimu walioko vyuo vya ualimu.

5. Kuamini kwamba anaeza kufanya kila kitu peke yake na hivyo kupelekea maamuzi kuwa ya upande mmoja.

6. Mwisho kupendelea upande mmoja hususani kwenye matokeo.

Mwisho ila sio kwa umuhimu nimeona watu wanajadiili NECTA itapwaya huyu amekwamishwa mabsdiliko ya mitaaala.Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame
Daktari Charles Msonde, Jembe la NECTA. Alitumia uzalendo, taaluma na bidii kwa manufaa ya Taifa
 
"Wanafunzi wetu lazima wafundishwe na nyezo nyingine za maisha ili wanapokosa ajira wasilalame"

Hiyo statement ni rahisi kuitamka ikiwa umekaa ofisini na umeajiriwa unaskilizia mshahara mwisho wa mwezi huku ukiwa unajizungusha zungusha ktk vile viti vyenu ukifuta futa simu kwenye kitambi chako.

Laiti ungekuwepo huku street sidhani kama hiyo mitizamo yako ungekua nayo
 
Back
Top Bottom