Rekodi isiyofikiwa: Rais Mwinyi aitisha kikao cha Baraza la Mawaziri na kulivunja, mawaziri waondoka Ikulu wakitembea kwa miguu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Hii ndio rekodi iliyoshtua wengi na haijavunjwa hadi leo

Ni pale Rais wa awamu ya pili mzee Ally Hassan Mwinyi alipoitisha kikao cha baraza la mawaziri pale Ikulu ya magogoni na kuwatangazia wajumbe wake kuvunjwa kwa baraza hilo.

Na walipotoka nje ya ukumbi mawaziri hao watumbuliwa walikuta madereva na magari yao hawapo. Ndipo baadhi kama Waziri wa fedha, Utumishi, Elimu na Ardhi walitembea kwa miguu kurudi wizarani kufungasha na wengine walikodi taxi pale ofisi za bunge.

Nawatakia Dominica yenye furaha.

Maendeleo hayana vyama!
 
Ilikuwa mwaka gani?
 
"Nimeangalia hii story nikasema hiiii.Niseme kwa dhati ya moyo wangu na nyinyi ni mashahidi, haiwezekani mzee Mwinyi anizidi. Hiiiiiii"
 
Hii ndio rekodi iliyoshtua wengi na haijavunjwa hadi leo

Ni pale Rais wa awamu ya pili mzee Ally Hassan Mwinyi alipoitisha kikao cha baraza la mawaziri pale Ikulu ya magogoni na kuwatangazia wajumbe wake kuvunjwa kwa baraza hilo.

Na walipotoka nje ya ukumbi mawaziri hao watumbuliwa walikuta madereva na magari yao hawapo. Ndipo baadhi kama Waziri wa fedha, Utumishi, Elimu na Ardhi walitembea kwa miguu kurudi wizarani kufungasha na wengine walikodi taxi pale ofisi za bunge.

Nawatakia Dominica yenye furaha.

Maendeleo hayana vyama!
Thread tayari umemaliza?? Hii ajira uliyopewa hapo Lumumba ni ngumu sana. Wanahesabu umepositi mara ngapi bila kuangalia content.
 
CCM ni chama kikubwa bwashee kinaingiza mapato ya sh bilioni 59 kwa mwaka.

Chadema hata jengo la ofisi wameazima nyumba ya rip Bob Makani!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom