mawaziri

  1. J

    Rekodi isiyofikiwa: Rais Mwinyi aitisha kikao cha Baraza la Mawaziri na kulivunja, mawaziri waondoka Ikulu wakitembea kwa miguu

    Hii ndio rekodi iliyoshtua wengi na haijavunjwa hadi leo Ni pale Rais wa awamu ya pili mzee Ally Hassan Mwinyi alipoitisha kikao cha baraza la mawaziri pale Ikulu ya magogoni na kuwatangazia wajumbe wake kuvunjwa kwa baraza hilo. Na walipotoka nje ya ukumbi mawaziri hao watumbuliwa walikuta...
  2. technically

    Mawaziri wa Bongo wakitumbuliwa kwanini huwa hawafikirii nje ya boksi?

    Hii kauli niliisikia kwa Kigwangalla alidai vijana tufikirie nje ya box tufanye ujasiriamali lakini toka Rais amtaje kwamba anatakiwa kumaliza bifu zake la sivyo atachukua hatua jamaa anatumia nguvu nyingi kulinda cheo. Je, ni kweli na wao huwa hawafikirii nje ya box bali wanawalaumu vijana...
  3. J

    Dr Augustino Lyatonga Mrema aliwezaje kuimudu Wizara ya Mambo ya Ndani inayowashinda Mawaziri wengi?

    Dr Mrema aliweza kutimiza majukumu yake kiufanisi hadi kupandishwa cheo na kuwa Naibu Waziri mkuu. Ni mbinu gani alizitumia mangi huyu katika kutimiza majukumu yake kwa ufanisi ambazo mawaziri wa zama hizi hawajazing'amua. Waliofeli ni pamoja na Mwapachu, Lau Masha, Dr Nchimbi, Dr Kitwanga, Dr...
  4. Papaa Mobimba

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani aandika barua ya Kujiuzulu. Lugola na Andengenye wakalia kuti kavu, Rais Magufuli asema hawafai

    Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya ndani Aandika barua ya Kujiuzulu. Rais Magufuli akiwa anahutubia wakati wa ufunguzi wa nyumba za Askari Magereza, amesema kwamba.. Nampongeza sana Meja Jenerali, Kingu ambaye alikuwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani kwa kuwajibika kwamba ametambua. Na...
  5. Analogia Malenga

    DRC Rais Felix Tshisekedi atishia kuwafuta kazi Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Félix Tshisekedi ametishia kuwafuta kazi Mawaziri wake na hata kulivunja bunge, iwapo washirika wake wa kisiasa ambao wanaegemea katika mrengo wa rais wa zamani Joseph Kabila, wataendelea kumdharau. Tshisekedi amesema kuna baadhi ya Mawaziri ambao...
  6. FRANC THE GREAT

    Waziri mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev amewasilisha barua yake ya kujiuzulu kwa rais

    Waziri Mkuu wa Urusi Dmitry Medvedev ametangaza kuwa serikali imejiuzulu. Taarifa hiyo inakuja muda mfupi baada ya Rais Vladimir Putin kutoa hotuba yake ya kila mwaka ya kitaifa. Kukubaliana na kujiuzulu huko, Putin aliwaomba mawaziri kuendelea kufanya kazi hadi pale serikali mpya itakapoundwa...
  7. Suley2019

    Dar es Salaam: Rais Magufuli aongoza kikao cha Baraza la Mawaziri

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumanne Januari 14, 2020 ameongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
  8. J

    Mwita Waitara adai elimu bure maana yake ni wanafunzi kulipiwa ada na Serikali, mzee Mwamakula amshangaa na kusema mawaziri hawana maono

    Naibu waziri wa Tamisemi anayeshughulikia miundombinu ya elimu ya msingi na sekondari mwalimu Mwita Waitara amesema maana ya Elimu Bure ni wanafunzi kulipiwa ada na serikali. Waitara amedai kuwa wananchi wengi wanachanganya mambo kwa kudhani kuwa ujenzi wa miundombinu ya elimu yakiwemo...
  9. T

    Je, ni kwanini Mawaziri ndio wanaohaha katika mikoa wakati wapo Wakuu wa Mikoa?

