kibangubangu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2018
- 212
- 285
Kusema dunia itafika mwisho, ni kama kusema Mungu kazi yake aliyoianzisha imemshinda.
Ni sawa na kuanzisha biashara kisha ikakushinda na kufirisika.
Labda nyinyi binadamu,mnaojifikiria nyinyi tu, viumbe wabinafsi ndo mnaweza fika mwisho,ila inawezekana ndege wadudu na wanyama wakabakia, na dunia yao.
Eti DUNIA inafika MWISHO?
Kwahiyo inafika mwisho baada ya wewe kupata nafasi ya KUIONA?
Unaijua ilipo ANZIA hadi ujue inapo ISHIA?
UBINAFSI ni kutamani dunia ifike mwisho, baada ya wewe kuzaliwa.
Kabla yako kulikua na VIZAZI na baada yako kutakua na VIZAZI.
Biblia inasema miaka 1000 duniani ni sawa na siku moja mbinguni.
Kwa hesabu hizo inawezekana umeishi dakika moja tu duniani za Kimungu na kuona kama umeishiiii hadi kusema dunia imeisha.
Sasa fanya hivi malizia dakika zako, iache dunia kwa vizazi vijavyo acha ubinafsi na uoga wa kufa emoji23]
Sasa ni hivi fahamu kesho kuna dunia nzuri zaidi zaidi ya ile jana,zaidi ya ile yako.
Kuna miundombinu na sayansi bora zaidi.
Dunia ya kesho ni nzuri yenye utendaji ulioboreshwa.
Magonjwa yatapata tiba, umri wa kuishi utaongezeka.
Watu watapaaa kwa vyombo mbalimbali bila kutembea ,watu watajua vitu kwa kujazwa fahamu kisayansi bila mateso ya kwenda kukalili mashule watapata kila wanachotaka kwa ku-download kupitia sayansi na tekinolojia.
Pole kwa wewe unaye iacha dunia hivi karibuni