Hodi! Naombeni mnipokee

Mtemi Eno

Member
Jul 10, 2023
37
145
Nimekuwa msomaji wa Jamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania.

Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city.
 
Nimekuwa msomaji wa hamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), na ndio kama hivi nimo ndani ya system,

Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city,
Mgeni gani unakuja usiku?

Anyway, vyumba vimejaa. Nenda katafute pa kujisitiri kisha tutaonana asubuhi.
 
Mgeni gani unakuja usiku?

Anyway, vyumba vimejaa. Nenda katafute pa kujisitiri kisha tutaonana asubuhi.
Nimekodi kirikuu ije usiku mwenye nyumba asinione 😂😂

Mwenye nyumba niliyohama mke wa polisi kila siku bili za maji, umeme, taka, n.k. ilimradi anywe bia , akiona unaondoka anakagua chumba anaanza pigo sizo apate hela ya savana kadhaa, atakwambia umeharibu rangi, ukibisha defender inaletwa.
 
Nimekuwa msomaji wa hamiiforums kwa muda mrefu ila leo nimebofya kitufe cha register (kujisajili), nami kwa sasa ni mwanachama wa hii platform kubwa ya kitanzania.

Naombeni mnikaribishe, mnipokee mizigo na ikibidi mnipe a,b,c,d za hili jiji la kidijitali. j city.
Karibu mgeni mwenzangu . Mwenyewe nilikua msomaji tu ila nimejalibu mala nyingi sana kujiunga atimae nikafanikiwa . So karibu ulimwengu wa ma GT
 
sehemu nzuri ya kuondoa upweke, kupata mawazo mapya na burudani kedekede. jf is never boring, welcome.
 
Back
Top Bottom