chanjo ya covid-19

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    Wizara ya Afya: Watanzania Milioni 32 wamepata Chanjo ya COVID-19

    Watu Milioni 32 sawa na asilimia 53 ya watanzania wakamilisha chanjo dhidi ya Uviko-19 WIZARA ya Afya imesema kuwa hadi kufikia Desemba mwaka jana jumla ya watu Milioni 32.5 ambao ni sawa na asilimia 53 ya watanzania wote wamekamilisha chanjo dhidi ya ugonjwa wa Uviko-19. Hayo yalibainishwa...
  2. M

    Chanjo ya COVID-19 mbona sisikii kampeni tena?

    Lile dili la kuchanja watu nchi nzima limeishia wapi? Maafisa, wameshakula pesa zao na kununua Apartments Dubai, wamesizi wanasikilizia mchongo mwingine? Aisee mjini mipango!
  3. Sildenafil Citrate

    #COVID19 China yaidhinisha Chanjo ya COVID-19 inayotolewa kupitia pua

    Kwa mara ya kwanza duniani, nchi ya China imeidhinisha matumizi ya chanjo ya kupambana na ugonjwa wa COVID-19 inayotolewa kwa njia ya kuvuta kiasi kidogo cha dozi kupitia pua. Chanjo hiyo iliyopewa jina la CaSino's Ad5-nCoV imetengenezwa kwa kutumia adenovirus, aina ya virusi waliopoozeshwa na...
  4. JanguKamaJangu

    Marekani yazindua chanjo ya COVID-19 kwa watoto wachanga

    Marekani imeanzisha mchakato wa chanjo ya COVID-19 kwa ajili ya watoto wachanga na wale wanaosoma shule za awali, ambapo itaanza kutumika kuanzia wiki ijayo. “Tunajua kuna mamilioni ya wazazi ambao wanaisubiri chanjo hii kwa ajili ya watoto wao,” – Dkt. Rochelle Walensky kutoka Vituo vya...
  5. L

    #COVID19 Nigeria yateketeza chanjo ya COVID-19 iliyokwisha muda wake

    Hivi karibuni, Nigeria iliteketeza dozi milioni 1.06 za chanjo ya COVID-19 ya AstraZeneca iliyokwisha muda wake. Wakati virusi vipya vya Corona Omicron vinaenea haraka duniani kote, jambo hilo lililotokea katika nchi ya Afrika, ambako kuna uhaba mkubwa wa chanjo na idadi ndogo ya watu waliopata...
  6. M

    Je, chanjo ya COVID-19 inachukua muda gani hadi kuanza kufanya kazi mwilini?

    Natarajia kuchanja chanjo ya COVID-19. Hivi inachukua muda gani mpaka kuanza kufanya kazi mwilini?
  7. J

    #COVID19 Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ya COVID-19 ni mchakato endelevu

    Ufuatiliaji wa usalama wa chanjo ni muhimu katika ngazi za kitaifa, kikanda na kimataifa. Baada ya chanjo yoyote kutambulishwa, WHO hufanya kazi na watengenezaji chanjo, maafisa wa afya, kamati za ushauri za kitaifa na washirika wengine kufuatilia maswala yoyote ya usalama kwa kila mara. Maswala...
  8. J

    #COVID19 Usinywe pombe kupindukia baada ya kupata chanjo ya COVID-19

    Watu wamekuwa wakijiuliza endapo kama kuna madhara pale ambapo mtu atakunywa pombe siku au saa chache baada ya kupata chanjo ya COVID19 Shirika la Afya Duniani (WHO) linasema unywaji wa pombe baada ya Chanjo ya COVID-19 hauna madhara lakini ulevi wa kupindukia unaweza kupunguza ufanisi wa...
  9. J

    #COVID19 CDC: Hakuna madhara kupata chanjo za maradhi mengine kabla au baada ya chanjo ya COVID-19

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema watu waliopata chanjo ya COVID-19 wanaweza kupokea chanjo za maradhi megine. Mwitikio wa chanjo mwilini hautofautiani endapo mtu atapata chanjo ya aina moja au tofauti. ====== Getting a COVID-19 Vaccine with Other Vaccines People...
  10. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 ni salama kwa wagonjwa wa Saratani

    Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani? Jibu: Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha Texas wameamua kuwa chanjo za COVID-19 ni salama na zinapendekezwa kwa wagonjwa wa saratani. Wataalam...
  11. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 haiathiri nguvu za kiume

