Search results

  1. ISRAEL JR

    Rais Samia aiingiza tena Tanzania kwenye Nchi 10 Tajiri zaidi Africa 2022|23

    Top Ten Richest Countries in Africa in 2022/23 by GDP 10. Ghana 🇬🇭 73.8 Billion USD 9. Tanzania 🇹🇿 77.5 Billion USD 8. Ethiopia 🇪🇹 105.3 Billion USD 7. Kenya 🇰🇪 114.6 Billion USD 6. Angola 🇦🇴 124 Billion USD 5. Morocco 🇲🇦 133 Billion USD 4. Algeria 🇩🇿 193 Billion USD 3. South Africa 🇿🇦 426...
  2. ISRAEL JR

    UCHAGUZI UVCCM: Kawaida kutoka Zanzibar Mwenyekiti Mpya wa UVCCM Taifa, Rehema Sombi Makamu Mwenyekiti Taifa

    Mohamed Kawaida ameshinda Nafasi ya Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa ambapo Nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa UVCCM-Taifa imechukuliwa na Bi Rehema Sombi Omary MATOKEO YA UCHAGUZI UVCCM ==========================
  3. ISRAEL JR

    Kwenye kikao, RC akamata kila aliyetajwa kwa wizi na CAG

    Tunahitaji watu wenye kumsaidia Rais wetu wafanye haya, Huyu RC mwendo anaokwenda nao ingependeza sana kuona haya yakifanyika nchi nzima, Msikilize mpaka mwisho,
  4. ISRAEL JR

    Mapokezi ya Kinana ni habari nyingine huko Pwani, Watu mamia wakanyagana

    Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Omar Kinana amepokelewa wilaya ya Mkuranga leo tarehe 24 Aprili, 2022 kwa ajili ya ziara mkoa wa Pwani ya uimarishaji uhai wa chama na kuhamasisha wana-CCM kujitokeza kushiriki uchaguzi wa ndani ya Chama unaoendelea. Akizungumza na...
  5. ISRAEL JR

    Rais Samia anawezaje kujenga zahanati 564, Vituo vya Afya 304 na Hospitali 68?

    === Kunawakati huwa nikimsikia mtu anamsema vibaya huyu Mama natamani kumpiga na kitu kizito kichwani,basi ni vile sheria tu hairuhusu na Mungu hataki, Hebu jiulize,tangu tupate Uhuru ni lini umewahi kuona jumla ya Zahanati mpya 564 zinajengwa kwa mpigo tena nchi nzima? Hebu jiulize...
  6. ISRAEL JR

    CCM Kimeumana, sasa Ubungo, Babati, Mbeya na Tabora kurudia Uchaguzi

    Chongolo: aagiza uchukuaji fomu za uchaguzi ndani ya CCM urudiwe === Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ndg Daniel Chongolo amewaagiza makatibu wa Wilaya zilizobainika kuwa na kasoro kwenye mchakato wa uchukuaji wa fomu katika uchaguzi ngazi ya shina kurudia uchukuaji huo maramoja...
  7. ISRAEL JR

    Askofu Dkt. Benson Bagoza aikubali Filamu ya Royal Tour

    Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu, === Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan...
  8. ISRAEL JR

    Mapato ya Filamu ya Royal Tour kule AMAZON ni kufuru, kuingizia Tanzania zaidi ya TZS 1.5 Trilioni kwa mwaka

    Iko hivi, Sote tunafahamu, Filamu ya Royal Tour ni mali ya Watanzania kwa 100% Tanzania imeigharamia filamu hii tangu kurekodiwa kwake mpaka kuzinduliwa kwake huko Marekani. Inakadiriwa mpaka kukamilika kwa uzinduzi wa filamu hii imetumia zaidi ya TZS 7.2BL fedha toka kwa wadau wa maendeleo...
  9. ISRAEL JR

    Shaka Hamdu Shaka: Tumepunguza ada ya usajili wa "Online TV" kwa 95% kutoka TZS 1M hadi shilingi Elfu 50

    === Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Itikadi & Uenezi Ndugu Shaka Hamdu Shaka amempongeza Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan kwa kuwa na kifua cha kuvumilia kukosoa na kukosolewa. Aidha Ndg Shaka Hamdu Shaka amempongeza zaidi Rais pamoja na Waziri aliyemteua Mhe Nape Moses Nauye...
  10. ISRAEL JR

    Nape akoshwa na Umahiri na Uhodari mkubwa wa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mhe Rais Katika kipindi cha miezi 10 na siku kama 19 hivi za uongozi wako kama Rais wa nchi yetu, Mambo uliyoyafanya kwa nchi yetu na Watanzania yanathibitisha umahiri wako, uwezo wako, ujasiri na Uzalendo wako, Mhe Rais, lakini kubwa zaidi ni mapenzi yako kwa Watanzania na Tanzania...
  11. ISRAEL JR

    Hivi hapa vifaa vipya vya Simba Sc

    Nawaonea huruma sana Yanga,
  12. ISRAEL JR

    Tanzania Railways Corporation (TRC) 2021 yatangaza ajira mpya 353

    Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza Ilani ya CCM 2020|25 iliyoahidi kutoa ajira 8M ifikapo 2025 dalili zinaonesha ajira mpya zitakuwa zaidi ya 8M katika kipindi hicho, Rais Samia Suluhu kupitia Tanzania Railways Corporation (TRC) 2021 wametangaza ajira mpya 353, Niwasihi Vijana...
  13. ISRAEL JR

    Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

    Kwamujibu wa shirika la takwimu la Taifa ( NBS ) hadi mwishoni mwamwaka jana na mwanzoni mwamwaka huu Pato Ghafi la Taifa kwa bei ya wakati ( GDP at current price) lilifikia TZS 148.522Trilioni , Kwa mujibu wa majarida maarufu ya "The Statistics Time " na "Briefly " yameitaja Tanzania kuwa...
  14. ISRAEL JR

    Ujenzi wa miradi mikubwa ya SGR, Stiegler's Gorge (SG), Gas( LNG), Liganga & Mchuchuma kwa mikopo toka China. Je, tutarajie ya Zambia na Sri Lanka?

    " Ujenzi wa miradi mikubwa ya Standard Gauge Railway( SGR), Stiegler's Gorge ( SG ) Gesi Mtwara ( LNG-Plant ), Liganga & Mchuchuma nk,kwa hii mikopo toka China ,Je tutarajie ya Zambia na Sri Lanka? " " Amani iwe nanyi wazawa " ______________________ Taarifa toka Zambia zinasema China...
  15. ISRAEL JR

    Itakuwa rahisi zaidi mzee Hashimu Rungwe kushinda urais 2020 kuliko mbunge/diwani msaliti wa upinzani kushinda kura za maoni ndani ya CCM

    "Amani iwe nanyi" __________________ Mwandishi nguli Wa Vitabu Terry Pratchett amewahi kusema namnukuu " If you do not know where you come from, then you don't know where you are, and if you don't know where you are, then you don't know where you're going. And if you don't know where you're...
Back
Top Bottom