Ngoja tuzisubiri hizo pesa IMF tuzipige kama kawa

Teleza1

Senior Member
May 16, 2020
190
198
Nasikia serikali imepata fedha kutoka Imf kwa ajili ya ujenzi wa majengo madarasa ni vizuri lakini kwa mkoa wa Songwe najua wanafunzi wanaitaji kujiunga kidato cha kwanza mwakani ni wa chache sana kutokana jamiii ya watu wasivyothamini shule. Shuleina form one mpk 4 ina wanafunzi 78. Pia shule hiyo unakuta ina waaalimu 20.

Sijui hapo uwiano umreekaaaje.Ujenzi wa madarasa mengine unaendelea wakati madara yaliyopo yanawatosha waliopo wanakuja na yatabaki.

Sasa ngoja tuzipige tuuu hizo pesa tulipane posho za vikao huku tumia mafundi wetu walevu maaarufu katika kufanikisha majambo hayo.salam ziwafikie
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom