Baraza la Mawaziri 2020 linamuhitaji Dr Slaa, karibu Kawe Dr wa ukweli

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,879
141,813
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.

Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.

Maendeleo hayana vyama!
 
Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr Wilbrod Slaa na mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti bint uliyemlea Halima James Mdee.

Maendeleo hayana vyama!
Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.

Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.

Maendeleo hayana vyama!

Well said Mkuu.
Dr Slaa tunammis sana kwa aina ya siasa zake..
Kweli ni chachu ya siasa za amsha za bongo..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.

Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.

Maendeleo hayana vyama!
Watanzania bwana kweli walio wengi haziwatoshi Dr.Slaa anachohitaji ni Urais tu sio uwaziri mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kiukweli kukosekana kwa watu wawili muhimu katika utumishi wa kisiasa katika nchi hii kumeacha pengo kubwa sana.

Itoshe tu kusema karibuni nyumbani wapendwa wetu Dr. Wilbrod Slaa na Mh Tundu Lisu, Dr Slaa mkazi wa Mbweni utatosha kabisa kuwawakilisha wakazi wa Kawe bungeni ukimpokea kijiti binti uliyemlea Halima James Mdee.

Maendeleo hayana vyama!
Kwanini unataka kuua mabinti wa watu kwa kuwaweka roho juu?
 
Liwake jua, inyeshe mvua halima mdee 2020 bungeni hurudi

Sent using Jamii Forums mobile app
Atarudi kupitia viti maalum. Mdee alikuwa focused miaka ya nyuma, siku hizi hana tofauti na akina Lema!

2015 nilimpa kura yangu lakini akigombea tena na CCM wasiposimamisha jembe sipigi kura! Bora Chadema agombee Meya Mwita ataweza kuchangamana na dola kutuletea maendeleo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani Aachie Ubalozi?
Naona Atulie Huko Huko
Siasa Hizi Anaweza Kuangukia Pua Amani Ikatoweka
 
John nakwambia kila mmoja amemkinai Jiwe. Ukija uchaguzi wa huru na haki, huyo unayemtegemea ampe uwaziri Slaa hatakuwepo.
Kika mmoja ameumizwa, kila mmoja analia, wako naye Jiwe lkn ni wanafiki. Ukweli kila mmoja anao moyoni mwake. Na Jiwe ameshajua ndiyo maana aliiba kura serikali za mitaa akijua fika kuwa hana lake akiachia haki itendeke katika sanduku la kura.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: bmk
Mdee is here to stay. Slaa malaya wa dini kuacha upadre akaoa, nadhri ya milele hafai. Kama alimhasi Mungu sembuse siasa. Yalikuwa makosa kuleta muasi Chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
Jaribu kuwa na staha kwa Dr. Slaa. Anaweza akawa kama ulivyosema ba zaidi, lakini nafasi yetu ni kumheshimu kwa mchango wake mkubwa. Tumuache ajihukumu mwenyewe kwa madhaifu yake.
 
Mwl. Nyerere alisema ! Zambi ya usariti nikama kula nyama ya mtu, ukila nyama ya mtu huwezi kuacha.chadema
Mlimsariti Dr slaa, sasa Dr mashinji nabaadae cjui nani! Chadema kinaongozwa nawatu wenye hakiri ndogo nasikia pr safari nae kabwaga manyanga.. duh.
 
Back
Top Bottom