yupo wapi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Maoni: Yaitishwe maandamano nchi nzima ili tuambiwe yupo wapi Nchimbi.

    Kwa mujibu wa katiba ya JMT alikuwa kiongozi wa pili baada ya raisi baada ya rais wa JMT. Yupo wapi? Yupo hai au amekwisha toweka kama Polepole? Taifa zima liitishe maandamano ili kujua yupo wapi? Hii nchi sio mali ya wanaCCM mtandao.
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kassim Majaliwa atangaza ghafla kutogombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa

    Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa, ametangaza rasmi kustaafu kugombea tena Ubunge wa Jimbo la Ruangwa, mkoani Lindi, baada ya kuliongoza kwa takribani miaka 15 mfululizo tangu mwaka 2010. Soma, Pia: Waziri Mkuu, Majaliwa atangaza kugombea tena Ubunge wa Ruangwa...
  3. Dogoli kinyamkela

    JamiiForums Tanzania Yuda yupo wapi na ana hali gani

    Yuda yupo wapi na ana hali gani
  4. min -me

    JamiiForums Tanzania Kama hauna hela za kutosha utalaumu sana single maza

    Msione tunawasapoti kwenye mada zenu za kuacha kuwahudumia wanawake mkaona tupo pamoja na nyie . Ukitumia akili ukitafuta pesa vizuri na ukampenda mwanamke mzuri wa ndoto zako utampa huduma,,yaani pesaa. Huwa naweka mada kupima kiwango cha umaskini ila ukiwa na akili timamu hauwezi...
  5. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Gwajima yupo wapi? Hatuoni akijitokeza na kuongelea mustakabali wa nchi kama tulivyomzoea

    Je Gwajima amelambishwa asali? Je Gwajima amepata vitisho ? Je Gwajima ameona aliokuwa anawatetea sio watu sahihi ni heri ajiunge na wenzake wana ccm kujichotea mali za uma nk? Hatujamzoea hivi , au kuna mahali wamembana kaona akifanya fyoko watamfilisi ikiwezekana kumbambikia kesi? Jasusi...
  6. Msanii

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi member johnthebaptist???

    Wakati joto la uchaguzi haramu 2025 limepamba moto, member mwenzetu johnthebaptist alianza kuonesha kupingana na upande aliokuwa anautetea (watawala) kupitia baadhi ya maandiko yake. Leo nimekuwa tagged na member mmoja kunikumbusha mjadala wa kutoonekana kwa member mwenzetu JOHNTHEBAPTIST...
  7. Smartkahn

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi! Raisi mtaafu J.Kikwete.???

    Kwamaana hakuna mwingine ni yeye aliyebakia, sasa anatuvusha vipi katika hali hii. Katika kipindi hiki kigumu yuko wapi? Hasa ukizingatia umahili wake katika kutatua migogoro, mbalimbali ya kisiasa na kiutawala sehemu mbalimbali Duniani. Nchi imeharibika ikiwa mikononi mwake hivyo ni wajibu...
  8. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Abdulhalim Hafidhi Ameir?

    Huyu mtu mtoto wa Rais Samia yupo wapi? Hasikiki kabisa. Yaliyoko kwenye korido za wanausalama wazalendo ni kwamba mratibu Mkuu wa matukio ya mauaji ya MO29 ni huyu mtu. Ndiye aliyekuwa mastermind na ndio maana serikali inakigugumi kizito kuchukua hatua yoyote kwani kila kitu kipo under his...
  9. Beira Boy

    JamiiForums Tanzania Tunaomba kujua ni wapi aliko Rais wetu kipenzi Samia Suluhu Hassan, Rais ni mali ya umma

    Amani iwe nanyi watumishi wa MUNGU Rais ni mali ya watu wote ni mali ya raia Tunaomba kujua ni wapi alipo maana kimiya na tetesi ni nyingi sana Kwaamaana October tunataka kutic Ni wapi alipo rais wetu Asanten sana LONDON BOY
  10. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Nabii Tumainiel wa JF?

