Hivi kwanini yale mabinti chama la wana kitaa lakini ukienda wewe mwingine unapigwa cha mbavu?

Reptilia

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
822
787
Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu.

Hapo Abdalah wa kwa mzee mataluma kapita hapo akina juma chogo kashakula hapo Rashid chaung'aga kasha maliza hapo na wengine kibao.

Lakini ukiskia hvo nawewe unajipanga ukapatae utamu wa kimasihara unaambuli CHA MBAVU kilichotukuka yaani inakuwa ripoti kubwa zaidi hata ya ile ya DP World.
 
Habarini wakubwa kwa dogo, poleni kwa miahangaiko ya usiku na mchana rejea head hapo juu kitaa huwa hawakosekani mademu kama hao unakuta jamaa wanakwambia unamchek huyo demu maji kijiko kimoja tu, hapo Abdalah wa kwa mzee mataluma kapita hapo akina juma chogo kashakula hapo Rashid chaung'aga kasha maliza hapo na wengine kibao,,, lakini ukiskia hvo nawewe unajipanga ukapatae utamu wa kimasihara unaambuli CHA MBAVU kilichotukuka yaani inakuwa ripoti kubwa zaidi hata ya ile ya dp weridi
Huna pesa, acha kusumbuwa watu.
 
Hakikisha una hela
 
Back
Top Bottom