Msaada: Wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wanapataje faida?

BIG Africa

Member
Oct 15, 2022
84
116
Habari zenu,

Nauliza hivi; wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wao wanapataje faida? Nimeuliza hivyo kwasasabu usajili wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi unaongezeka kila kukicha na inavyoonekana ni biashara nzuri.

Nawasilisha.
 
Kwa wenzutu wazungu mnakubaliana faida wakati wa mkataba. Kwa mfano unasema utapeleka walinizi 3 kwa shift 3 hivyo ni walinzi 9 kwa siku..unakokotoa mshahara, then unaongeza 30% operational cost. Sasa kwenye hiyo 30% ndo unajibana uendeshe kampuni ubaki na faida
 
Habari zenu,

Nauliza hivi; wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wao wanapataje faida? Nimeuliza hivyo kwasasabu usajili wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi unaongezeka kila kukicha na inavyoonekana ni biashara nzuri.

Nawasilisha.
Binafsi ntakutolea mfano wa makampuni yaliyokuwa yanalinda minara ya simu na mfano huu ni wa 2006 hadi 2017. Kwa sasa sijui ipoje.
Mapato
1. Walikuwa wanalipwa Tshs. 400,000/- per head per month
2. Kila bunduki inalipiwa kama mlinzi kamili, 400,000/- per bunduki per month.

Matumizi
1. Kampuni ilikuwa inamlipa mlinzi 150,000/- per month

Kwa eneo moja la mnara, anakuwa na walinzi wawili, mmoja mchana mwingine usiku. Hii ni kwa BTS site (Tshs. 800,000/- toa 300,000/-). Lakini kwa BSC site wawili mchana na wawili usiku na bunduki moja (2,000,000/- toa 600,000/-). Kwa switch site watatu mchana watatu usiku na bunduki moja (2,800,000/- toa 900,000/-). Kwenye BSC na switch, kunakuwa na bunduki moja moja 24/7. Ukishatoa matumizi hayo, kinachobaki ni chake, ingawa atatakiwa kulipa Gharama za kumiliki kampuni ya ulinzi
 
Ndugu ntashukuru

Ahsante Kwa mchanganuo mzuri
Kwa kuwalipa kidogo wafanyakazi wao, kuna kampuni ndani ukichewa unakatwa ukilala unakatwa unakuta mtu anapokea hadi elfu tisini,, ila kmpuni. Inapokea 400k
 
Taasisi inalipa kila mlinzi laki 4 ,ila kampuni wanakuja kulipa mlinzi laki na nusu na supervisor laki 2 na nusu kwahiyo cha juu wanabaki nacho wao.
Hu mchezo uko suma,
Unalipa mlinz mmoja mwenye silaha lak7 per month,bado Ela ya kulipia bunduki inafika Jumla 1M+ ila mlinzi husika analipwa 280k Bila posho yoyote na kabeba chombo Cha moto unategemea alinde Mali za mamilioni kwa ufasaha
 
Hu mchezo uko suma,
Unalipa mlinz mmoja mwenye silaha lak7 per month,bado Ela ya kulipia bunduki inafika Jumla 1M+ ila mlinzi husika analipwa 280k Bila posho yoyote na kabeba chombo Cha moto unategemea alinde Mali za mamilioni kwa ufasaha[emoji2
Hu mchezo uko suma,
Unalipa mlinz mmoja mwenye silaha lak7 per month,bado Ela ya kulipia bunduki inafika Jumla 1M+ ila mlinzi husika analipwa 280k Bila posho yoyote na kabeba chombo Cha moto unategemea alinde Mali za mamilioni kwa ufasaha
uongo suma wanalipa 195k hata kama unashnda na silaha
 
Hu mchezo uko suma,
Unalipa mlinz mmoja mwenye silaha lak7 per month,bado Ela ya kulipia bunduki inafika Jumla 1M+ ila mlinzi husika analipwa 280k Bila posho yoyote na kabeba chombo Cha moto unategemea alinde Mali za mamilioni kwa ufasaha
Kwamba mlinzi mmoja = laki 7 bila bunduki?
Ama bunduki inalipiwa nje na hiyo ya juu?
 
Binafsi ntakutolea mfano wa makampuni yaliyokuwa yanalinda minara ya simu na mfano huu ni wa 2006 hadi 2017. Kwa sasa sijui ipoje.
Mapato
1. Walikuwa wanalipwa Tshs. 400,000/- per head per month
2. Kila bunduki inalipiwa kama mlinzi kamili, 400,000/- per bunduki per month.

Matumizi
1. Kampuni ilikuwa inamlipa mlinzi 150,000/- per month

Kwa eneo moja la mnara, anakuwa na walinzi wawili, mmoja mchana mwingine usiku. Hii ni kwa BTS site (Tshs. 800,000/- toa 300,000/-). Lakini kwa BSC site wawili mchana na wawili usiku na bunduki moja (2,000,000/- toa 600,000/-). Kwa switch site watatu mchana watatu usiku na bunduki moja (2,800,000/- toa 900,000/-). Kwenye BSC na switch, kunakuwa na bunduki moja moja 24/7. Ukishatoa matumizi hayo, kinachobaki ni chake, ingawa atatakiwa kulipa Gharama za kumiliki kampuni ya ulinzi
Dah! Sasa kwa mshahara wa laki 1.5 kwa mwezi unaendeshaje maisha!! Bora kujiajiri aisee.
 
Back
Top Bottom