Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

Mtemi Eno

Member
Jul 10, 2023
37
145
Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB.

Hii njia ipo fresh.

 
Ukishare link zao unapewa GB 6 za kutunzia mafaili ya kudownload

1689279834030.png
 
Kuna site ya

Torrent Safe

Hii una download free kabisa unlimited na ina speed sema limit ake file la torrent lisizidi 1GB tu ko movies zile za resolution ya 720p mostly zinakuaga under 900MB unazidownload chap tu.. Nina nyingine nilipewa na mshkaji wangu wa Russia, yenyewe ndo haina limit kabisa huwa nashusha mizigo kama na download videos za YouTube tu sema siwezi iweka hapa public wala kumpa mtu yeyote mchizi atajua nmeanza kuishare make aliitengeneza mwenyewe..
 
Back
Top Bottom