Jamani naombeni msaada wa haraka sijasubmit maombi yangu ya otes

Teleza1

Senior Member
Joined
May 16, 2020
Posts
190
Reaction score
199
Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form four na form six.
 
Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form four na form six
Mkuu imeleta hivi?

IMG-20200910-WA0059.jpg
 
Jamani msaada nimefanya maombi ya ajira za ualimu mpaka nikafika kwenye kipengele cha submit siku submit lakini appliction inanambia iko completed sasa kwa mwenye uzoefu anisaidie mambi yangu yataondkana kwenye syste au laa au niwapigie simu. Pia naomba msaaada jinsi ya kujaza index no ya form four na form six

Hata Mimi Nina ilo tatizo baada ya kusave zile shule sikuona sehemu ya kusubmit then nikalog out, kidogo Tena nikalog in nikakuta wameandika application completed. Mwenye ufahamu atujuze Basi pliiz
 
MAELEZO MAFUPI KUHUSU MAOMBI YA UALIMU YANAYOENDELEA.

1.Matatizo ya waombaji na system ni kama
-wrong credential(hapa maana yake, User name inakuwa haina ushirikiano na Password)
- Network errors( hapa ni matatizo yoote ya kimtandao)
-Email Allready exist( hapa maana yake, Email unayoitumia imeshatumika kufungua acc nyingine, pia inawezakua imefungua hiyo hiyo acc yako)
-Username already exist( hapa miaka ya nyuma uliapply na ulichaguliwa hukwenda)
-Kukosea kujaza 'particulars'

2. Ni ufanye/usifanye
-Hifadhi vizuri User name na Password yako.
-Hakiki mtandao vyema kabla ya kutumia system.
-Hakikisha unavigezo pale unapoomba nafasi hizi.
-Usiwape mtu zaidi ya mmoja aitumie acc yako kwa namna yoyote.
-Usipanic maana kuchelewa kuomba si kukosa kazi.

3. Nini kifanyike

-Kwa tatzo la ukoseaji wa Password, kuna Option ya 'kureset' ila kwa wakati huu, haifanyi kazi ipasavyo, hivyo jaribu kuvumilia mpaka itapokaa sawa.
-kwa tatzo la kukosea kujaza 'Particulars' mfano mikoa, Masomo, majina , index numbers, kuupload vyeti nk system imeboreshwa hivo unaweza kufuta au kuedit data/cheti chochote katika akauti yako.

Nawatakia maombi mema,
(Tumtangulize M/Mungu kwa kila jambo maana hakiwa kitu mpaka apende yeye).
 
Kwa sisi tunaoombea ajira portal ukishamaliza kuapply unaingia kwenye 'my applications' unakuta applications ulizofanya. Teachers hamna hii?
 
MAELEZO MAFUPI KUHUSU MAOMBI YA UALIMU YANAYOENDELEA.

1.Matatizo ya waombaji na system ni kama
-wrong credential(hapa maana yake, User name inakuwa haina ushirikiano na Password)
- Network errors( hapa ni matatizo yoote ya kimtandao)
-Email Allready exist( hapa maana yake, Email unayoitumia imeshatumika kufungua acc nyingine, pia inawezakua imefungua hiyo hiyo acc yako)
-Username already exist( hapa miaka ya nyuma uliapply na ulichaguliwa hukwenda)
-Kukosea kujaza 'particulars'

2. Ni ufanye/usifanye
-Hifadhi vizuri User name na Password yako.
-Hakiki mtandao vyema kabla ya kutumia system.
-Hakikisha unavigezo pale unapoomba nafasi hizi.
-Usiwape mtu zaidi ya mmoja aitumie acc yako kwa namna yoyote.
-Usipanic maana kuchelewa kuomba si kukosa kazi.

3. Nini kifanyike

-Kwa tatzo la ukoseaji wa Password, kuna Option ya 'kureset' ila kwa wakati huu, haifanyi kazi ipasavyo, hivyo jaribu kuvumilia mpaka itapokaa sawa.
-kwa tatzo la kukosea kujaza 'Particulars' mfano mikoa, Masomo, majina , index numbers, kuupload vyeti nk system imeboreshwa hivo unaweza kufuta au kuedit data/cheti chochote katika akauti yako.

Nawatakia maombi mema,
(Tumtangulize M/Mungu kwa kila jambo maana hakiwa kitu mpaka apende yeye).
Mimi nimeenda vizuri nilipofika last part ya kuselect region ,council na school inagoma
 
Nimejaribu kufanya application lakin inaleta error kwenye stage ya secondary error 8002,8005 na 8051... nimeshindwa kuelewa tatizo nini
 
Back
Top Bottom