    Wataalamu wa Afya wanaeleza kuwa nadharia zote zinazozihusisha Chanjo za #Coronavirus na kupunguza nguvu za kiume na mfumo wa uzazi kwa mwanaume sio za kweli. Aidha kutokana na tafiti mbalimbali zilizofanywa juu ya suala hili Wataalamu wanabainisha kuwa Chanjo za corona zimetengenezwa ili...
  12. J

    #COVID19 Mchakato wa kupata Chanjo ya COVID-19 hauchukui muda mrefu

    Watu wengi wanauliza shughuli nyingi sana kupata chanjo; je, ni lazima mchakato kuchukua muda mrefu? Wataalamu wa Afya kutoka Chuo Kikuu cha Augusta huko Georgia Nchini Marekani wanasema ingawa chanjo za Pfizer-BioNTech na Moderna huchomwa kwa awamu mbili, mchakato huwa ni wa haraka na...
  13. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 haisababishi usumaku mwilini

    CHANJO YA COVID19 HAISABABISHI USUMAKU MWILINI Kituo cha CDC kinasema chanjo ya COVID19 haisababishi mwili au sehemu ya mwili iliyochomwa sindano kutengeneza nguvu ya usumaku Chanjo hizo hazina viambata vyovyote vyenye asili ya chuma ====== Can receiving a COVID-19 vaccine cause you to be...
  14. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 inajenga kinga yake siku 15 baada ya dozi ya mwisho

    Wataalamu wanafafanua kuwa unapota chanjo ya Covid-19 haimaanishi kuwa kinga ya mwili dhidi ya corona inatengenezeka hapo hapo, wasisitiza watu wanaochanjwa kuwa na subira ili kuipa nafasi chanjo kutengeneza kinga kamili mwilini. Aidha, wanaweka bayana kuwa kuwa unapochanjwa dozi ya mwisho...
  15. F

    #COVID19 Benki ya damu na chanjo ya COVID-19

    Wataalam tusaidieni. Hivi ukiongezwa damu ya mtu aliyechanjwa chanjo ya Covid wakati wewe hujachanja je, damu hiyo mpya haiwezi kuhamia kwenye damu yako na chanjo ile kwamba huna haja ya kuchanja tena? Kwa kuwa sayansi ya tiba iko kimya kwenye hilo, najaribu kujifikirisha kwamba endapo...
  16. J

    #COVID19 UNICEF: Watoto wajibiwe kirafiki wanapohoji kuhusu chanjo ya COVID-19

    Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema kuwa watoto wanapaswa kufahamu kinachoendelea kuhusu Chanjo ya COVID-19 na ni muhimu wapewe majibu ya kirafiki Kama mzazi ana hofu kuwa taarifa aliyo nayo inaweza kumstua mtoto, inashauriwa kutoonesha hofu hiyo kwani hisia za watoto...
  17. J

    #COVID19 UNICEF: Watoto wapewe taarifa sahihi kuhusu chanjo ya COVID-19

    Shirika la Kuhudumia Watoto Duniani (UNICEF) linasema ni vyema watu wazima wakawa na taarifa sahihi kabla ya kuzungumza kuhusu chanjo ya COVID-19 na watoto Inashauriwa pia kusikiliza maoni na mitazamo yao na kuzingatia hofu zao Ni vema wakaona wapo huru kueleza mitazamo yao kwa watu wazima...
  18. J

    #COVID19 Serikali: 34% ya Watanzania walengwa wa awamu ya kwanza wamepata chanjo ya UVIKO-19, sasa tunapeleka chanjo Vijijini

    Msemaji mkuu wa serikali Gerson Msigwa amesema takribani watu 345,000 sawa na 34% ya chanjo zilizokuja wameshachanja. Msigwa amesema kazi kubwa imefanyika kuhakikisha watu hao wengi wamechanjwa na sasa kipaumbele kitakuwa vijijini ambako tunawapelekea chanjo huko huko. Msigwa amesema chanjo...
  19. J

    #COVID19 CDC: Pata chanjo ya COVID-19 iliyoidhinishwa katika eneo unaloishi

    Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi. CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo ya #COVID19 haraka iwezekanavyo kwani chanjo kuwafikia watu wengi ndiyo njia sahihi ya kumaliza...
  20. J

    #COVID19 Chanjo ya COVID-19 haiondoi uwezo wa kupata watoto

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa nchini Marekani (CDC) imesema kuwa ikiwa unajaribu kupata ujamzito sasa au baadaye, unaweza tu kupata chanjo ya COVID-19 inayopatikana katika eneo lako kwani ushahidi kwamba chanjo ya COVID-19 husababisha shida yoyote kwa mchakato wa kupata ujauzito au...
Back
Top Bottom