ogopa

Ogopa Deejays are a Kenyan music production team and record label formed in the late 1990s who gained regional fame and popularity due to standards of their production work.

View More On Wikipedia.org
  1. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Bro. Ogopa matapeli, mwanamke akitaka kukupa penzi anakuja mwenyewe na nauli yake

    Wadau, kuna vidume mandezi yanapigwa kifala sana na mademu. Demu ukimuonyesha unamuhitaji sana kingono kuliko yeye atakupiga tu na mbunye hupati. Vilio vimekuwa vingi sana mtaani, vidume kuzidiwa ujanja na watoto wa kike, unatuma nauli demu anaifinya na kuja haji. Sasa Kuna mwamba nipo nae...
  2. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ogopa mke anaekupenda ukiwa na hela tu huyo chuma ulete

    Shalom Natoka kusikiliza kesi moja ya wapendwa wanandoa aisee kuna jamaa alishika hela akafanya yake Sasa mke akalianzisha kuachana mwanaume akamwambia 👍 Yaliyotaka kumkuta akatonywa na jamaa yaan rafiki yake huyo mumeo nduguye hakim Wa Morocco utalia Akaenda kuomba mahakaman anampenda...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Ogopa mataperi

    Usipende kujiamlia Mambo kijana kama hujaoa nakushauri kaa mbali na mabinti wa chuo kama lengo ni kupata waifu matilio ogopa mataperi chuo hakuna waifu matilio msije kusema sijawaambia
  4. Red black

    JamiiForums Tanzania Malipo ni hapa hapa duniani;Ogopa sana mtu ambae ukimdhulumu au kumtendea ubaya anakaa kimya na kupotezea.

    Tuishi maisha ya amani na furaha bila kuwakwaza wenzetu,kuwafitini,kuwasemea uogo... nk
  5. L

    JamiiForums Tanzania CCM Tulimuacha Msigwa ajikaange Kwa Mafuta Yake Mwenyewe na Ndio Maana tulimzungusha Maeneo Mbalimbali Nchini. Ogopa Mungu na Teknolojia

    Ndugu zangu Watanzania, CCM ni chama chenye akili kubwa sana ,ni chama chenye uwezo mkubwa sana wa kijasusi na mbinu za kijasusi na kijeshi . CCM ndio Maana inaitwa chama kiongozi Barani Afrika,ndio maana imeendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi na itaendelea kuongoza Taifa hili Mpaka...
  6. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana Binadamu, spirit ya MO29 iliniogopesha

    Aisee ninauhakika kuwa ata CCM na majeshi Yao Kuna funzo kubwa walilipata kuhusu binadamu. Kabla ya MO29 watanzania walihamasishana mitandaoni kukiwasha ila watawala waliwachukulia poa. Kwa nchi kama US inayofanya security analysis kamwe wasingepuuzia. Serikali walipitisha majeshi mitaani...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana Wala usijaribu

    Kuna taasisi za serikali, taasisi na kampuni binafsi zinazopenda Kupata idea in cheap way kutoka Kwa VIJANA Kwa kisingizio Cha mshindi WA kwanza, 2, 3 etc wametenga kiasi flani. Kuna VIJANA wanatoa idea zao kati ya vijana walioshiri mfano 1000, Kuna idea nyingi sana humo. Swali la kujiuliza...
  8. Tundusami

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea, wengi wapo kimkakati

    Ogopa kuanzisha mahusiano na mwanamke mwenye miaka 30 na kuendelea afu ukute ana mtoto achana naye mara moja wengi wapo kimkakati. Awanaga mapenzi hao umri wao wa kupenda ushapita wanataka tu kuficha aibu ya kutoolewa na wapo kimaslahi zaidi kukuua kwao jambo dogo
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kwenye Maisha yako yote, ogopa kukataliwa na Mungu

    KWENYE MAISHA YAKO YOTE OGOPA KUKATALIWA NA MUNGU. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. 1. Kukataliwa na Mungu wako. Mungu ni mwingi wa rehema. Mwenye huruma nyingi. Mwenye upendo mwingi. Ikifikia hatua amekukataa my friend game over. Umekwisha. Alafu ukikataliwa na Mungu unajua tuu. 2. Maisha...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi

