Nisaidieni suala hili kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania

BIG Africa

Member
Oct 15, 2022
84
116
Habari zenu wadau wa JF.

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania.

Ninataka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi. Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya aina hiyo nikiwa mmiliki Mimi peke yangu tu? au mpaka tuwe wawili au zaidi?
 
Habari zenu wadau wa JF.Kama kichwa cha habari kinavyojieleza.Ninaomba nipate maoni yenu kuhusu uanzishwaji wa kampuni hapa nchini Tanzania.Nina taka kuanzisha kampuni ambayo itajikita katika ununuaji na uzalishaji wa bidhaa za kilimo ndani na nje ya nchi.Je ninaweza nikaanzisha kampuni ya aina hiyo nikiwa mmiliki Mimi peke yangu tu? au mpaka tuwe wawili au zaidi?.
 
Unaweza kiongozi nenda BRELA kaisajili nenda TRA wakupe kibali cha biashara.
 
Back
Top Bottom