Hivi kunatofauti gani kati ya AUTISM na INTROVERT

Reptilia

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
822
787
Rejea kichwa cha Habari hapo juu,, naona Kama dalili zinafanana, je kuna utofauti hapo
 
Introvert sio wagonjwa...ni watu tu na tabia ya kuwa wenyewe...hawaongei sana na watu ambao hawajawazoea

Autism ni disorder(sio ugonjwa) maana hausababishwi na bacteria/virus...ambao unaathili mtu anashindwa kuongea vizur nk nk
 
Back
Top Bottom