BIG Africa
Member
- Oct 15, 2022
- 84
- 116
Habari zenu,
Siku za hivi karibuni Rais wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan alifanya mabadiliko ya mabalozi wa Tanzania katika nchi mbalimbali. Kati ya taarifa iliyonishitua ni ya balozi Mbwelwa Kairuki kutolewa China na kupelekwa Kwa Malikia Uingereza.
Kwanini kitendo cha Kairuki kutolewa China na kupelekwa UK kilinishangaza? Jibu ni jepesi tu. Ni hivi Kairuki alikuwa anaifanya kazi yake vyema.
Kati ya mabalozi ambao wanafanya vyema kazi zao basi ni Kairuki. Alipokuwa China kila mara alikuwa anaonekana kuwa karibu na serikali ya China kwa ajiri ya kuwashawishi wawekezaji wa nchini China waje wawekeze Tanzania.
Kiufupi alikuwa anafanya kazi yake vyema sana. Sasa leo hii Rais Samia anampelekaje Kairuki UK nchi ambayo haina haina kasi kubwa sana ya kuja kuwekeza Tanzania kama ilivyo China.