watumwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. G

    Kwanini vitabu vya historia vinadanganya waarabu walichukua watumwa wa kiafrika, mbona hakuna Waafrika waliobaki nchi za kiarabu kama Marekani?

    Sioni hoja yenye nguvu kuthibitisha hili maana nao watumwa walikuwa watu wenye viungo vya uzazi vya kuendeleza vizazi vya waafrika. Hata waafrika wengi unaowakuta nchi za kiarabu ni wale waliohamia kikazi, biashara, n.k. na wengine wana wajukuu tayari. Mfano Marekani, Brazil, n.k. tunaona...
  2. J

    Kiongozi wa Dini anayetakiwa kuwa Mfano kujihusisha na Biashara ya Watumwa hii imekaaje?

    Wote tunajua madhara tuliyopata kutokana na Biashara ya Utumwa; Tena ambayo ilituwrka sisi waafrika kama bidhaa ya chini kabisa ya Watumwa. Naomba mtu anionyeshe andiko linaloonyesha Yesu kujihusisha na Biashara ya Watumwa. Vinginevyo Mwamba hapa anayeusumbua Ulimwengu kwa vita zote zinazotokea...
  3. Webabu

    Israel imebomoa majumba na kuua Gaza; Hamas imeporomosha uchumi wa Israel. Kumbe vikundi vinavyokwenda Israel ni vya watumwa

    Kwa kiwango kikubwa Israel yote inalishwa na shughuli za kilimo na ufugaji zinazofanyika kusini ya nchi hiyo na mpakani na Gaza ambazo asili ya ardhi hizo zenye rutuba zilitwaliwa na wayahudi waliovamia mpaka kufikia 1948. Na hata mashamba ya mitende ya kaskazini ya Israel yapo kwenye maeneo ya...
  4. Kiboko ya Jiwe

    Kuna wazazi wanawaandaa watoto wao kuwa watumwa katika hii nchi. Mtoto anamaliza darasa la 7 hata wiki haiishi anapelekwa kusoma pre form one.

    Kwa sasa serikali ina wastani wa watumishi 700k, sekta binafsi wenye mikataba ya maana ni kama millioni 1 tu. Tuseme hivi waajiriwa wenye maslahi angalau hapa nchini ni kama millioni 2 tu. Wengi ni vibarua, nikimaanisha wengi wana mikataba mifupi . Idadi ya wasomi inaongezeka kila leo. Zamani...
  5. Chachu Ombara

    KWELI Roque Jose Florencio alikuwa Mtumwa aliyetumika kama dume la mbegu kuzalisha watumwa wenye nguvu

    Inadaiwa huyu jamaa bhana enzi za utumwa, alitumika na masta wake kama mbegu ya kuzalisha watumwa wenye nguvu. Inadaiwa kutokana na kuwa na nguvu, umbo maridadi na urefu wa futi 7 hivyo masta wake alimpa upendeleo wa kipekee wa kumpunguzia majukumu mengi huku kazi yake kubwa ilikiwa ni kulala na...
  6. figganigga

    Rose Muhando avunja Ukimya. Asema kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Mateso Mpaka lini? Shetani achia

    Rose Muhando avunja Ukimya swala la Bandari. Kwenye Nchi yetu tumekuwa Watumwa, Nyumbani kwetu wenyewe tumekuwa wageni. Mateso Mpaka lini? Urithi wetu wenyewe tumekuwa omba omba. Tunaishi kwa mashaka kama watoto wa Kambo. Kwenye nchi yetu wenyewe tumekuwa Watumwa. Haki zetu wenyewe nazo...
  7. Nkobe

    Wakati Waafrika wakiuzwa kama watumwa, Mashehe, Mapadre, wachungaji wa Ulaya, Amerika na Uarabuni walikuwa wapi?

    Sote tunajua kuwa imani za dini (Ukristo na Uislam) vilikuwepo kabla ya utumwa. Umewahi kujiuliza wakati Waafrica wanauzwa kama Mbuzi kwenye masoko ya Ulaya, Marekani, Uarabuni, viongozi wa dini wa nchi hizo walikuwa wapi kupinga biashara hiyo, tena nchi kama Marekani watumwa wakilimishwa kwenye...
  8. P

    Watu weusi ndani ya biblia hawakuwa watumwa bali watu wenye ushawishi mkubwa

    1: Mwanamke Zipora Alikuwa mke wa kiongozi bora wa taifa la kiyahudi, Musa. Alikuwa mweusi. Ushauri wake uliongeza ufanisi wa wayahudi. Baba yake Alikuwa na akili kuliko Musa. Yeye ndiye alimfundisha ugatuzi wa madaraka Musa na Mungu akamwambia Musa aufuate asiupotezee ushauri wa baba mkwe.. 2...
  9. Lidafo

    Viongozi wa nchi watumwa, wananchi wenye nchi watumwa, nani wa kuukomesha utumwa?

