Search results

  1. B

    Mchekeshaji Nyanda Kabundi fanya haya

    Habari zenu. Iko hivi nadhani kwa kila mmoja wetu anamfahamu mchekeshaji aliyeibuka siku za hivi karibuni anayeitwa Nyanda Kabundi. Iko hivi mchekeshaji huyu nataka nimshauri kitu kimoja. Atafute watu sahihi wa kumsimamia nyuma yake. Ninamuona ana kipaji kikubwa lakini kuna marekebisho...
  2. B

    Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

    Habari zenu wadau wa JF. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania. Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya...
  3. B

    Rais Samia asingembadilisha Balozi Mbelwa Kairuki

    Habari zenu, Siku za hivi karibuni Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali. Kati ya taarifa iliyonishitua ni ya balozi Mbwelwa Kairuki kutolewa China na kupelekwa Kwa Malikia Uingereza. Kwanini kitendo cha...
  4. B

    Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

    Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani...
  5. B

    Nielimisheni kuhusu hii App ya Boxreta

    Habari zenu wakuu Jana nilisoma ujumbe sehemu kuhusu app inayoitwa Boxreta kwamba ni app ambayo inauwezo wa kumsaidia mtumiaji aweze kusoma meseji za mtu mwingine. Swali langu kwa waliowahi kutumia app hii je unafanya kazi kweli? au ni ya matapeli maana nasikia app hiyo ni ya hapa hapa Tanzania.
  6. B

    Msanii Barnaba atanisamehe katika hili

    Habari zenu.Kwanza nianze kwa kusema kuwa simchukii msanii wa Bongo Fleva "Barnaba Boy". Nitakachokiandika hapa kinatokana na hisia zangu binafsi. Ni hivi mimi Kwa uwezo wangu mdogo kuhusu mziki wa hapa nchini huwa namuona msanii Barnaba kama msanii mwenye juhudi zaidi lakini ana uwezo wa...
  7. B

    Mfanyabishara Paulo Mashauri, anajua sana aisee

    Habari zenu.Naanza mwaka 2018 ndiyo ulikuwa ni mwaka wangu wa kwanza kumjua mfanyabiashara au mjasiriamali ambaye anaitwa Paulo Mashauri. Ilikuwa katika kituo cha redio cha Times FM kipindi kilikuwa kinaitwa "Mambo ya fedha" ambacho kilikuwa kinarushwa kila jumapili kuanzia saa...
  8. B

    Video za YouTube zinazoelezea shuhuda za matukio ya ajabu ya ngono huwa ni za kweli?

    Habari zenu, Mara nyingi ninapokuwa naperuzi YouTube kuangalia videos mbalimbali nimekuwa nikikutana na videos za ajabu ajabu, videos ambazo mara nyingi huwahusu wanawake ambao huwa wanatoa ushuhuda au kuelezea matukio mbalimbali ya kingono ambayo wamewahi kukutana nayo. Kwa mfano, unaweza...
  9. B

    Nipeni ushauri kuhusu huyu mwanamke maana nipo njia panda

    Habari zenu Bila kupoteza muda Mimi naishi jijini Arusha, nimetokea kuwa katika Mahusiano na kadada kamoja hapa hapa Arusha. Mahusiano bado hayajawa deep kwani tuna muda mchache kama miezi minne. Kikubwa kilichonivutia Kwa huyu dada ni kwamba ni mpole, mkarimu pia ana hofu Sana na Mungu(huyu...
  10. B

    Mambo mawili yaliyonishangaza Tanga

    Habari zenu wana JF, Wiki moja iliyopita nilifanikiwa kusafiri kutoka mkoani Arusha hadi mkoani Tanga hasa katika wilaya ya Handeni vijijini. Kwakweli tembea uone. Nilipofika Handeni vijijini kuna kijiji kinaitwa (Kwamgwe) nilishangazwa na mambo makubwa mawili. Mambo gani hayo? Jambo la kwanza...
  11. B

    Msaada: Wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wanapataje faida?

    Habari zenu, Nauliza hivi; wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wao wanapataje faida? Nimeuliza hivyo kwasasabu usajili wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi unaongezeka kila kukicha na inavyoonekana ni biashara nzuri. Nawasilisha.
  12. B

    Mambo mawili niliyojifunza katika Vita ya Kagera

    Habari wadau wa JF.Kwanza kabisa mimi sikuwepo wakati vita ya Kagera(1978-1979).Nilikuwa bado sijazaliwa.Lakini kupitia kutazama mikanda ya ya video ya Vita ya Kagera iliyopo YouTube na kwenye CD kuna mambo mawili nimejifunza katika vita hiyo.Mambo gani hayo?.JAMBO LA KWANZA nchi yetu ya...
  13. B

    Hivi ndivyo tunavyodanganyana kuhusu Ligi Kuu yetu (NBC PL)

    "LIGI yetu inaeendelea"."Ligi yetu imepiga hatua".Hizi ni baadhi ya kauli za watu ambao wamekuwa wakijitokeza na kusema hivyo. Binafsi sidhani.Kwani maendeleo ya ligi kuu huwa yanatazamwa kwa kuangalia vigezo vipi katika timu?.Jibu ni jepesi tu. Ni viwanja bora vya timu,malipo mazuri ya...
  14. B

    Biashara ya kwenye Soka ipo hivi

    Habarini, Naanza. Bila Shaka huwa unaona au kusikia kwamba soka au mpira wa miguu yaani "Football" ni biashara kubwa sana tangu miaka mingi. Unapona vilabu vikubwa kama Manchester United, FC Barcelona au PSG vinatumia pesa nyingi sana katika uwekezaji ndani na nje ya uwanja ujue pia vilabu na...
  15. B

    Kwanini idadi kubwa ya Watanzania wana mtazamo hasi kwenye suala la mafanikio ya kifedha?

    Habari zenu wadau, Nahisi hii itakuwa ni post yangu ya Kwanza kabisa humu JF. Turudi kwenye mada. Kwa muda mrefu sana nimekuwa nikijiuliza kwanini idadi kubwa ya Watanzania huwa wanakuwa na mtazamo hasi hasa linapokuja suala la mafanikio ya kifedha. Mfano Wengi wetu pindi tunapomzungumzia...
Back
Top Bottom