Tanzania Railways Corporation (TRC) 2021 yatangaza ajira mpya 353

ISRAEL JR

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
1,439
631
Rais Samia Suluhu Hassan katika kutekeleza Ilani ya CCM 2020|25 iliyoahidi kutoa ajira 8M ifikapo 2025 dalili zinaonesha ajira mpya zitakuwa zaidi ya 8M katika kipindi hicho,

Rais Samia Suluhu kupitia Tanzania Railways Corporation (TRC) 2021 wametangaza ajira mpya 353, Niwasihi Vijana changamkieni hiyo fursa bila kujali itakadi zenu za vyama wala dini au kabila, Hii ndio Serikali ya CCM na haya ndio matunda yake

 

Attachments

  • 211115204204TANGAZO LA TRC1 (1) (1).pdf
    570.9 KB · Views: 70
Watumishi waliopo Sasa hawafiki laki5, Ila nusu ya makusanyo ya serikali yanatumika kuwalipa mishahara
Au hao mil 8 watakua wanafanya kazi bure?
 
Back
Top Bottom