wembe

Samuel Wembé (1 January 1947 – 12 April 2020) was a Cameroonian businessman who also served as a deputy in the Cameroon National Assembly.

View More On Wikipedia.org
  1. Anonymous77

    Kijana mwauame hanyoi nywele za nyuma kwa wembe utahanithika

    Wanaume wenzangu karibu hapa tujadili ya yakale ya wazee wetu vijana wengi siku hizi hawana adabu wala hawataki kushika maneno ya wazee wao vijana wanyoa "QADHA" vijana wasiosikia la mzazi, vijana wabishi hakuna wasolijua, vijana waso na aibu wafiraji. Vijana waso na ubunifu wacheza kamari...
  2. B

    Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 waondolewa

    Ama kweli Duniani kuna mambo. Wembe uliosahaulika tumboni kwa miaka 11 watolewa. Madaktari nchini Kenya wamemfanyia upasuaji Bi. Felister Namfua (36) na kutoa wembe wa upasuaji uliosahaulika ndani ya tumbo kwa muda wa miaka 11. Bi Felister amekua akiishi na maumivu makali ya tumbo kwa miaka 11...
  3. M

    Namba hazidanganyi: Kwa takwimu hizi kwenye mechi kati ya Croatia na Brazil, Argentina aanze tu kutia maji wembe umpitie!

    Takwimu zinaonesha Croatia hakubahatisha kum funga Brazil! Alitawala mpira zaidi, alizuia (clearances) zaidi, na alikuwa makini zaidi kwa asilimia 100 alipopata kulenga goli (shots on target)!! Kwa takwimu hizi, Argentina watie maji mapema vinginevyo watanyolewa kavu kavu!! Match stats...
  4. FRANCIS DA DON

    Mwaka 2009 nilichorwa kwa wembe alama hii kwenye dole gumba la mkono wa kulia, maana yake nini?

    Ilikuwa ni miaka takriban 13 Iliyopita, mwaka 2009, siku moja niliamka na kukuta nimechorwa alama hiyo ya kujiviringisha, na alama hiyo ilichorwa kwa kutumia kitu chenye ncha kali (nilihisi ni wembe), ambapo alama hiyo ilikuwa imechongwa juu kwenye dole gumba la mkono wa kulia, kwenye ile ngozi...
  5. sajo

    Wakati Ripoti ya Mwakyembe bado gizani, Law School of Tanzania waendelea kunoa 'wembe'. Watangaza ratiba ya mitihani inayohusisha supp

    Wakati umma ukiendelea kusubiri ripoti ya Kamati ya Mwakyembe baada ya muda iliopewa ile kamati hiyo kuchunguza nini kinachosababisha wanafunzi wa Shule ya Sheria Tanzania kufeli kwa kiwango cha kutisha kwisha toka tarehe 13 Novemba 2022, hakuna taarifa ni lini Kamati hiyo itasoma na kukabidhi...
  6. sky soldier

    IMEISHA HIO: Kuomba msamaha kwa Haji Manara sio taarifa njema kwa Simba waliodhani kwamba atasimamishwa, Wembe ni ule ule

    Tunaendelea tulipoishia! Hapa hafungiwi mtu, Manara ataendelea kuwapelekea simba moto kama kawaida, hizo ndoto za abunuwasi kwamba Manara atafungiwa msahau, Sana sana Manara ataambiwa alipie faini ya milioni 5 na ataendelea na majukumu yake Wananchii !!! Makombe yaendelee!!!
  7. Nyankurungu2020

    2022 imeanza, tunamshukuru Mungu kutulinda, wembe ni uleule, hayati JPM alitufumbua macho hili taifa lina mali nyingi

    Madini yalikuwa yanatoroshwa hovyo, nchi ya Kenya ndio ilikuwa kitovu cha uuzwaji wa dhahabu na madini mengi toka Tanzania. Pesa za umma zilikuwa zinaliwa hovyo na kuingia kwenye mifuko ya mafisadi, hayati JPM akasema kila pesa ya umma iingie mfuko wa hazina. Kwa hakika ni mengi alitufumbua na...
  8. G

    Ndugu wanaCCM, Wembe alioutumia Polepole kumnyolea Membe kwanini usitumike sasa kumnyoa Polepole?

    Sote tunakumbuka ya kwamba Polepole akiwa katibu mwenezi wa CCM Taifa, alisimamia mchakato wa kumfukuza uanachama Membe kwa kosa la "kutamka" kwamba atachukuwa fomu ya kugombea Urais ili apambane na aliyekuwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa ndugu Magufuli. Kwa kutumia "kanuni za chama" Polepole...
  9. Mzalendo_Mwandamizi

    Uwapi "wembe wa Mdude uliotumika kumnyoa Mwendazake" ambao Samia Alitishiwa nao majuzi?

    Kwamba kilichojiri Mwanza hakipendezi, ni suala la wazi kwa mtu yeyote anayetaka kuona Tanzania yenye amani na mshikamano. Hata hivyo, matukio kama haya yanaibua tafakuri ambazo baadhi ya wenzetu wanaweza wasizipende. Majuzi tulimsikia Mdude akimtahadharisha Mama Samia kuwa "wembe uliotumika...
Back
Top Bottom