Teko Modise
JF-Expert Member
- May 20, 2017
- 1,914
- 6,033
Hayati Magufuli enzi za uhai wake alipata kumteua Kangi Lugola Ninja luwa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi.
Jana nikawa mtandaoni YouTube nikasachi jina la Kangi Lugola, video zilizokuja nyingi ni kukata viuno au kuongea ujinga huku alitambulika kama Waziri.
Je, vigezo gani hayati alivitumia kumpa Uwaziri poti Kangi Lugola Ninja? Maana ni miongoni mwa watu wa hovyo kuwahi kushika madaraka hayo