Askofu Dkt. Benson Bagoza aikubali Filamu ya Royal Tour

ISRAEL JR

JF-Expert Member
Feb 1, 2013
1,434
625



Hongera na asante Baba Askofu Dkt Benson Bagonza kwa kuamua kusimama na Rais wako aliye mnyenyekevu,
===
Askofu wa Dayosisi ya Karagwe ya Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Benson Bagonza akizungumzia filamu ya The Royal Tour Jumatatu ya Aprili 18, 2022 na Rais Samia Suluhu Hassan nchini Marekani
 
Chadema ikifa na ccm imekufa kila kitu lazima muishirikishe chadema nadhani mtakua mnakubali kimya kimya kuwa mziki wa chadema ni mnene. Big up sana.
Wezi sana hawa jamaa, I know you also know mnaviongozi wezi kabisa kabisa
 
Kitu ambacho wengi hamjamuelewa askofu Bagonza ni hiki; mnadhani hua anamkubali au kumchukia mtu; huyu mzee yeye anaupenda UKWELI, anausifia UKWELI. Chadema wakikosea anawazinguaga, ccm pia hivo hivo. Hapa kaangalia na kajiridhisha kwamba hiyo kitu ina maslahi kwa taifa, Lissu pia nimeona ka tweet the same
 
Back
Top Bottom