Hivi wanawake wakoje? Hebu msomeni huyu

BIG Africa

Member
Oct 15, 2022
84
116
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo.

Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).

Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai.

Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.

Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
 
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.
Ukiona mwanamke anapuuza meseji na calls zako ujue kuna mtu yupo busy naye anayechart na kupigiana simu kila muda.
Shituka, hapo alikuacha mapema ila wewe haujashituka. Move on
 
IMG_9778.jpg
 
Mwanamke habembelezwagi , ndio unakwama hapo , mwanamke anapendwa kama haoneshi ushirikiano basi unamuacha , while wanaume hawabembelezwi ila wanapewa notifications kuwa wanapendwa ukipigia anareply chapu, ukimtext hata kama hareply saihiyo hiyo haipiti siku anareply kwa kucall au message anaona hujibu message , anapiga direct .
Mahusiano yanajengwa na nguvu zote pande zote . Ujue tu hilo. Ukiona pande moja inawasha taa ingine haijitahidi kwa lolote taa isizime ni mbaya . Mtu anakaa izime nihatari
 
Habari zenu.Nianze kwa kuuliza hivi wanawake wakoje?.Hii imenitokea juzi jioni.Ni hivi nilikuwa katika mahusiano na mwanamke ni mahusiano ambayo sikuwahi kuyaelewa nikaamua kuachana nayo. Kwanini Niliamua kumuacha huyo mwanamke?.Hakuwa serious na mimi kwani meseji alikuwa hajibu na pia ukipiga alikuwa hapokei na kama meseji akijibu basi ni taratibu sana.Nikaamua kumuacha bila kuniambia chochote.Baada ya siku tatu Tu kuwa zimepita nikiwa nimepiga kimya huyu mwanamke juzi jioni SAA kumi na moja alinitafuta Kwa ujumbe mfupi wa maneno(SMS).Nilishangaa kidogo maana hajawahi kabisa kunitafutaga. Meseji ilikuwa inasema "Hello" baadae tena ikatuma meseji inasema "Samahani nimekuta missed yako".Tena Nilishangaa kwa mara nyingine maana huyu mwanamke siku hiyo sikumtafuta kabisa kama yeye alivyokuwa anadai. Baada ya kumaliza shughuli zangu ilipofika SAA mbili usiku ndipo nikamjibu hivi."Hapana Mimi Leo sijakutafuta kabisa".Kisha nikaa kimya.Baada ya muda akajibu akidai SAA kumi na moja nilimtafuta kwa kumpigia simu wakati Mimi huo muda nilikuwa bize hata kushika simu ni shida.Nikamjibu tena "Hapana" akanijibu akasema "Samahani sana labda nilipitiwa".Nikamjibu usijali.Baada ya hapo nikaa kimya tena Hadi leo sijamtafuta.Kiufupi huyu mwanamke nilitokea kumpenda sana japo na yeye mwanzo alishawahi kuniambia ananipenda pia lakini baadae nilipomuona hasomeki nikampotezea.Sasa hizi meseji zake za juzi ndio zimenifanya nitafakari juu yake kwamba huenda kuna kitu anataka kuniambia Bali anasita sita ama?.

Unakimbilia wapi? Weka hata space
 
Back
Top Bottom