ukanda mmoja

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja lasaidia maendeleo ya kilimo barani Afrika

    Mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China alitangaza Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’ (BRI), ambalo limekuwa na manufaa kwa nchi mbalimbali zinazoendelea haswa nchi za Afrika katika sekta mbalimbali, ambapo thamani ya uwekezaji kati ya China na nchi zilizojiunga na Pendekezo hilo mpaka sasa...
  2. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” limesaidia kuchochea maendeleo ya Afrika katika mwaka 2023

    Mwaka 2023 ulikuwa na matukio kadhaa makubwa kwa bara la Afrika, ambayo yaliangazia njia za kuhimiza maendeleo ya nchi moja moja ya Afrika, na hata maendeleo ya bara zima la Afrika. Katika matukio hayo muhimu China ilitajwa mara kadhaa, na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” lilionekana kuwa...
  3. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” halina lengo la kukandamiza upande wowote

    Mwaka 2013, rais wa China, Xi Jinping, alitoa Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI), ambalo miaka 10 baadaye, limesifiwa sana na jamii ya kimataifa kama ‘mradi wa karne’. Likiwa na mtandao mkubwa wa usafiri, nishati, na mawasiliano, unaolenga kuunganisha biashara za baharini na nchi...
  4. L

    Vijana lazima wawe washiriki hai na wanufaika muhimu katika miradi ya Ukanda Mmoja, Njia Moja

    Wataalamu waliohudhuria Kongamano la Mkutano wa Mtandao wa majadiliano kuhusu Ukanda Mmoja, Njia Moja wamesema kuwa pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja, ambalo linalenga kuharakisha ukuaji wa pamoja na maendeleo endelevu duniani kote kupitia uratibu imara wa sera, muunganisho, biashara isiyo na...
  5. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” laonesha uhai mkubwa barani Afrika

    Mkutano wa tatu wa kilele wa ushirikiano wa kimataifa wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” umefanyika hivi karibuni mjini Beijing, na kuwashirikisha takriban wajumbe 10,000 kutoka nchi 151 na mashirika 41 ya kimataifa, wakiwemo viongozi wa nchi na mashirika 20 ya kimataifa. Ikiwa mmoja wa washiriki...
  6. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” linaifanya dunia kuwa ya kijani zaidi

    Mwaka huu ni miaka 10 tangu rais wa China, Xi Jinping, alipotoa Pendekezo la Ukanda Mmoja, Njia Moja. Zaidi ya miaka 1000 iliyopita, misafara ya ngamia ilipita katika Njia ya Hariri ya Kale, ikikabiliwa na upepo mkali na jua, ikichukua hariri na chai kutoka China na kuzipeleka katika nchi za...
  7. L

    Mchango uliotolewa na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia mmoja” kwa Afrika waendana na wakati

    Katika siku za karibuni Kituo cha mambo ya fedha na maendeleo kwenye sekta zisizosababisha uchafuzi (Green Finance & Development Center) katika chuo Kikuu cha Fudan mjini Shanghai, kilitangaza kuwa thamani ya uwekezaji wa China kwenye miradi ya kupitia pendekezo la “Ukanda mmoja, Njia Moja”...
  8. L

    Wataalamu na wasomi wapongeza pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” kwa kuleta mabadiliko makubwa katika Afrika

    Na Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” ni mpango kabambe uliotolewa na rais Xi Jinping wa China kwa ajili ya kuwa na mtandao wa reli, barabara na bandari duniani pamoja na miundo mbinu mingine ili kuweza kuziunganisha nchi hizo pamoja na kuwa kitu kimoja. Hadi sasa pendekezo hili...
  9. L

    Matunda ya miaka mitano tangu ufanyike Mkutano wa Kwanza wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” yaliwa hadi na wananchi wa kawaida

    Pili Mwinyi Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” (BRI) lililotangazwa na rais wa China Xi Jinping mwaka 2013, kwa sasa linaonekana kuzaa matunda matamu kwa nchi zote zinazoshiriki kwenye pindekezo hili. Ukiwa sasa huu ni mwaka wa tano tangu Mkutano wake wa kwanza wa ushirikiano wa kimataifa...
  10. L

    Ujenzi wa pamoja wa “Ukanda Mmoja, Njia Moja” wapiga hatua kubwa barani Afrika

    Barabara ya mwendo kasi ya Nairobi Expressway, iliyowekezwa na kujengwa na kampuni ya China, imeanza kufanya kazi kwa majaribio. Barabara hiyo yenye urefu wa kilomita 27.1 itapunguza muda wa safari kutoka jijini Nairobi hadi Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta kutoka saa 2 hadi dakika...
  11. L

    Pendekezo la ‘Ukanda Mmoja, Njia Moja’ la China lashika kasi barani Afrika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013 rais Xi Jinping wa China alitoa pendekezo la "Ukanda Mmoja, Njia Moja". Mwezi Septemba mwaka 2013, rais Xi Jinping wa China, akiwa nchini Kazakhstan, alitoa mpango wa ujenzi wa ukanda wa kiuchumi wa "Njia ya Hariri", na mwezi Oktoba mwaka huo huo, akiwa nchini...
  12. L

    Miradi ya Ukanda Mmoja na Njia Moja yabadilisha taswira ya Kenya

    Na Kelly Ogome Kwa kipindi cha miaka minne iliyopita, mataifa ya Afrika Mashariki yameshuhudia mabadiliko makubwa katika uchumi na miundombinu. Haya ni kulingana na ripoti ya tathmini ya miradi ya Ukanda Mmoja,Njia Moja(BRI) iliyotolewa na Taasisi ya Sera ya Africa API. Kenya ni miongoni mwa...
  13. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lasaidia Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo

    Huu ni mwaka wa nane tangu China itoe pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja”. Katika kipindi hicho, ujenzi wa miradi ya ushirikiano kati ya China na nchi za Afrika kutokana na pendekezo hilo umepamba moto, na kusaidia nchi za Afrika kuboresha miundombinu ili kupata maendeleo ya uchumi. Hali...
  14. L

    Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lairudisha Marekani Afrika

    Hivi karibuni jarida ya Foreign Policy la Marekani lilikuwa na makala yenye kichwa “The United States Returns to Africa” kikiwa na maana Marekani inarudi tena Afrika. Yaliyoandikwa chini ya makala hiyo yametaja baadhi mambo ya kipaumbele kuhusu sera ya serikali ya Rais Joe Biden kwa Afrika...
Back
Top Bottom