    Wakuu najua hamko salama kutokana na madhila yanayoendelea kutuandama kama Taifa. Kama mwanachama wa JF, kuna "members" wengi ambao kwa kweli huwa ninawakubali sana kutokana na upeo wao mkubwa wa kuona mbali, akiwemo TumainiEl . Ukifuatilia michango yake mingi, na mabandiko yake, unaweza...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Tetesi hizi: Ester Bulaya yupo wapi?

    Taarifa kuhusu yeye si nzuri sana
  12. B

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi siku hizi Aggrey Marealle?

    Nakumbuka miaka hiyo Aggrey Marealle nilikuwa namuona sana kwenye media akiwa mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya TBL. Yupo wapi siku hizi huyu ndugu kwa anayefahamu.
  13. technically

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia yupo wapi?

    Samia yupo wapi na yu Hali gani? Kampeni zimesitishwa? Hakuna uchaguzi mwaka huu Bila reform tuliwaambia mkashupaza shingo Tuendelee kuwepo!!
  14. Damaso

    JamiiForums Tanzania Msanii Besta yupo wapi?

    Hapo zamani si sana, katika anga za burudani za Tanzania, kulikuwepo na dada mmoja ambaye jina lake likitajwa, kila mtu alikuwa na simulizi lake. Sio tu kuimba, bali hata alipokanyaga jukwaani kwa kucheza, watu walibaki mdomo wazi. Hakuwa kama hawa watoto wa 2000 ambao hurukaruka tu na bado...
  15. Prakatatumba abaabaabaa

    JamiiForums Tanzania kwanini waumini wa Gwajima wanateseka, Mungu yupo wapi?

    Ukisoma biblia kuanzia Mwanzo mpaka Ufunuo Mungu alijitokeza waziwazi pale anapoona watu wake wakiteseka na kuumizwa. Nimepita hapo ubungo nimeona police wakizingira kanisa la KKKT ambapo waumini wa gwajima wanasali hapo, kimachoenda kutokea hapo ni kipigo cha hatari, Mungu yuko wapi awatetee...
  16. Cannabis

    JamiiForums Tanzania DC Albert Msando: Gwajima ajitokeze alipojificha aelezee umma kilichotokea

    DC Albert Msando amesema Askofu Gwajima ajitokeze kutoka huko alipojificha aelezee umma ni nini kilichotokea. Amesema kama Askofu Gwajima hana makosa ni kwa nini anawaogopa polisi. Pia soma ~ Askofu Gwajima kajificha? Wakili Peter Kibatala, DC Mtatiro wajibizana kwa hoja Mtandaoni
  17. Uponyaji na uzima

    JamiiForums Tanzania Yupo wapi Askofu Gwajima? Mamlaka za kidunia hazifahamu pamoja na kuzingira kanisa

    Pamoja na kwamba alikuwepo wakati wanavamia kanisa siku ya jana, bado hawajafanikiwa kumuona. Taarifa nilizopata ni kwamba anaenda kushusha "press" na wakali wa "Mahanaim" wanatinga mahakamani. Bila kusahau kwamba mpambano katika ulimwengu wa roho nao unaendelea vikali dhidi ya jezebeli.
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makalla (CCM): Mzee Wasira hajakata moto, hana jambo lolote ni ratiba tu ya mapumziko

    Katibu Mwenezi, itikadi na mafunzo wa Chama cha Mapinduzi CCM Amos Makalla akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam amejibu kuhusu ukimya wa Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara, Stephen Masato Wasira.
  19. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wasira: Hali ya kisiasa Tanzania ni Tulivu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bara, Stephen Wasira, amesema hali ya kisiasa nchini ni tulivu, ambako amemjibu mwanazuoni mmoja aliedai kuwa hali ya siasa ni mbaya. Mkongwe huyo wa siasa nchini amesema mwanazuoni huyo anachanganya hali mbaya ya chama chake na Tanzania kwa...
  20. O

    JamiiForums Tanzania Kitima yupo wapi hatujazoea kimya hii

    Kapona? Au bado wenye data?
Back
Top Bottom