kangi lugola

  1. Mshana Jr

    Nimegundua 'KITI' na watendaji karibu wote hawaijui Katiba

    Kangi Lugola aliyewahi kuwa Waziri wa mambo ya ndani, alikuwa anaonesha uzalendo wake kwa kuvaa shati lililonakshiwa kwenye mifuko na bendera ya Taifa! Huku akitembea muda wote na kitabu cha Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Mwingine alijinasibu uzalendo kwa kuvaa tai yenye rangi za...
  2. M

    Yuko wapi Kangi Lugola?

    Yuko wapi Kangi Lugola? Aliwanyoosha Polisi kwa uonevu. IGP Sirro akaomba msaada Ikulu ili aondolewe uwaziri. Maarufu kama Mabendera ya taifa, huyu jamaa alistahili kuwa waziri wa mambo ya ndani.
  3. S

    Haji Manara amuibua Kangi Lugola ugomvi wake na Karia

    Haji Manara amemtaja Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola kwenye ugomvi unaoendelea baina yake na Rais wa TFF, Wallace Karia
  4. Teko Modise

    Hivi ilikuaje Kangi Lugola akawa waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi?

    Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri. Je, vigezo gani hayati alivitumia...
  5. Mackanackyyy

    Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

    Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija. Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/ makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi...
  6. Kiboko ya Jiwe

    Kangi Lugola alikuwa sahihi kuagiza vifaa kazi vya kisasa vya kuzimia moto, lakini akatumbuliwa kwa sababu zisizo na msingi

    Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto. Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
  7. J

    Uchaguzi 2020 Kangi Lugola achukua fomu za ubunge jimbo la Mwibara kupitia CCM

    Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM. ======= Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika...
  8. Mystery

    Rais Magufuli umekosea, kutomkemea vikali Kangi Lugola aliyekufananisha na Yesu

    Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama watarejea tena kwenye Bunge lijalo la 12 mwakani baada ya uchaguzi Mkuu. Kama tunavyokumbuka kuwa...
  9. Return Of Undertaker

    Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ___________ Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
  10. Naanto Mushi

    Swali fikirishi: Kitendo cha Kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu, sio kwamba ni maono ya mwisho mchungu wa utawala wa Magufuli?

    Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli...
  11. J

    Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
  12. sifi leo

    Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
  13. Mtini

    Huyu mupe huyu munyime: Kesi ya Kangi Lugola imefikia wapi, mbona bado anadunda mitaani?

    Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
  14. Elice Elly

    Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi Lugola bado yupo nje, wengine wapo ndani, Sheria ipo vipande vipande?

    Nchi ni moja, Bunge ni moja, Serikali ni moja, Jeshi la polisi ni moja inakuwaje watuhumiwa tofauti wenye tuhuma za aina moja wanashughulikiwa kwa mitindo tofauti? Sheria zetu kuna baadhi ya watu zimewafanya kuwa special? Inakuwaje wengine waendelee kusota lupango huku upelelezi haujakamilika...
  15. Roving Journalist

    TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

    Heshima kwenu wakuu, Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari. Tutatoa updates kwa kila kinachojiri. ==== UPDATES: Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
  16. Erythrocyte

    Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni na Ramadhani Kailima watinga TAKUKURU kuhojiwa

    Baadhi ya wadau walikuwa wanajiuliza kwamba kama Waziri wa Mambo ya ndani na Katibu wake wameng'olewa mbona wasaidizi wao hawajaguswa ? Jibu laweza kupatikana baada ya Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni na Naibu Katibu Mkuu Ramadhan Kailima kutinga TAKUKURU kwa mahojiano . Dodoma...
  17. Erythrocyte

    Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

    BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni. Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba...
  18. Nigrastratatract nerve

    Brigedia Jenerali Mbungo: Tunamuhitaji Kangi Lugola TAKUKURU kwa mahojiano siku ya Ijumaa tarehe 31/01/2020

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani Kangi Lugola aitwa na TAKUKURU kwa ajili ya mahojiano juu ya tuhuma za kuingia mkataba wa kimangungo wa zaidi ya Shilingi Trillioni moja. Aliyekuwa Waziri wa mambo ya ndani Kangi Alphaxard Lugola
Back
Top Bottom