Search results

  1. Reptilia

    Yaani unanikataa kisa nina pigo za kichungaji!

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu Kuna Dem nimemfukuzia kama mwezi Moja hivi ila alichonijibu et Mimi Nina pigo za kichungaji Kiukweli Mimi sio mchungaji wala Nini ila sijajua kajifikiria nini kunitamkia hivyo halafu mimi mbona mtu fulani simple tu Kiukweli kanikata mzuka kabisa hapa nawaza ni...
  2. Reptilia

    Kuna uwezekano mechi ya leo Kagera Sugar alizunguka mbuyu

    Rejea headline hapo juu, Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya kuzidi ili wacheze tu ilimradi kuwa vutia mashabiki wa Simba kwenye mech ijayo dhid ya Wydad wawepo...
  3. Reptilia

    Wanaotunza pesa ndani wachukuliwe hatua za kisheria

    Moja kwa Moja kwenye mada rejea headline hapo juu. Kuna raia wanaweka pesa ndani kiwe kiasi kikubwa au kidogo inabidi serikali itengeneze kifungu cha kuweza kuwa bana hawa watu kwasababu wanapunguza mzunguko wa fedha mitaani. Ndiyo maana hali inaonekana kuwa ngumu kitaani, tukirejea pale...
  4. Reptilia

    Naomba kujuzwa jina la movie hii

    Habari wakuu, natumai mpo gudi, rejea kichwa cha habari hapo juu, Kuna muvi fulani hivi kwa ambae anaweza kuijua hata jina yenye pia ina maudhui ya mauaji ya kimbari pale Rwanda iko hivi; Kuna mwandishi wa habari inatokea sijui ni ufaransa inaingia pale Rwanda kipindi hicho vuguvugu la vita...
  5. Reptilia

    Pira Gamondi

    Rejea kichwa Cha habari hapo juu ,
  6. Reptilia

    Hivi kwanini yale mabinti chama la wana kitaa lakini ukienda wewe mwingine unapigwa cha mbavu?

    Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu. Hapo Abdalah wa kwa mzee mataluma kapita hapo akina juma chogo kashakula hapo Rashid chaung'aga...
  7. Reptilia

    Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

    Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya...
  8. Reptilia

    Nawezaje kuzipata tamthilia za zamani za kibongo kama vile Taswira, Ngurumo, Radi na Safina?

    Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC. Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin siku hambulia chochote TASWIRA NGURUMO RADI SUNAMI dah kitambo sana nadhan miaka ya 2005 hivi,mwenye...
  9. Reptilia

    Yaliyonikuta pande fulani hivi Buhongwa

    Habari mabibi na mabwana yu heri wa afya natumai hivo, Kwenye yanga sc na USM Alger( A.K.A KWENYE 1- NA- 2) kulingana na uchumi wangu ulivyo uki compare na gharama za madem wa siku hizi bila pesa huwezi kumiliki demu nikaona isiwe kesi kwangu niliamua kujicode mitaa fulani kwenda kupunguza...
  10. Reptilia

    Kuanzishwa kwa michezo ya kubahatisha kwenye redio hapa Tanzania kuna manufaa gani kwa nchi yetu?

    Msinichoshe wala nisiwachoshe, rejea kichwa cha habari hapo juu kuhusu hizi redio kubwa hapa Tanzania kuanzisha michezo ya kubahati ya kimkakati, nime 'experience' kwa redio zifutazo; Clouds wana #mchongo pesa Wasafi wana #chota mahela East africa wana #peseka Radio free wana #bustika minoti...
  11. Reptilia

    Nyetuka kistaarabu

    Rejea kichwa cha habari hapo juu, Rais alitoa takwimu siku mbili tatu zilizopita ya kwamba asilimia kubwa ya jinsia ke wapo wengi sana kuzidi sisi jentromen. Ukizingatia uchumi ulivyo, hivo basi wanaume tupaswa kudhibit matumizi ya pesa.
  12. Reptilia

    Nani yupo nyuma ya Nabii tito?

    Nikiwa mitaa ya hapa mjini kati karibu na stendi kubwa halimashauri ya mji kahama mara namuona mtu aliyebeba mabango akipita mbele yangu huku akiwa mengine ameyakilia nilivomtazama zaidi niligundua ni nabii tito ,hivi huyu mtu ajapona tu au kuna watu wapo nyuma yake. Pia amewezaje kufika huku...
  13. Reptilia

    Msaada wakuu Tv kutoonyesha picha kupitia AV1 na AV2

    HABARI WAKUU, Rejea kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kwenye moja nambili nikwamba tv yangu haichukui picha kupitia AV1 NA AV2 lakn ukichomeka kupitia mfumo huu wa (y cb cr) inaonesha lakn inakuwa haina rangi,, tatizo ni nini hapo wakuu?
  14. Reptilia

    Tatizo la kuishiwa damu mara kwa mara

    Rejea kichwa cha habari hapo juu,hili tatizo la kuishiwa damu lilinianza 2017 mwanzon kabisa hilivofika mwez wa sita hali ikawa mbaya sana nikaenda hospital nikapimwa wingi wa damu na vipimo vilionesha damu ipo g/dl 2.1 nikapew kitanda nikaongezewa damu nyingine nilikaa kam siku tatu...
  15. Reptilia

    Hivi kunatofauti gani kati ya AUTISM na INTROVERT

    Rejea kichwa cha Habari hapo juu,, naona Kama dalili zinafanana, je kuna utofauti hapo
  16. Reptilia

    Msaada, naomba kufahamu matumizi ya black list kwenye simu

    Wadau habari za mchana,,mimi sina maneno mengi sana zaidi nataka kufaham matumizi ya black list kwenye simu.. Kuna jamaa yangu anadai kuwa ananitumia text lakini mimi sizioni yeye anasema ujumbe unapokelewa lakini kwangu sioni meseji yoyote ile anasema hilo tatizo linaonekana kwenye namba yangu...
  17. Reptilia

    macho yananisumbua

    wadau kama kichwa cha habari nilivokianisha hapo juu yaan nasumbuliwa na macho..nikiangalia kwenye kioo naona kama vile mtoto wa jicho upande wa uweupe pia kunakuwa kama vile mchanga na uhisi kwenye macho vile vile tongo tongo baada ya mda fulan pia jicho moja la kulia siona mbali tafadhal...
  18. Reptilia

    Utafiti;Jiji la mwanza linapendwa sana na watu wa kanda ya ziwa hasa kama.

    Hilo nimelishuhudia hapa kahama mkoan shinyanga yaan neno mwanza nalisikia kila siku au mara kwa mara hapa kahama..utafiti unavoonyesha watu wa huku wanataman sana kwenda kwenye hilo jiji la raha sema tu wengi wao hawana ndugu... Nawasilisha.
  19. Reptilia

    Natafuta mke wa kuoa,,,aliyetayari kuwa na mnyamwei aje pm nitambariki...

    Rejea kichwa cha habari hapo juu,,natafuta mke wa kuoa..mm nina miaka 40,,mke mtarajiwa awe na miaka kuanzia 20 had 35,awe kipotabo kidogo awae na kamzigo kidogo awe maji ya kunde mnakaribishwa..
  20. Reptilia

    Hivi Godwin Gondwe alikuwa 'pedeshee' hapo nyuma?

    Wakuu hivi yule Godwin Gondwe Mkuu wa Wilaya ya Handeni alikuwa pedeshee hapo nyuma kabla ya kuwa DC? Nimemskia kwenye kibao cha Papii Kocha na Mzee Viking kiitwacho Seya.
Back
Top Bottom