#COVID19 Chanjo ya COVID-19 ni salama kwa wagonjwa wa Saratani

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Aug 7, 2018
625
938
photo_2021-11-24_10-55-21.jpg


Je, hupaswi kupata chanjo ya COVID-19 ikiwa kwa sasa unapokea matibabu ya saratani?

Jibu:
Baada ya kukagua kwa uangalifu chanjo hizi, wataalam wa matibabu wa MD Anderson katika Chuo Kikuu cha Texas wameamua kuwa chanjo za COVID-19 ni salama na zinapendekezwa kwa wagonjwa wa saratani.

Wataalam wanasema hakuna wasiwasi wowote wa kiusalama kuhusu chanjo kwa wagonjwa ambao kwa sasa wanapokea matibabu ya saratani, lakini chanjo hizo zinakuwa na ufanisi zaidi ikiwa zimepangwa kwa uratibu na ratiba yako ya matibabu.

Daktari wako wa magonjwa ya saratani anaweza kukusaidia kuamua wakati unaofaa wa kuchanjwa, ili kuongeza uwezekano wa kupata manufaa kamili ya chanjo

Iwapo kwa sasa unapokea tiba ya kemikali, tiba ya kinga, matibabu ya seli za CAR, upandikizaji wa seli shina au umesajiliwa katika jaribio la kimatibabu, wasiliana na mtoa huduma wako kuhusu muda wa miadi ya chanjo. Wagonjwa ambao wamefanyiwa upasuaji hivi karibuni wanapaswa kusubiri kwa wiki 2 baada ya tarehe ya upasuaji ili kupokea chanjo.

========

Myth: You shouldn’t get a COVID-19 vaccine if you’re currently receiving cancer treatment.

Fact: After carefully reviewing all available data on these vaccines, MD Anderson medical experts have determined that COVID-19 vaccines are safe and recommended for current and former cancer patients.

“There are no safety concerns about vaccination for patients who are currently receiving cancer treatment, but the vaccines will likely be more effective if timed in coordination with your treatment schedule,” says Welela Tereffe, M.D., chief medical executive. “Your oncologist can help you decide when the right time is to be vaccinated, to maximize the chances that you'll get the full benefit of the vaccine.

If you’re currently receiving chemotherapy, immunotherapy, CAR T-cell therapy, stem cell transplants or are enrolled in a clinical trial, check with your provider about vaccine appointment timing. Patients who have recently had surgery should wait for 2 weeks after their surgery date to receive the vaccine.

All other patients can go ahead and schedule a COVID-19 vaccine appointment without contacting their provider for further guidance.

Source: MD Anderson Cancer Center, University of Texas
 
Chanjo ya COVID 19 ni salama kwa mtu yoyote bali ni upotoshaji tu unaofanywa na watu wajinga kama akina Gwajima ndo unasababisha itiliwe shaka na watu wenye elimu kidogo
 
Back
Top Bottom