kangi lugola

  1. Mackanackyyy

    JamiiForums Tanzania Dr. Dorothy Gwajima na makeke kama Kangi Lugola

    Binafsi Siamini kama Wizara ya Afya, ambayo kwa maoni yangu ni Wizara nyeti kabisa inahitaji kuwa na Waziri, ama viongozi wenye makeke, ama makelele yasiyo na tija. Kwanza uzoefu unatuonesha viongozi wenye makeke/ makelele wala hawadumu katika nafasi zao maana huwa hawana Ufanisi wowote zaidi...
  2. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola alikuwa sahihi kuagiza vifaa kazi vya kisasa vya kuzimia moto, lakini akatumbuliwa kwa sababu zisizo na msingi

    Tukichukulia tukio moja tu la moto uliotikisa au unaotikisa hifadhi ya Mlima Kilimanjaro tunapata jibu moja kwa moja kuwa ni vyema Jeshi la Zimamoto na Uokoaji likawa na magari na ndege za kisasa za kuzimia moto. Tanzania tuna hifadhi nyingi, hivyo lolote linaweza kutokea kwenye hizi hifadhi...
  3. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kangi Lugola achukua fomu za ubunge jimbo la Mwibara kupitia CCM

    Hatimaye mkongwe Kangi Lugola amechukua fomu za kugombea ubunge jimbo la Mwibara kwa tiketi ya CCM. ======= Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amejitokeza mapema leo katika ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bunda kuchukua fomu ya kuomba kuteuliwa kugombea ubunge katika...
  4. Mystery

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli umekosea, kutomkemea vikali Kangi Lugola aliyekufananisha na Yesu

    Siku ya leo Rais Magufuli aliitumia kwa kulihutubia Bunge la 11 na kulivunja rasmi, huku wabunge hao akiwaaga wakielekea majimboni mwao, kwenda kwenye mchakato wa kujaribu bahati yao, ili kama watarejea tena kwenye Bunge lijalo la 12 mwakani baada ya uchaguzi Mkuu. Kama tunavyokumbuka kuwa...
  5. Return Of Undertaker

    JamiiForums Tanzania Askofu Dkt. Bagonza amshukia Lugola kwa kumfananisha Magufuli na Yesu. Asema hii laana lazima itafune mtu na Taifa

    Anaandika Baba Askofu Rev.Dr.Benson Bagonza (PhD), Mkuu wa KKKT Dayosisi ya Karagwe. ___________ Kufuru haina kinga. Kwa Wakristo, dhambi isiyosameheka katika Agano Jipya ni kumkufuru Roho Mtakatifu. Na katika Agano la Kale ni ibada ya sanamu (idolatry). Amri ya kwanza aliyopewa Musa inasema...
  6. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Swali fikirishi: Kitendo cha Kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu, sio kwamba ni maono ya mwisho mchungu wa utawala wa Magufuli?

    Hii tafakuri imekaa kiimani zaidi, baada ya kangi Lugola kumfananisha Magufuli na Yesu Kristo. Nimejikuta najiuliza haya maswali na kwa kuangalia mazingira mapana ambayo taifa linapitia kwa sasa, inawezekana kabisa maneno ya Kangi Lugola yamebeba maono ya mwisho mbaya wa utawala wa Magufuli...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola: Rais Magufuli namfananisha na Yesu tofauti na Mbowe ambaye ni mlevi anayelewa Chako ni Chako

    Dah.....bunge linogile. Kangi Lugola amesema Rais Magufuli ni kama Yesu na kila aendapo wananchi humfuata kumweleza shida zao naye huwatatulia papo kwa hapo kama Yesu alivyomponya Batholomeo na kumfufua Lazaro. Lugola amesema Rais Magufuli ni mtu wa kipekee ambaye huwezi kumpata sehemu...
  8. Sifi Leo

    JamiiForums Tanzania Rais awasamehe Makamishina walioshirikiana na Kangi Lugola uliokuwa na viashiria vya ufisadi

    Nafuatilia Hotuba ya Mh Rais Magufuli akiwa anahutubia Askari Magereza katika sherehe ya uzinduzi wa jengo la ofisi za Magereza, sasa hivi kupitia TBC1 amekiri kuwasamehe wale viongozi wote walioshiriki kusaini mkataba uliokuwa na viashria vya rushwa akiwemo aliyekuwa Kamishina Jenerali wa...
  9. Mtini

    JamiiForums Tanzania Huyu mupe huyu munyime: Kesi ya Kangi Lugola imefikia wapi, mbona bado anadunda mitaani?

