ukitaka kujua Tundu lissu ni mgombea wa hovyo na anawakatisha tamaa bavicha,ni jinsi miongozo,ushauri na maelekezo yalivyo mengi humu kuliko kuwahi kutolewa kwa mgombea yoyote
Inaonekana Tundu lissu anatoka nyumbani amepanga kabisa kuongelea sera,lakini kwa kuwa hana sifa za urais,akifika jukwaani anapotea ,anapandisha hasira anaanza kuelezea risasi na uwanja wa chato
watu wanataka ugali yeye anaelezea uwanja wa chato,kana kwamba chato sio Tanzania
Hoja hapa kwa kuwa JPM anabana matumizi na hataki makandarasi kujenga majengo au kandarasi za umma, kwa nini asitumie forced account kujenga uwanja wa chato?
 
Uwanja wa chato ni wa Watanzania wote hata wewe utatumia. Hiyo tirion 1.5 ilikuwa kiki ya zito kabwe ambayo imeshabumaa. Na yule mchezesha igizo la hizo tirion, amesha timuliwaaa. Kwa jpm hakuna madili tena, kwani yangekuwepo msingelilia mitandaoniiii.
Kwa nini uwanja wa Chato usijengwe na serikali kubana matumizi,ikapewa kampuni ya Mayanga? Bil 43 zote zikatumika,kama ingejenga serikali tungetumia bil 16 tu.
 
Mgombea wa chama cha demokrasia na maendeleo amejitahidi kugusa makundi yote yaliyoumizwa na utawala wa Magufuli na kwa kiasi kikubwa amefanikiwa sana katika kampeni zake.

Lipo kundi moja ambalo pia limeumizwa na utawala wa Magufuri, likiwa ni lile watumishi walio ondolewa kwenye utumishi wa umma kutokana na vyeti feki.

Kwa kuwa yeye ni mjenzi nzuri wa hoja anaweza akalijengea hoja vizuri suala hilo na likampa credibility kwa jamaa. Mfano tu kwamba ni nani aliyewaajiri si serikali ya CCM
 
Ukitaka kujua Tundu lissu ni mgombea wa hovyo na anawakatisha tamaa bavicha,ni jinsi miongozo,ushauri na maelekezo yalivyo mengi humu kuliko kuwahi kutolewa kwa mgombea yoyote.

Inaonekana Tundu Lissu anatoka nyumbani amepanga kabisa kuongelea sera, lakini kwa kuwa hana sifa za urais, akifika jukwaani anapotea, anapandisha hasira anaanza kuelezea risasi na uwanja wa Chato.

Watu wanataka ugali yeye anaelezea uwanja wa Chato, kana kwamba chato sio Tanzania.
Jiwe ni Rais wa hovyo sana, twende na Lissu. Jogoo oyeeeeee

Sent from my Infinix X680 using JamiiForums mobile app
 
Vijiwe gani unavyosema? Mama lishe wako hoi,wengi wamefunga biashara. Maduka yamefungwa biashara,machinga wana hali ngumu. Acha kuishi maisha ya kwenye mitandao ingia mitaani uone kwa macho yako.

Kama JPM amedhibiti bei ambazo watu walikuwa wanajipangia anashindwa vipi kuangalia manunuzi yafanyike kwa uhalali hivi sasa?
Mimi pamoja na wenzangu hapa hatujafunga maduka yetu bado yanasonga tu.
 
Kama kwenye mpira wa miguu hii ni dakika ya 40, hivyo mgombea wa Chadema usikate tamaa. Ushindi unaweza kupatikana.

Ukiwa jukwaani mwaga sera za Chadema, kwa umakini bila kupanick na kuhamaki.

Hoja ambazo zinakupa ushindi wa wazi ni kuwaeleza watanzania kwa unagaubaga jinsi JPM alivyoua sekta binafsi huku akitaka watu wajiajiri.

Eleza namna alivyonyima wakandarasi binafsi tender na kulazimisha kujenga kwa kutumia forced account na sasa wakandarasi wengi kampuni zao zimekufa.

Eleza kwa uwazi kama alikuwa anatumia forced account kwa nini Mayanga Contractors ipewe hiyo tender na sio Tanroads kujenga uwanja wa Chato

Eleza jinsi alivyonyima wizara na ofisi za umma pesa za matumizi, sasa hakuna tender za kusupply stationary na vitu vya kiofisi, wajasiliamali wengi wamefirisika.

Eleza jinsi Wachina wanavyopewa kandarasi ambazo hata wazawa wanaweza kuzifanya,sasa mzunguko wa pesa haupo,sababu wakilipwa pesa zinaenda China. Ila wazawa hawapewi hizi kazi wakati wanao huo uwezo kuzifanya.

Anza na haya kwa leo,hii ni dakika ya 45 unaweza kupindua matokeo anytime.

Hizi ndizo sera?
 
Pia ana kura nyingi sana za wana CCM anachotakiwa ni kuziomba tu, kuna kundi kubwa sana zaini ya nusu ya wanachama wa CCM hawamkubali mwenyekiti wao akipanda jukwaani asisahau kuziomba hizi kura.

