mawaziri

  1. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kulipwa au kutokulipwa perdiem, nani tumuamini kati ya John Heche na Kitila Mkumbo aliyekanusha madai ya Heche?

    Habari Wakuu! Siku chache zilizopita, niliweka uzi hapa Jukwaani nikihoji uhalali wa mawaziri kulipwa perdiem wawapo Bungeni. Mada ile ilitokana na tweet ya John Heche aliedai Waziri Mkuu analipwa perdiem awapo Bungeni. Hata hivyo, Siku ya leo Mhe. Kitila Mkumbo amejitokeza kuchangia mada...
  2. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Januari Makamba aanza kuwafanyia fitina Mawaziri wenzake

    Tumeona siku za karibuni Makamba badala ya kujitika kutatua matatizo makubwa yaliyoko kwenye Wizara yake yanayolalamikiwa wa wananchi kila mahali ikiwemo tatizo la kukatika kwa umeme, kuchelewa kwa miradi ya Rea, lakini ameanza kuwapiga fitna mawaziri wenzake ili waonekane hawafanyi kazi. Mfano...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Mawaziri akiwemo Waziri Mkuu, wanalipwa perdiem wawapo Bungeni kwa kigezo gani ili hali wanakaa katika nyumba za Serikali Dodoma?

    Kwa mujibu wa John Heche kupitiia account yake ya twitter, Waziri Mkuu analipwa posho ya shilingi 340,000/= kwa siku awapo Bungeni. Posho hiyo inahusisha sitting allowance pamoja na perdiem na bila shaka hata mawaziri wengine nao wanalipwa perdiem. Tukumbuke John Heche alikuwa mbunge. Wote...
  4. JF Member

    JamiiForums Tanzania Siku hizi Baraza la Mawaziri halikai?

    Wadau nina siku nyingi sana nazani takribani mwaka mzima bila kuona Baraza la Mawaziri likiwa limeketi. Wanakaa kwa siri? ama siku hizi halipo? Embu wakae wajadili walau hari ya chakula hapa nchini na maisha magumu kwa wananchi. Huku mtaani kama uchaguzi ukiitishwa leo CCM watatafutana...
  5. saidoo25

    JamiiForums Tanzania Hili lililomkuta Bashe liwe fundisho kwa Mawaziri

    Leo Waziri wa Kilimo ametamka hadharani kuurejesha Mfumo wa Ununuzi wa Mbolea BPS ambao ulifutwa Juni 2021 na kusababisha mfumko mkubwa wa bei za Mbolea nchini kwani wafanyabiashara waliuza mbolea kwa bei wanayoitaka wao bila kuwepo usimamizi wa Serikali. Jambo hili lililalamikiwa sana na...
  6. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Hivi ni lazima Mawaziri wanapoongea kumtaja taja Rais kila baada ya sentensi mbili?

    Salaam, Hapa nilikua nasikiliza hotuba ya waziri wa TAMISEMI, Innocent Bashungwa alipokua anazungumza na maafisa Mawasiliano wa mikoa, aise jamaa kamtaja rais zaidi ya mara 20. Ndio kuna mahala katika hotuba kuna uhitaji wa kumtaja rais labda kuna maagizo au nukuu au kufanya rejea ya matukio...
  7. Richard

    JamiiForums Tanzania Boris Johnson akalia kuti kavu, mawaziri wawili waandamizi wajiuzulu. Ni Waziri wa Fedha Rishi Sunak na Waziri wa Afya Sajid Javid

    Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA. Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao. Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid. Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mawaziri wanemwachia Waziri Mkuu suala la Ngorongoro! Kiti chake kipo salama tuendako?

    Kwa mtizamo wangu suala la Ngorongoro ni suala la sekta au Wizara na siyo suala linalopaswa kusimamiwa Moja Kwa Moja na Waziri Mkuu. Ni suala lenye dynamics nyingi zikiwemo zinazoweza kufifisha Imani ya mataifa mbalimbali dhidi ya utawala uliopo madarakani. Ni suala linalofifisha ndoto za Mhe...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa ghafla baada ya Waziri January Makamba na Naibu wake kukosekana Bungeni

    Wakati mbunge wa viti maalumu mh Magige akichangia bajeti ya Nishati ghafla mwenyekiti ameahirisha bunge kwa nusu saa na ametoka ukumbimi Tutawajuza yaliyojiri Source TBC ====== Mwenyekiti wa Bunge wakati akiongoza kikao cha Bunge ameahirisha shughuli za Bunge kwa nusu saa baada ya...
  10. Corticopontine

    JamiiForums Tanzania Hayati Magufuli alimpenda sana Nape Nnauye na alikuwa mwalimu bora kwake, ipo siku Nape atamkumbuka sana Magufuli

    Nape Moses Nnauye anamchukia Magufuli kwa sababu Magufuli alikuwa anamtaka Nape aishi maisha ya uhalisia aishi maisha ya kutokula rushwa atosheke na mshahara wake Magufuli alijua kuwa Nape ni kijana mdogo akiishi kwa kufanywa vuvuzela ataharibikiwa hapo baadaye endapo wanaombeba wakipotea lkn...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Mawaziri hawa ni bora wajitafakari uwepo wao katika hizo Wizara kwa maslahi mapana ya Taifa