    Huu upendeleo unaoendelea nchini si mzuri unakusanya hasira ndani yetu mdogo mdogo. Huyu upelelezi ulishakamilika kwa mujibu wa Takukuru ila kwanini bado anadunda mtaani huku wengine wanasota rumande japo upelelezi haujakamilika.
  10. Elice Elly

    JamiiForums Tanzania Mtuhumiwa wa uhujumu uchumi Lugola bado yupo nje, wengine wapo ndani, Sheria ipo vipande vipande?

    Nchi ni moja, Bunge ni moja, Serikali ni moja, Jeshi la polisi ni moja inakuwaje watuhumiwa tofauti wenye tuhuma za aina moja wanashughulikiwa kwa mitindo tofauti? Sheria zetu kuna baadhi ya watu zimewafanya kuwa special? Inakuwaje wengine waendelee kusota lupango huku upelelezi haujakamilika...
  11. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Utabiri wa Lema na Lissu kwa wana CCM watimia

  12. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TAKUKURU: Uchunguzi sakata la Kangi Lugola na wenzie umekamilika. Jalada linapelekwa kwa Mwendesha Mashtaka (DPP)

    Heshima kwenu wakuu, Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU leo siku ya Ijumaa saa 7:00 mchana PCCB House Upanga, ataongea na vyombo vya habari. Tutatoa updates kwa kila kinachojiri. ==== UPDATES: Brig. Jen. John J. Mbungo, Kaimu Mkurugenzi Mkuu Takukuru akizungumza...
  13. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Naibu waziri wa Mambo ya Ndani Hamad Masauni na Ramadhani Kailima watinga TAKUKURU kuhojiwa

    Baadhi ya wadau walikuwa wanajiuliza kwamba kama Waziri wa Mambo ya ndani na Katibu wake wameng'olewa mbona wasaidizi wao hawajaguswa ? Jibu laweza kupatikana baada ya Naibu Waziri wa mambo ya ndani Hamad Masauni na Naibu Katibu Mkuu Ramadhan Kailima kutinga TAKUKURU kwa mahojiano . Dodoma...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Bungeni: Mwenyekiti PAC amtaka Kangi Lugola kutoa maelezo kuhusu sakata la ufisadi katika ununuzi wa sare za Jeshi la Polisi nchini

    BAADA ya Kangi Lugola, kuwekwa chini ya ulinzi na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kwa madai ya ufisadi, sasa kuwekwa kikaangoni bungeni. Kaboyoka ametoa hoja hiyo wakati akizungumza bungeni jijini Dodoma, jana tarehe 29 Januari 2020, huku akimtuhumu Lugola kwamba...
  15. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola adaiwa kuwa chini ya ulinzi

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Kangi Lugola hivi sasa yupo chini ya ulinzi unaomfanya asiweze kusafiri sehemu yoyote bila Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) kuwa na taarifa. Lugola alitenguliwa wadhifa wake baada ya kuhusishwa na mkataba wa kifisadi wa zaidi ya...
  16. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Video hii ya Kangi Lugola inatukumbusha kwamba madaraka ni dhamana ya Muda mfupi sana, Napendekeza itumike mashuleni kufundishia

    Bado sitaki kuamini kama Mh Kangi aliwahi kuamini kama kuna siku atakuja kuondoka madarakani kwa aibu kiasi hiki . Nawaomba sana vijana mnaopata madaraka leo mjifunze sana kwenye jambo hili
  17. Mk54

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli, hili la Kangi Lugola hujatenda haki. Sheria ya Uhujumu Uchumi inawahusu wananchi tu?

    Kwa Masikitiko Makubwa Kabisa! Japo Waziri wa Mambo ya Ndani aliamua kujitoa akili na kuonesha Immaturity mbele ya kadamnasi kwa kuongea vitu ambavyo kimsingi alikuwa akijielewa mwenyewe. Hata hivyo, halikumzuia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe swaga za Kangi Lugola

  19. Influenza

    JamiiForums Tanzania Kangi Lugola akubali kung’olewa Uwaziri asema Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe

    Aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola amekubali uamuzi wa Rais Magufuli kumuondoa katika nafasi hiyo akisema kuwa Rais ndiye aliyemteua na sasa ameona ampumzishe Amesema, “Kwangu mimi hili ni jambo la faraja. Ninyi Waandishi wa Habari na Watanzania mmemsikia Rais hatua alizozichukua...
  20. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kufahamu umri wa Bwana Kangi Lugola

    Nimeshangazwa sana na maneno ya Rais Magufuli wakati akimtumbua Lugola kuwa aliwahi kuwa mwanafunzi wake Sengerema Secondary wakati nikimtazama Rais Magufuli na Lugola ni kama Lugola ni mzee kuliko Magu sasa kwa wanaojua umri wa bwana Lugola wanifahamishe tafadhari Nimeangalia kwenye tovuti...
Back
Top Bottom