Idadi ya watu duniani, heko kwa wanaume

kibangubangu

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
212
285
Kila binadamu unayemuona ni juhudi za mwanaume kutongoza hadi mwanamke akakubali, kutekeleza tendo la uzalishaji.

Kiasili mwanaume ndiye anayeanzisha mbio za utekelezaji wa Jambo hilo(kushawishi/kutongozwa n.k),

Mwanamke yeye hukimbia (kukataa),inampasa mwanaume ajitahidi kufukuzia (kushawishi) Hadi aweze kumkamata mwanamke(kukubaliwa),wakafunga ndoa na kuzaliana.

Ili kufanikisha hili mwanaume hupitia changamoto nyingi,lakini hakati tamaa Hadi anapo fanikiwa.

Idadi ya watu duniani isingekuwa hapo Kama wanaume tungeona uvivu kushawishi!

Hivyo wanawake msikasirike pale mnapo shawishiwa kimapenzi na wanaume,kwani wanatenda Jambo la kiasili kwani Kama wasingefanya hivyo inawezekana hata we dada usinge zaliwa.

Heko kwa wanaume!
 
Back
Top Bottom