#COVID19 Askofu Kakobe: Chanjo ya COVID-19 siyo chapa ya 666

Elisha Sarikiel

JF-Expert Member
Aug 29, 2020
889
1,515
TAZAMA VIDEO YA SOMO CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA YA 666

Baada ya maombi ya Maaskofu na Wachungaji kadha wa kadha, wa madhehebu mbalimbali ya Kikristo; jana Alhamisi 12.8.2021, akiwa ofisini kwake Askofu mkuu Zachary Kakobe amefundisha Somo muhimu, lenye kichwa, "CHANJO YA CORONA SIYO CHAPA 666".

Ameweka VIDEO ya somo hili, kwenye mtandao wa YOUTUBE; na "link" yake kwenye Ukurasa wake #facebook, (Bishop Zachary Kakobe International Ministries) mara tu baada ya Video hiyo kuwekwa YouTube.

Hili siyo somo la kukosa kusikiliza. Panga kutazama video ya somo hili kwa kubofya "link" hiyo hapo juu.

Kumbuka kumwambia na mwenzako na zidi kubarikiwa

Pia siku ya Jumapili ya tarehe 15-Agosti -2021 Askofu mkuu Zachary Kakobe atahubiri ujumbe maalum kama tangazo linavyoonekana hapa chini.
#MARANATHA

FB_IMG_1628595803756.jpg
 
View attachment 1890314

Kakobe ni sleeper agent wa Shetani huyo,hana lolote,mbona tunamjua.Ndio watakao muambia Bwana Yesu tuliponya wagonjwa kwa jina lako na kutoa pepo kwa jina lako,naye atawaambia ondokeni kwangu siwajui!How shameful and painful it will be.

Na hivi bado mnashabikia kinachoitwa chanjo ya Covid,wenzenu Ulaya wameshai-drop na sio lazima tena na mandates zote zimeshakuwa dropped starting with the UK,na sasa kwa aibu wamelianzisha la Ukraine ili wajifiche hapo!Amkeni ninyi,wenzenu waliwaingiza mkenge.Kama ulichanjwa pole,ni Zombie wao tayari,kila watakalokuamuru ufanye utafanya.Ushoga ni mzuri sawa;kuua watu sio vibaya,sawa;umalaya mzuri sawa;kuoa na kuacha wanawake hakuna tatizo sawa;kuzaa hivyo nje ya ndoa hakuna shida,sawa;kuzaa hivyo hivyo bila ndoa sio vibaya,sawa;Shetani naye ni Mungu sawa;Annunaki ndio waliomuumba mwanadamu,sawa;kula nyama ya binadamu hakuna shida,sawa;kutoa watoto kafara hakuna shida,sawa;kuangalia picha za ngono hakuna,shida,sawa nk.nk.
 
Back
Top Bottom