Sote tunakumbuka ya kwamba Polepole akiwa katibu mwenezi wa CCM Taifa, alisimamia mchakato wa kumfukuza uanachama Membe kwa kosa la "kutamka" kwamba atachukuwa fomu ya kugombea Urais ili apambane na aliyekuwa Rais na mwenyekiti wa CCM Taifa ndugu Magufuli.
Kwa kutumia "kanuni za chama" Polepole alibariki ubakwaji huu wa katiba ya nchi na ile ya chama na kuidhinisha Membe afukuzwe chamani.
Hivi sasa Polepole "anatamka" maneno ya makufuru ya kupingana na sera na uongozi wa mwenyekiti wa ccm taifa, mama Samia.
Nini kinaizuia CCM hii kutumia kanuni zile zile zilizotumika kumfukuza Membe uanachama, zisitumike kumfukuza Polepole??