Uko sahihi watu kama
Kinana walivyodhalilushwa kamwe hawawezi kumuunga mkono jiwe
Watu kama makamba
Na wengine makada nguli hawawezi kumpenda abadani

Sasa jamaa amemtoboatoboa mkuu imebakia sasa kulinda kura na kuhakikisha anatangazwa.

Yaani mwaka huu iwe mvua liwe jua lazima mabadiliko yawepo
 
Natamani azungumzie na wale walio ondolewa kazini kama mbwa kwa kigezo cha vyeti feki, wakati iliyo waajiri ni selikari ya CCM na iliyo watimua ni wao, mfumo wao mbovu wa utawala ndio ulisababisha hayo, kwa nini walio sababisha wapate ajili wameachwa hawjashughurikiwa? Hao walifukuzwa wengine wamefanya kazi zaidi ya miaka 20, wanahitaji kufutwa machozi kidogo kwa sababu wao ni Watanzania wenzetu na sio Wamalawi, au Wakenya.
Hivi unajua watu wangapi wamekufa kwa kutibiwa na madaktari wakufoji? unajua maofisa wangapi wa serikali wamekufa kwenye ajali kwa kuendeshwa na madereva wasiokuwa na sifa? unajua watoto wangapi wamefeli kwa kufundishwa na watu wasiokuwa na taaluma ya ualimu? hao wahanga nani atawafuta machozi?
 
Nachoweza kusema, Nalaani vikali mashambulizi ya Mh Lisu pale Area D" Dodoma, na kiukweli swala hili ni vyema likachunguzwa

Lakini, si kila anayeshambuliwa na kupigwa Lisasi anafaa kuwa Raisi

Kwenye swala la Uraisi hatuendi Kwa majaribio Wala huruma huruma!!!

Magu, Mbele Kwa mbele

Hoja yako ni ya kijinga sana. Lissu amekuwa maarufu hata kabla ya kupigwa risasi.
LISSU ameshambuliwa kwa risasi kutokana na threat aliyo nayo kwa watawala. Maana alikuwa anatetea nchi na kupinga udikteta wakati wote.
LISSU amethibitisha kwa vitendo tangu akiwa bungeni akitetea UHURU, HAKI, NA MAENDELEO YA WATU
 
Hoja hapa ni kutokuwa na masikini? Au hoja ni kuwa hali ya uchumi sio nzuri hakuna mzunguko wa pesa. Au unadandia mada hujui inahusu nini?
Bora umenza kuwa na akili sijaona umejidhalilisha kwa kutuoa tusi sasa tunaweza kujadili masuala ya kitaifa maana umepevuka siyo kurusha matusi tu. Matusi hayabadirishi mtu. Mhh njoo na hoja yako sasa mkuu.
 
Bora umenza kuwa na akili sijaona umejidhalilisha kwa kutuoa tusi sasa tunaweza kujadili masuala ya kitaifa maana umepevuka siyo kurusha matusi tu. Matusi hayabadirishi mtu. Mhh njoo na hoja yako sasa mkuu.
Nenda kauze duka lako,sina muda wa kujadili na wapumbavu kama wewe.
 
Nenda kauze duka lako,sina muda wa kujadili na wapumbavu kama wewe.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Umeishiwa, Mpumbavu huwa anajiona mwelevu sana anapoongea pumba na kushangiliwa ndipo hujitutumua kuona wenzake wajinga ilihali welevu hadji u chochote. Karibu sana nkihudumie Mkuu maana wewe ni Mfalme Juha.
 
Hatuko tayari kuruhusu madiri yarudi tena. Hatuko tayari kuona makandarasi makanjanja wanapewa tenda kubwa halafu zinaishia njia na hela wamepiga. Hatuko tayari kuona wake wa maofisa wa serikali wanafungua steshionary feki na kuuzia karam moja tsh 5000 . Hatuko tayari kuona tena wake wawakubwa ndio wasambaza chai ya rangi kwenye maofisi ya uma huku wakiuza kikombe chai ya rangi tsh 5000 na kitumbua cha mia moja wao wanauza tsh 2000 . Hatuko tayari kuona utapeli wakula fedha bila mipangilio unarudia tena. Big up Magufuli, God bless you.
WEWE NDIO MPOTOSHAJI..UNATAKA KUPOTOSHA UKWEL WA HABAR YA BBC- Ukitaka kupruvu kuwa bbc ni waongo Simple wambie xxm wapeleke mikataba na sheria zote bungen kwa wananch wazione, kwasababu sheria iliyopitishwa kwa zarura juz inataka mikataba na sheria za raslimal ziletwe bungen.&&&&&&&& alaf miswaada yote isiyohusu raslimal hupelekwa bungen bila hati ya dharua kwann miswaada inayohusu raslimali za nch ni dharura tu ???kuanzia awam 3,4 na ya 5 kwann jaman???tunakuwa tunaharaka tumechelewa?au tunafunika kombe mwanaharam apite? yaan sielewi
 
Back
Top Bottom