    Jamani sijuwi kama kuna anaye ona kwa sasa mawaziri ndio wanagunduwa mauwozo kwenye mikoa na kufanya ziara nyingi wakati yupo mkuu wa mkoa RSO, RPC wakuu wa wilaya nakamati ya ulinz na usalama hii sioni kama ni afya kwa mikoa yetu alafu why jambo linaitaji support ya mkuu wamkoa anairushia...
  10. J

    Baraza la Mawaziri 2020 linamuhitaji Dr Slaa, karibu Kawe Dr wa ukweli

    Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana. Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti...
  11. CalvinKimaro

    Sakata la mawaziri wakuu wastaafu linahitaji tafakuri mpya

    Nijuavyo ofisi ya kiongozi mkuu mstaafu ni ofisi ya umma. Yaani public office. Na kwa mujibu wa katiba yetu public office ni mali ya serikali iliyo madarakani. Haiwezekani pawe na ofisi ya umma ambayo Mtendaji mkuu wake ni mpinzani wa serikali iliyo madarakani! Tumeshuhudia mawaziri wakuu...
  12. CalvinKimaro

    Je, CHADEMA imenufaika au imepata hasara na ujio wa Mawaziri Wakuu wastaafu? Je, ina la kujifunza?

    Nadhani huyu ndiye atakuwa Waziri Mkuu mstaafu wa mwisho kuwepo Chadema. Nikitizama Salim, Warioba, Msuya, Pinda na hata Majaliwa sioni uwezekano wowote wa Chadema kupewa fursa ya kumhifadhi Waziri Mkuu mstaafu tena. Ukichunguza kwa makini utabaini kuwa ujio wa mawaziri wakuu umeiumiza mno...
  13. Kawe Alumni

    Magufuli: Nikiwa Waziri nilinyweshwa sumu na viongozi waliochukia utendaji kazi wangu, nilitaka kujiuzulu

    Rais Magufuli akiwa kwenye uzinduzi wa Kitabu cha Rais Mstaafu wa awamu ya Tatu, Mzee Benjamin Mkapa amefunguka mambo makubwa mno hajawahi kuyasema popote, mambo aliyoyasema ni pamoja na utendaji kazi wake uliomkosha Mzee Mkapa, Kuchukiwa na mawaziri na viongozi wengine wakubwa mpaka kunyweshwa...
  14. Mwl.RCT

    Mkutano nchi za Afrika na NORDIC: Rais Magufuli awakaribisha wawekezaji kuwekeza nchini, kwa sababu kuna amani na ukuaji mzuri wa uchumi

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli ameshiriki Ufunguzi wa Mkutano wa Mawaziri wa Mambo ya nje wa Nchi za Afrika na NORDIC unaofanyika akatika ukumbi wa mikutano wa kimataifa wa Julius Nyerere JNICC Jijini Dar es salaam. ===== HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KWA UFUPI...
  15. F

    Rais si mkweli, Mawaziri si wakweli, Mkuu wa jeshi, mkuu wa polisi na polisi wake SI WAKWELI.

    Uongo umeshakuwa kitu cha kawaida katika nchi yetu, Serikali yetu haikuwahi kuaminika na itaendelea kutoaminika. Rais si mkweli, mbabe, ukandamizaji wa haki za raia, matumizi mabaya ya madaraka, matumizi mabaya ya fedha za umma (Bado tunadaiwa mabilioni kama siyo matrillioni ya shillingi...
  16. beth

    Ludovick Utouh: Sijawahi wala sitakuja kujuta kuhusu ripoti ya 2012 iliyosababisha Mawaziri 8 kujiuzulu

    Aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, amesema wakati wote hajawahi kujuta na wala hatakuja kujuta katika ripoti yake ya mwaka 2012 iliyosababisha mawaziri wanane kujiuzulu. Utouh ametoa kauli hiyo jijini Dodoma leo Oktoba 26, 2018 wakati akizungumzia...
Back
Top Bottom