    Dhana ya utumwa imekuwa ikibadilika kulingana na vipindi tofauti vya muda. Enzi za mababu zetu utumwa ulikuwa ni wakufungwa minyonyoro na kufanyishwa kazi ngumu bila ujira. Taifa likaja kupata uhuru ikawalazimu wakoloni kuacha makoloni yao ambapo kiukweli hawakupenda ndio maana wakaendeleza...
  10. Mohamed Said

    Kwanini historia ya Zanzibar ya kweli haisomeshwi?

    KWA NINI HISTORIA YA ZANZIBAR YA KWELI HAISOMESHWI? Mohamed Said Salum Bin Rawahy...kiasi cha mwaka mmoja hadi kufika leo tuliweka hadharani fikra za Prof. Ibrahim Noor kupitia kitabu chake ''Tanzania na Propaganda za Udini,'' ambayo kwa uhakika msomaji anakutana na matatizo yanayosababisha...
  11. sanalii

    Deep down wazungu wengi wanajuta kuwapeleka watumwa weusi, hasa Marekani

    Ukiachana na wale watu maarufu, Ukifatilia kwa karibu maisha ya black American wengi sio ya kistaarabu, ni bora watu weusi wanaoenda kwa kufanya kazi kuliko wale waloizaliwa pale pale, wana mambo ya hovyo na yenye kuaibisha black community. Nadhani wanatamani bora wangechukua latino.
  12. Mohammed wa 5

    Mimba ni kitega uchumi kwa mabinti wa sasa

    Habari zenu Wana Jamii forum am back again it's me mo mp5 mtoto wa kanali mtata... Kuna binti nilikuwa nae kwenye mahusiano tulikutana kwenye ofisi za TRA sababu wote tulifika kwa ajili ya shida moja hivo ikaleta maongezi kidogo kuhusu shida iliyotuleta pale ikapelekea tukaanza kufahamiana...
  13. The Boss

    Moors: Watu weusi waliotawala Ulaya na kugeuza wazungu watumwa...

    Katika history nyingi zinazo fichwa fichwa. History ya watu weusi waliotokea Senegal na Mauritania ya Leo kutawala Sehemu ya Ulaya ilipo nchi ya Spain na Portugal na Ufaransa Leo hii, watu hao waliitwa Moors. History yao ni ndefu sana, hapa nitakuwa najaribu Ku share kwa picha na maelezo...
  14. Hemedy Jr Junior

    Bado sisi ni watumwa

    Habari za wakati huu wanajukwaa.. UNATAMBUA kuwa wewe bado ni mtumwa ambaye uko huru. Tunaambiwa tumepata huru mwaka 1961 huru tulipewa sio kwamba tulipigana na huru huu tulipewa kwa mkataba ndo maana bado tunazidi kuteseka na kunyanyasika. Ninaposema bado sisi ni watumwa nieleweke kitu...
  15. kibangubangu

    Binadamu ni Mtumwa awe mweupe au mweusi

    Binadamu ni watumwa, ila wanyama na ndege,samaki wapo huru, wanaishi maisha yao. Ndio maana wanyama, ndege na samaki hawana shule, na hawaajiliwi ila wanakula maisha kama kawa. Asili ya dunia imemuandaa mwanadamu kuwa mtumwa wa kutekeleza malengo ya wale walio mtuma. Uwezo wake wa akili,ndio...
  16. Lycaon pictus

    Sidhani kama kuna ukweli kuwa Waarabu walikuwa wakihasi watumwa wanaume

    Imezoeleka sana kwa watu kusema kuwa Uarabuni hakuna watu weusi kama Amerika licha ya watumwa wengi kupelekwa huko. Wengi hudai kuwa waarabu walikuwa wajiwahasi watumwa wakiume ili wasizaliane. hili naona si jambo la kweli hata kidogo. Sababu ni kuwa kitendo cha kuhasi mtu kilikuwa ni kitendo...
  17. Kinyungu

    Video: Tunisia Wanavyojisifu Kuuza Watumwa wa Kiafrika

    Utakumbuka hivi Majuzi Rais wa Tunisia Mh. Kais Saed alisema nchi yake inavamiwa na Waafrika ambao wanataka kubadili demography ya nchi yake. Sasa Mzee Mmoja akihojiwa nchini humo ameeleza kuwa Waafrica hawana dhamani kama wao Watunisia na wao wamekuwa wakiwauza tu kama bidhaa. Siku za karibuni...
  18. T

    Waangalie wanaabudu Mungu anayewafanya watumwa!

    Mungu wao anataka waabudu wakoloni kama Mungu, wakati ni shetani tu atakaye kuabudiwa kama Mungu, na ni marafuku kutaka kufanya hivyo amri ya Mungu wa kweli yasema. Bonge la movie ya kichekesho ya kila siku na milele mpaka wanakufa. check kisha tucheke. Slaves, obey your earthly masters with...
Back
Top Bottom