wakwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Samia anataka MARIDHIANO ya Wakwe na Wakwe ndio maana hata mifano yake utamsikia 'Nyie wanangu', huwezi kuua Watu alafu utafute Suluhu nyepesiii

    Yaaan Maelefu ya Vijana wameuwawa Oktoba 29 . Lissu yupo Gerezani. Unaibananga CHADEMA . Utekaji, Mauaji ya wakosoaji . Alafu kirahisi kabisaa kabisaa, Samia anasema 'Marudhiani sio Udhaifu ', Tulidhiane wenyewe, Haina haja ya Kutoka Nje kutafuta msaada. Yaan as if zile Roho za Oktoba 29...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Kuoa sio kazi shida mahari. Mnazo tupimia vijana nyie wazazi muwage. Mnafikiria

    Wazee, ipo hivi; kuna vijana tunahitaji sana, tena sana, kupata familia au kuanzisha familia na wenza wetu tunaowapenda. Shida inaanzia pale mzazi, yaani mkwe, unaponipimia mahari kama vile unanikomoa. Yaani sijui huwa mnafikiria kiukweli au huwa mnaamua tu kuropoka. Mnatufanya tuendelee kuwa...
  3. Nonji

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua shamba kwa wakwe

    Habari wana jamvi? Kama ilivyo kwenye kichwa cha habari. Shemeji yangu yaani kaka wa mke wangu anataka kuniuzia shamba sasa nikasema mambo ya kwa wakwe napo kuna kuwaaga na changamoto zake ngoja nipate japo uzoefu kwa wadau. Bei nipeni tahadhari wakuu.
  4. babukijana

    JamiiForums Tanzania Mabinti, wakwe. Wanawake.

    Hivi huwa mna matatizo gani? Hili haliusiani na siasa tafadhali sana. Hapa ilipoandikwa tuende hapo. Wewe binti leo umekua vimaziwa hivyo Mabazazi wananyonya. Wewe binti umezaliwa baba yuko wapi "mamaa oooh: Aliimba dr remmy Wema ku**nyoooko.. Haya kwenye majukumu tupeane tu jinsi ya kupiga...
  5. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama Mama yake Diamond ana hizi tabia kwa kile Wapenzi wa Mwanae ambao Mama wakwe wengine wanazo tusahau Diamond kuja Kuoa

    Katika Ukurasa wa Mtandao wa NIVURUGENIKUVURUGE kuna Taarifa pamoja na Video ya Mzungumzaji akisema kuwa karibia Wanawake wote ambao Diamond anakuwa nao Kimahusiano huwa wanashindwana na hata Yeye kuwaacha kupitia sababu zifuatazo za Mama yake na kwamba Zuchu anazivumilia tu kwakuwa analazimisha...
  6. P

    JamiiForums Tanzania Nimemuona trump na familia yake yote, mpaka wajukuu na pia wakwe

    Wanaotaka labda tuwe na rais asiye na kwao wala ndugu wala baba na mama wala mme au mke au watoto wala familia, basi watwambie ttutampata wapi? Ukweli haunin'ginii, ni lazima utaegemea tu, ni lazima kuwe na damu yako kwenye usalama zaidi Lazima tuwe na royal family, ebho
  7. Money Penny

    JamiiForums Tanzania Amemtambulisha Mchumba wake akiwa ameweka Bleach Kichwani, wakwe wamemkataa, afanyaje?

    Samahani Nimekuwa buzy naona kama napitwa Kwani wanawake wenye bleach kichwani wana shida gan? Mbona kila mahali wanakataliwa? Nini mbaya nyiee? Angalieni Tabia na Roho ya Mtu rangi ni upendo acheni ushamba jamaa
  8. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Kilichomponza Mwanakwerekwe, ni dada yake Halima kukata mauno mbele ya wakwe zake!

    Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
  9. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Ewe kijana wa kiume wakwe zako wa leo ndio maadui zako wa kesho baada ya ndoa hivyo ishi nao kwa akiri

    Ewe kijana unapoingia katika maisha tambua ya kwamba wakwe zako ndio maadui zako kwani baada ya ndoa na Sterling movie hii ni mke wako sasa naomba unisikilize kwa haya machache 1.wakwe zako wengi huamini nyumbani kwako ndio nyumbani kwao na ndugu zako sio nyumbani hivyo mkeo atatumika kama...
  10. A

    JamiiForums Tanzania Wakwe watunzwe kwa wivu mkubwa

    Wakwe ni watu muhimu kuliko tunavyodhani. Bila wao hakuna ndoa. Hivyo watunzwe Kwa wivu mkubwa kulinda heshima yao. Asanteni
  11. F

    JamiiForums Tanzania Utafiti kwa kusoma Hukumu za Divorce Tanzania Ndoa nyingi zina migogoro sababu ya Dharau, Financial reasons ( Pesa) Na extended Family hasa mama wakwe

    habari wadau nilikuwa na utafiti binafsi wa mambo ya ndoa kwa ajili ya kukamilisha research thesis for academic reasons. nilifika Kituo Jumuishi cha Masuala ya Familia Temeke na kufanikiwa kuomba nakala za hukumu mbali mbali za kesi za ndoa ili zinisaidie utafiti wangu. katika kusoma kwangu...
  12. Teslarati

