Msaada: Nashindwa kupakuwa movies

Reptilia

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
822
787
Napata shida sana kwenye kupakua movie kwenye website ya www.netnaija.com, yaani unaanza vizuri tu lakini ukishafika kwenye sehemu ya kupakua muvi na subtitle ukishapress tu ili ikupeleke kwenye file la subshare inakuwa kinyume chake wanakupeleka kwenye mabeting mara mdundo na ma ads mengine ya hovyo. Lakini kipindi fulani nilikuwa napakuwa fresh tu. Sijajua tatizo nini?
 
Mkuu hiyo sio shida mkuu ikukupeleka huko back kurudi nyuma mimi inanifanyia hivyo kama mara mbili ila nafanya hivyo hivyo inakuja inapakua fresh hakuna shida mkuu.
 
kingine ukihamisha baadhi ya movie kutoka kwenye simu uweke kwenye pc zinakataa format
 
Hayo ni matangazo Yana pop up juu ya page husika. Hapo chakufanya download application ya addguard au tumia incognito web.
 
Download application inaitwa adsblocker.......hiyo ni kiboko ya hayo matangazo uchwara
 
Mkuu hiyo sio shida mkuu ikukupeleka huko back kurudi nyuma mimi inanifanyia hivyo kama mara mbili ila nafanya hivyo hivyo inakuja inapakua fresh hakuna shida mkuu.
sasa hivi mimi inagoma sijajua shida ni nini
 
Back
Top Bottom