Wakati mwingine nadhani ni vizuri au busara kuto alika waandishi wa habari katika matukio ya ndani,au nyeti...Ambayo yatahitaji weredi wa nini kirushwe au nini kisirushwe....
Uvivu wa baadhi ya waandishi wa habari kuhariri,kulingana na muktadha kunasababisha baadhi ya watu kutoa taarifa ambazo...
Mama, sio kila mwanga unaweza kuonesha au kuangaza kile king'aacho katika uso wa Dunia...
Japo macho yako yana angaza na kuona hata punje ya mchanga...ILA Kuna viang'aavyo huvioni sababu Kuna Maumbo na kingo zinazo tengeneza vimvuli vinavyo "Over shadow" the brilliant sparkels...
Vimvuli...
Kwa unafiki wa sifa na mapambio unaoendelea kwa hayati Rais yetu aliyefariki madarakani,k wa wale waliokua wanamkosoa awali na kumuona mtu muovu na mkosaji..na sasa wanamuona nabii na mtu mtakatifu.
Hili ni funzo kwako Wewe mwanadamu ambaye bado una nyama mbichi, na Moyo ambao bado unasukuma...
Kwa kifupi kwenye suala la jengo pembezoni mwa bahari linalopokea na kutuma mizigo, Serikali ya sasa imeamua “kuchoma jengo moto...”
Kwasababu jengo hilo linaogopwa miaka nenda rudi kwasabau ni jengo lenye wadudu waharibifu walioshindikana kuondolewa kwa njia ya kawaida miaka yote ya utawala...
Kusema dunia itafika mwisho, ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda.
Ni sawa na kuanzisha biashara kisha ikakushinda na kufirisika.
Labda nyinyi binadamu,mnaojifikiria nyinyi tu, viumbe wabinafsi ndo mnaweza fika mwisho,ila inawezekana ndege wadudu na wanyama wakabakia, na...
UNAPO SHANGAA KWA NINI MATAJIRI WANA WATOTO WACHACHE, SHANGAA PIA KWANINI MASKINI WANA WATOTO WENGI.
Ila ukirudi katika hesabu utagundua kwanini mmoja maskini na mwingine tajiri.
Kwa malezi ya kistaarabu Mtoto mmoja gharama ya malezi yake hadi akifika chuo na kuanza kujitegemea ni miaka si...
Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza...
Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe
Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma...
Au tumbo linaamua tu kukuharibia...
hahahah
You can't start to be rich if you tagert money from rich people.
To be rich target money from poor people.
Poor people offer big market and demand.
Because poor people are MANY and always are in NEED!
Kibangubangu presents.
Wanaume wengi tumekua tukisema wanawake hawaeleweki...
Ni kweli sababu wenyewe wana jiendesha katika taswira tata.
Ujumla wa taswira hiyo tata ni kwa manufaa ya uwepo wao ila kikubwa zaidi ni kwa usalama wao na asili ya dunia.
Sasabu panapo tokea changamoto yoyote wao ndio waathirika zaidi,na...
Binadamu ni watumwa, ila wanyama na ndege,samaki wapo huru, wanaishi maisha yao. Ndio maana wanyama, ndege na samaki hawana shule, na hawaajiliwi ila wanakula maisha kama kawa.
Asili ya dunia imemuandaa mwanadamu kuwa mtumwa wa kutekeleza malengo ya wale walio mtuma.
Uwezo wake wa akili,ndio...
Ili uitawale Dunia lazima uwe katika mwili. Dunia ni phyisikia, huwezi itawala dunia bila mwili.
Mapepo, majini na roho hazina nguvu duniania sababu dunia si ulimwengu wa roho ni ulimwengu wa kifizikia. Mashetani na Malaika huhitaji mwili kukamilisha jambo katika dunia liwe baya au jema!
Asie...
Fahamu kwanini self healing ni ngumu kuliko self distraction.
Self healing ni tendo gumu sana ila linawezekana. Sababu kubwa ni:
(i) Self healing inatoka ndani ya mwili kuathiri dunia, kuathiri dunia sio kazi ndogo.... Inakupasa uwe na nguvu kubwa za kiroho zinazoweza zidi nguvu za kifizikia...
1. Maisha ya Duniani ni Uongo
2. Unachowaza ni Uongo
3.Umaskini ni Uongo
4.Utajiri ni uongo
5.Furaha niuongo
6.Huzuni ni uongo
7.Tarehe na siku ni Uongo
8.Usiku na mchana ni Uongo
9.Watakao zaliwa kesho watakutana na huu uongo...hadi pale wakifa
10.Kisicho hai ndo kinaishi duniani muda mrefu...
Naomba kujua hospitali nzuri yenye kutibu magonjwa ya kansa ya matiti(breasts cancer) Kwa Dar es salaam.
Pia Wawe na mashine Aina ya RADIOTHERAPIE ONCOLOGIE
Nimeiambatanisha katika picha.
Je, umeshawahi sikia watu wengi wanaanguka bafuni either wakafa au kupooza.
Unajua sababu Ni Nini?
Waswahili wanasema bafuni au chooni kuna majini sijui Mapepo sijui blablaaa...hayo ya wahenga hatuwezi kuyabishia...
FAHAMU SABABU KWANINI WATU HUDONDOKA NA KUFA AU KUPOOZA WAKIWA BAFUNI...
DIGITAL STATIONARY
1. KUCHAPA (typing), KWA LUGHA ZA
(Kiswahili,Kiingereza,Kijerumani,Kifaransa,Kichina,Hindi,Kihispania na Kiarabu)
(i). Barua
(ii) Curriculum vitae (CV)
(iii) Vitabu
(iv) Majarida
(v) Notes na Makala
2. KUHARIRI (editing)
(i) Picha
(ii) Curriculum vitae (CV)...
UNAJUA KWA NINI MAJI YA KUCHEMSHA HUPOTEZA LADHA?
Mbinu ya kuchemsha maji ni moja ya mbinu ya kuyafanya maji kuwa salama, kupitia mbinu hii utaweza kuua vijidudu, bacteria na virusi mbalimbali ambavyo vipo katika maji.
Ubaya wa njia hi ni kwamba, baada ya hapo maji yanakua hayana ladha (flat...
Kila binadamu unayemuona ni juhudi za mwanaume kutongoza hadi mwanamke akakubali, kutekeleza tendo la uzalishaji.
Kiasili mwanaume ndiye anayeanzisha mbio za utekelezaji wa Jambo hilo(kushawishi/kutongozwa n.k),
Mwanamke yeye hukimbia (kukataa),inampasa mwanaume ajitahidi kufukuzia...
Nikiwa na shida kweli hua napata pesa katika mazingira ya ajabu.....
Mfano nikimsaidia mtu pesa kiasi ambacho nabakiwa Sina hela, utakuta napata pesa kimaajabu.
Toka niko chuo hali hii ilikua inanitokea, ila nilikua najua bahati mbaya baadae nikagundua ni kitu ambacho kipo ndani yangu...
Kiswahili ni lugha tamu sana, ila pale mtu anapoanza kuiharibu inatia hasira sana. Kwa mfano, pale watu wanaposema maneno yafuatayo:
"Abali yako we kaka"
"Wewe hujui dhamani ya moyo wangu ndo maana unanitesa"
"Nikiwa laisi nitaenda kukaa Ikuru"
"Hajila hazijatoka bado"
[emoji3][emoji3][emoji3]...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.