    JamiiForums Tanzania Nimeona story ya Beka ya mahari milioni 22. Nawapa experience yangu nilivyobargain na wakwe zangu, vijana jifunzeni

    Iko hivi, kwanza niweke kitu kimoja sawa. Mwanza nzima nadhani nipo kwenye 100 bora za wanaume wanaomiliki pisi kali mule mjini. Haya tuendelee na story Miaka imepita nilikutana na binti ndo ameanza mwaka wa kwanza pale SAUTI, ninahofia alikua ni classmate wa GENTA. Alikua na uarabu fln kwa...
  13. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Utawajengea wakwe zako nyumba?

    Kwa wengine ni kama mwiko kuwajengea wakwe nyumba. Lakini mimi sioni kama kuna ubaya wo wote ule kufanya hivyo, hasa kama hali ya kifedha inaruhusu. Kutaonekana na kasoro tu ikiwa utawajengea wakwe huku wazazi wako wa kukuzaa hujawatendea hilo. Kimsingi, wakwe zako ni wazazi wako, na wa kwako...
  14. MKATA KIU

    JamiiForums Tanzania Familia za wavivu wengi zimesababisha soko la wanawake wa kuolewa na wanaume wa kuoa liwe gumu sana. Watu wanaogopa kupata wakwe na mashem wategemezi

    Habari wadau. Ukweli mchungu soko la mwenza wa ndoa limekuwa gumu sana Tanzania hasa kwa watu wanaojielewa na waliojipata. Mtu kuoa ama kuolewa anatazama mwenza wake yukoje , kwao anapotoka pakoje, na ndugu zake ama ukoo wake ukoje? Je wana maisha ya kujitegemea. Yale mambo ya kuoa mwanamke...
  15. kibangubangu

    JamiiForums Tanzania Ulipokua ugenini kwa wakwe au ndugu kumbukumbu gani ya kushare choo ilikupa ugumu

    Unakuta nyumba ina watu si chini ya saba choo kimoja basi asubuhi ni nani anaanza nani anamaliza... Au choo kipo eneo la barazani na ndugu na jamaa barazani ndo kijiwe Wakati hali iko hivyo mkojo wa asubuhi hakuonei huruma... Au tumbo linaamua tu kukuharibia... hahahah
  16. Nazjaz

    JamiiForums Tanzania Vitu gani vizuri uliwafanyia wakwe lakini ukaachwa?

    Mapenzi hayajawahi kumwacha binadamu salama. Nilimkuta akiwa hana mbele wala nyuma, anakaa kwa wazazi, nikampangia na nyumba, baadaye nikamtafutia kazi, akaanza kunawiri na uzinzi na ufuska vikaja juu. Nikamsema akajirekebisha. Wazazi wake wakikuwa wanakaa kwenye nyumba ya tope, nikawajengea...
  17. Amran Mpogole

    JamiiForums Tanzania Mapenzi yanayosimamiwa na wazazi

    Hivi kwa mfano ulikuwa na mahusiano na msichana more than 1 year then ukaamua kwenda kujitambulisha kwa wazazi wa binti halafu ikatokea hawakutaki kulingana na sababu zao wenyewe kama wazazi, mnaweza kuchukua maamuzi gani kama wapenzi ?
  18. Nyuki Mdogo

    JamiiForums Tanzania Mabinti wa siku hizi hamuwaheshimu wakwe zenu kabisa!

    Ona baba mkwe wa kiafrika hapa kakaa na mke wa mtoto wake Enzi hizo haya mambo yalikua nadra sana! Baba mkwe sio sawa na kituo cha Polisi tena😅😅😅 nasikia hadi kuna kabila huko kaskazini mwa Kenya (elewa vizuri) baba mkwe anamzalisha mke wa mwanae ili ukoo usipotee😂😂
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Nimemwambia jamaa yangu hili suala akae alitafakari. Hajaelewa. Hajiulizi kwa nini Iwe hivi kwa Wakwe na Mashemeji zake.

    Yaani kajitambulisha week mbili ago. Wakwe zake watarajiwa wanamsumbua kuwa atamwoa mtoto wao lini? Hazipiti siku mbili wanampigia au kumtumia msg kuwa asimsahau mwenzie pale kwao. Mashemeji zake nao wanamwambia shem mchukue dada yetu muanze furahia maisha. Yaani huyu mchumba kifupi pale kwao...
  20. U

    JamiiForums Tanzania Ukarimu Tuliopewa na Wakwe zetu kutokea Tarime tulipoenda peleka posa ni wakutukuka sana

    Wadau wa JF Hivi karibuni tulitembelea Tarime kwa ziara maalumu ya kutoa posa Nafurahi kuwajulisha Mchakato wote umekamilika ipasavyo na wahusika wanafurahia ndoa yao Niwashukuru kwa dhati Wakwe zetu kwa ukarimu mkubwa waliotuonyesha hususani kwa upande wa chakula Tulikula kila aina ya...
Back
Top Bottom