kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 212
- 285
Binadamu ni watumwa, ila wanyama na ndege,samaki wapo huru, wanaishi maisha yao. Ndio maana wanyama, ndege na samaki hawana shule, na hawaajiliwi ila wanakula maisha kama kawa.
Asili ya dunia imemuandaa mwanadamu kuwa mtumwa wa kutekeleza malengo ya wale walio mtuma.
Uwezo wake wa akili,ndio kitu pekee kimetumika kumfanya au kumuumba awe mtumwa,ikisaidiwa na umbile la mwili wake. Binadamu lazima awe ni "productive" ili asili imuelewe na kumjali.
Mwanadamu asiye "productive' asili haimtaki atashambuliwa na wanadamu wenyewe na asili itamshambulia kwasababu sifa mojawapo ya mtumwa ni lazima uwe productive.
Na akisha kuwa productive huyu mtumwa kile alichozalisha kinakua sio chake kinabakia kua mali ya dunia...anapoondoka duniani haondoki na chochote.
Kanuni ya mtumwa ni lazima awe mtiifu na kutumikia amri alizopewa ili awe "productive",asipofata hizo kanuni au sheria asili na wanadamu wenzake watamwazibu.
Dunia ni jumba la utumwa haijalishi uwe mweupe au mweusi...Lazima utumike kuishi.
Waliojua ukweli wa hii "fact" mapema walianza kukimbia majukumu ya utumwa na kuwatuma wengine(biashara ya utumwa).
Na walipoona Biashara hiyo ya utumwa inasigina misingi ya asili basi wakaunda pesa, mashine, na viwanda.
Lengo ikiwa kufanya utumwa katika "softcated way"
ambapo wao wata-dedicate utumwa kwa binadamu wengine kwa kutumia mfumo wa ajira,katika hizo mashine au viwanda na kulipa waajiliwa au watumishi(watumwa)..mapato machache (CAPITALISM).
Usishangae watu wanang'ang'ania madaraka,au vyeo lengo kubwa ni kujinasua kwenye utumwa uliokithiri ili waweze kutuma.
Utumwa ndio unaoiendesha dunia, Ajira ni utumwa softcated. Kwakua mwili wa binadamu umeumbwa maalumu kama kifaa cha kazi,hawa ambao wamekimbia utumwa, huwalazimu wailipie ile process ya kutumika kiasili kwa namna nyingine.
Mfano kufanya mazoezi (maana ya mazoezi ni kubalance malipo ya wale wanasiofanya phyisical activity kwa kiwango cha kutosha).
Kama waasipo fanya mazoezi kulipia physical activities za kitumwa,miili yao itakua dhaifu na asili itawaondoa sababu itadetect kuwa huu mwili sio productive. So ku-cheat nature ndo maana wajanja wanafanya mazoezi.
Sababu lazima walipe ili kubalance equation!Binadamu natural ameumbwa kuwa mtumwa. Hivyo kilicho tuleta duniani ni utumwa, na anayetutuma sijui ni Viumbe gani.
Hivyo kupunguza adha ya utumwa tafuta uwezo wakutumia watu wakusaidie utumwa wako yaani kifupi kua boss au kiongozi ila kumbuka kufanya mazoezi.