Ajira za waalimu zimetoka au magumashi yanaendelea?

Teleza1

Senior Member
May 16, 2020
190
198
Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana Alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka. Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba, lakini ilikuwa ni geresha tu, cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo kama ni kweli au la.

Na kama sio kweli, ni lini watatoa hizo ajira kwa ajili ya walimu hao au hizo ajira hazipo ndio maaana wako kimya.waseme nilini zinatarajia kutoka.
 
Serikali hii inavyopenda sifa isingekaa kimya wangetangaza Tu tena Kwa mbwembwe nyingi.

Usiwe na ndoto za Ajira Kwa magufuli kumbuka Hilo tamko lilikuwa Gia ya kutongozea kura
 
Wana jamvi katika hali ilioleta taharuki kwa vijana wetu jana alhamisi ilisambaaa mtandaoni kwamba majina ya waalimu walioomba kazi yametoka.Hivyo kuleta taharuki na usumbufu kwa walioomba.lakini ilikuwa ni geresha tuu cha kushangaza si Tamiseni haikukanusha habari hizo. Kama ni kweli au laaa. Na kama sio kweli nili watatoa hizo ajira kwa ajili ya waalimu hao au hizo ajira hazipo ndio maaana wako kimya.waseme nilini zinatarajia kutoka
Subiri 2025 mkuu ataachia ajira zaidi ya 1000000 mkuu
 
Rais anahutubia bunge Leo
Atafafanua, keep in touch mkuu
Yaaani raisi azungumzie mambo hayo?! Wamejazwa Necta TISS NACTE NIDA JW NA PT KWENYE HIZO SELECTIO N WAMEGEUKA NDIO WAOMBAJI WAKUU WA RUSHWA NA KUJAZA WATU WANAOWAFAHAMU
 
Serikali Ya Viwanda Nitapambana Na Rushwa Bila Kigugumizi Chochote Na Dawa Ya Jipu Ni Kulitumbua
Ajira Millions 8
Hatuba Inayoendelea Sasa Hivi
 
Man down... .. i repeat man down....over

Tanzania ya Magufuli ajira sio kipaumbele
 
Back
Top Bottom