Search results

  1. Mtemi Eno

    Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  2. Mtemi Eno

    Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  3. Mtemi Eno

    Mpango wa kumuaga Mkude kwa heshima siku ya Simba Day bado upo?

    Kuongezea maumivu zaidi kuna tetesi kwamba Chama anaweza kwenda Yanga. Huo mpango wa kumuaga bado upo?
  4. Mtemi Eno

    Mchezo Mchafu: Kuna kina mama huwatuma mabinti kuingia vyumba vya wapangaji wa kiume, fumanizi la video hufanyika ni aidha utoe pesa ama unaenda jela

    Kuna mchezo mpya siku hizi kina mama hasa wenye nyumba za kupanga huwa wanawafundisha mabinti kujenga ukaribu na wapangaji wa kiume ili kuingia vyumbani mwao kuangalia tv, kuomba kuwafanyia usafi, kuomba kuingiziwa nyimbo au muvi, n.k. (mbinu kibao) sambamba na kuwafunza mitego ya kuwazuzua...
  5. Mtemi Eno

    Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  6. Mtemi Eno

    Lugha gongana, Naombeni tafsiri ya “Received from” na “Issued to”

    Good afternoon members (sijui kama nimepatia 😂 ) Kuna sehemu imeandikwa Received from / issued to. hapa unaweza kuandika bidhaa flani imeletwa kutoka stoo ama naandika majina ya wateja waliokuja kuchukua bidhaa . Naombeni msaada kuibadili iwe kiswahili
  7. Mtemi Eno

    "zilipotokea na zinapokwenda" pana utofauti ?

    Mfano una daftari la kurekodi stock inavyoingia kutoka stoo au ukinunua, na pia unarekodi stock ikitoka aidha kwa kuwauzia wateja ama kuibiwa. ni sawa kuandika "zilipotokea na zinapokwenda" ama kuna maneno yapi yanaweza kuwa mbdala mzuri
  8. Mtemi Eno

    2026 hapa bongo patakuwa na wachezaji wanalipwa milioni 50 kila mwezi

    Makampuni mengi kwa sasa idara ya masoko hawabezi fact kwamba hizi timu zina wafuasi wengi kuzidi vyama vya siasa na huunganisha watu pamoja hata kwenye tofauti za kidini ama siasa. Makampuni tunayaona kwa sasa yanataka ukaribu kwa namna yoyote na hizi timu, si ya hapa kwetu tu bali hata nje...
  9. Mtemi Eno

    Hodi! Naombeni mnipokee

    Nimekuwa msomaji wa Jamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania. Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city.
Back
Top Bottom