    Ukitafakari na kuangalia kwa kina sana Utagundua Baraza hili la Mawaziri limejaa akiri kubwa tupu. Hongera kwa Rais SSH ,juu kuna Kassim Majaliwa pale Bashe ,huku Ummy kule Aweso ..nk Ila kuna hawa Kina MWIGULU,J MAKAMBA pamoja na NAPE utendaji wao na uteuzi wao ni wamashaka sana . Kama...
  12. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mawaziri wachapakazi hawakuondolewa sababu walikuwa wakimkwamisha Rais Samia

    Tulisikia kwa vinywa vyetu kuwa kuna baadhi ya mawaziri walikuwa na mpango wa kumkwamisha Rais Samia ili asifikie malengo yake ya kuwatumikia Watanzania. Hapa kwa haraka haraka tukapata hisia kuwa walikuwa na na nia ya kumzuia asitinge Ikulu kama mgombea wa CCM mwaka 2025. Ndipo tukasikia...
  13. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mawaziri mizigo wanaligharimu taifa na wananchi wanyonge wanataabika. Mkuu wa nchi yupo kimya kana kamba haoni. Hili ni tatizo

    Kwa nini mafuta yanapanda kwa namna hii huku kumbe yalinunuliwa zaidi ya miezi minne iliyopita. Kwa nini yapande sasa hivi mwaka huu 2022. Kwa nini huyu waziri wa pesa na tozo hajajiongeza kuangalia namna ambavyo tozo zinazosababisha mafuta kupanda bei kushushwa? Au kwa sababu yeye tozo...
  14. Linguistic

    JamiiForums Tanzania Ushauri: TAMISEMI ina haja ya kuwa na Mawaziri Watatu?

    Wakuu kulingana na Madudu yanayoendelea Tamisemi, Hii wizara ya TAMISEMI ilitakiwa kuwa na mawaziri WATATU. . Hoja yangu ni kwamba TAMISEMI TECHNICALLY INAUNGANISHA WIZARA ZOTE. . SO Inahitajika mtu mwenye CAPACITY KUBWA SANA YA KUFANYA COORDINATIONS YA VITU VYOTE. . Otherwise MAWAZIRI WATATU...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kumbukeni kutumia hekima mnapokinzana na walio chini yenu vinginevyo mtaua ubunifu

    Kuna watu wanadhania kuwa kiongozi mkubwa basi na akili huwa ni nyingi kuliko wengine! Hii dhana ni mbaya sana kuwamo kichwani mwa yoyote kwasababu Uongozi ni hekima ya kushauriana na waliochini (waliopo site)! Ifahamike kwamba waliochini ni wengi kuliko kiongozi mmoja! Kumekuwepo na tabia...
  16. Replica

    JamiiForums Tanzania Dar Mpya: Mawaziri na wabunge wako nyuma ya Umoja Party. Wengi watiifu kwa hayati Magufuli

    Taa zimeshawaka kwenda 2025, kama ni kweli basi kuna kambi imeona ni vigumu kutoboa ndani ya chama hivyo wameona wabadili upepo. Walioshika hatamu chamani ni wazoefu wa Siasa na Umoja Party inaweza kula 'keleb' kwenye ofisi ya msajili wa vyama vya siasa. Anyways, kanda ya ziwa hiyo inarudi zake...
  17. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mawaziri kuwekwa kitimoto na Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Abdulrahman Kinana amesema hivi karibuni Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) kitafanya kikao kitakachowakutanisha mawaziri wote ili kujadili mstakabali wa nchi hasa kuhusiana na suala la mfumko wa bei katika bidhaa mbalimbali hapa nchini...
  18. Replica

    JamiiForums Tanzania Waitara awashukia vikali Mawaziri. Zungu amjibu hata yeye alikuwa anafanya hivyo hivyo alipokuwa Naibu Waziri

    Leo mbunge Waitara amewashukia naibu Waziri maliasili na Waziri wa ardhi na kuwalaumu kumtegea mabomu njiani. Waitara amesema wahusika wameenda jimboni kwake na kudai wamemshirikisha eneo la mipaka na kuwahamisha watu bonde la mto Msimbazi. Waitara amewataka mawaziri wa Maliasili na Ardhi...
  19. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Spika Tulia na kauli ya "peleka swali la msingi" ni kuwahujumu wabunge na kuilinda serikali. Je, hataki mawaziri mizigo waumbuke?

    Natoa angalizo, Bunge kuwa live sisi tunafatilia hata kama ni la chama kimoja. Najua Ili Bunge Kuna baadhi ya wabunge na baadhi ya mawaziri ni mizigo. Mfano, mbunge wa Sengerema amekuliza swali zuri, nanukuuu! "Mh Waziri Kuna ngedere wengi wapo kisiwa cha Juma wanavamia mpaka mashamba ya watu...
  20. SULEIMAN ABEID

    JamiiForums Tanzania Mbunge Luhaga Mpina amuunga mkono Rais Samia kuwabana Mawaziri

    TAARIFA YA MHE. LUHAGA JOELSON MPINA (MB), MBUNGE WA JIMBO LA KISESA (CCM) KWA UMMA, LEO TAREHE 6 APRILI, 2022 KUUNGA MKONO KAULI YA MH. SAMIA SULUHU HASSAN, RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ALIYOITOA MACHI 30, 2022 KUHUSU BAADHI YA MAWAZIRI KUSHINDWA KUTOA MAJAWABU NA UFAFANUZI WA KINA...
Back
Top Bottom