Mfumo wa ajira unaotumika umefeli kutokana na sababu zifuatazo.
1. Haiwezekani jina la mtu aliye ajiriwa kujirudia zaidi ya Mara 195 alafu wasingizie kuwa ni tatizo la kiufundi.
2. Haiwezekani mtu aliyemaliza form 4 mwaka 2019 kuajiriwa alafu wasingizie kuwa mfumo ulikuwa hauruhusu ku edit wakati waliurekebisha ukawa unakubali kuedit.
3. Haiwezekani mhitimu aliyemaliza chuo 2016 au 2015 kuachwa kuajiriwa akaja kuajiriwa mtu aliyehitimu chuo mwaka 2019 au 2018 ukiangalia sifa za kuajiriwa zinafanana maana yake ni nini.
Mfumo wa TAMISEMI wa kutoa ajira hauko fair Sasa basi naomba mjitasmini upya la sivyo mtakuwa mnafanya kazi yenye laana kwa mwenyezi Mungu bila nyie kujua kuwa mmeshaingia kwenye laana.
Kuna watoto wa watanzania wanahangaika huku mtaani hawana ajira alafu nyie mko tu mnatazama Mambo yakienda hovyo kabisa,
Naomba kuwasilisha.
Prof Hans .
Mwalimu asiye na kituo maaalum.
Mkono mtupu haulambwi kauli mbiu ya TAMISEMI