    Ogopa kupokea zawadi ya nguo kwa mtu aliye uchi. Inakuwaje akusitiri ilihali yeye hajajisitiri?
  11. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana hii connection inayoendana sambamba kuleta machafuko na taharuki duniani. "UKOMNONISTI-MLENGWA WA KUSHOTO-ITIKADI KALI"

    Kila muoneaji na mkandamizaji hapa duniani ni rafiki mkubwa wa china na urusi na analindwa kimaslahi na wao. Kila machafuko yanayotokea dunia kwa asilimia kubwa yanafadhiria na syndicates za kutoka mashariki ya kati. Liberals sasa Wameona vitabu vya kishoga vimepigwa marafuku, sasa wameanza...
  12. Moto wa volcano

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana aina ya watu wanaozungumza na kila mtu

    Muogope sana mtu anayetafuta kupendwa na kila mtu , mtu aina hiyo lazma atavaa vazi la unafiki ili aweze kuwaingia watu Unakuta mtu ofisini /mtaani anazungumza na kila mtu , hata maadui wasiopatana yeye pande zote yupo . Watu wa aina hiyo wabaya sana atabeba ya huku atapeleka kule na ya kule...
  13. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Jani hiloo jani la muwaaaa weweee watu wote wachepukaa lakini wewe uuuumezidiii

    eeeh anaumwaaa kijipu...anaumwaaa eheeeheeee mashallah Leo niko mambo ya pwanii karibun sanaa Forodhannii
  14. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Ogopa kuzoeana na machawa wa maaskofu na wachungaji na manabii utakufa maskini

    Polen sana weathirikaaa Najua kuna ndoa nyingi zimeumia na Hawa watuuuu Niwajuze tu kwelii mali pesa zinaenda kwa wachungaji na manabiii Lakini wakupiga marufuku n machawa wa Hawa viongoxi Hawa wakishakujua wanataka kukutembelea nyumban wakifika wanarudi na aviola part two Washampanga...
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ogopa mkoloni mweusi

    Haya ndio maisha anayopitia Tundu lissu 2025. Hebu tujiulize na kufikiria hawa askari wa DRC walimuua mtu aliyewapigania wao na vizazi vyao. Hawa askari wa Mobutu wako wapi leo hii.
  16. msuyaeric

    JamiiForums Tanzania Wanawake punguzeni kuomba sana hela, imekuwa kero

    Wakuu Habari zenu! Kiukweli wanawake wamezidi sana kuomba pesa yaani ukienda WhatsApp ni hatari, ukikaa kidogo kwenye SMS utasikia nikwambie kitu kumbe unaombwa hela. Jamani tabia hii kwa wanawake imekuwa kero kuliko hata wale wanaoomba msaada barabarani. Bora hela yangu nimpe yule mtoto mdogo...
  17. britanicca

    JamiiForums Tanzania Ogopa mtu ana maumivu lakini anacheka, mtu atakula pamba muda si mrefu

    Tukisema wanadhani tunatania kwa kifupi Najua mambo mengi Mpaka mengine yakiandikwa ni Kama ntawasaidia wahusika kujisanua, kuna mtu mkubwa anakula pamba soon , 🔜 ogopa mtu anaumia Lakin anacheka Britanicca
  18. technically

    JamiiForums Tanzania Ogopa Sana Mungu na technology

    Huyu Shekh kumbe ni kada mtiifu wa kijani kinondoni
  19. A

    JamiiForums Tanzania Wallace Karia ondoa jina, Sauti za wengi ni ufunuo tosha.

    Busara ya kawaida kabisa inakuelekeza upumzike sasa...uachie kijiti mtu mwingine nae aendeleze pale ulipotufikisha..huko ndiko kustaarabika. Kwann usubiri kuondolewa kwa kuaibika kama wazee wenzio akina kasongo? Kwanini usimuige Leodigar Tenga aliyeondoka hapo Tff kwa heshima. Au kwasab unajua...
  20. Tormenter

    JamiiForums Tanzania Ogopa sana Dunia ikiamua kukufunza bila ada, unachokidharau kina Uhai wa Watu

    Yule uliemuua ili uchukue pesa zake pale benki.. Ndugu zake walimzika kwa vilio, na Dunia nzima ililaani kitendo kile.. Yule bondia mwenzio ulingoni, uliempiga mpaka akazimia.. Mkewe alipiga kelele akiwa nje, na kusema bado yupo pamoja na mumewe.. Yule rafiki yako mwanfunzi mburula...
Back
Top Bottom