Kuna uwezekano mechi ya leo Kagera Sugar alizunguka mbuyu

Reptilia

JF-Expert Member
Feb 21, 2018
822
787
Rejea headline hapo juu,

Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya kuzidi ili wacheze tu ilimradi kuwa vutia mashabiki wa Simba kwenye mech ijayo dhid ya Wydad wawepo kwa wingi ya magoli mepesi sana hasa yale mawili ya mwisho.

Mabeki hata hawaruki kabisa, hata lile la Bocco ni goli la mchongo kabisa, hakuna wachezaji pale simba wanacheza kimiemko sana.
 
Hii ni timu ndogo kama yanga,Simba cl timu kubwa itaanzaje kuwaonga tìmu ndogo.. timu ndogo ndio huwa ìnaonga achezaji wa timu kubwa..kama yanga ilivyo waonga baadhi ya wachezaji wa simba cl na kipa..ndio maana manula na wengine ni benchi tu mpaka mwisho
 
Rejea headline hapo juu,

Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya kuzidi ili wacheze tu ilimradi kuwa vutia mashabiki wa Simba kwenye mech ijayo dhid ya Wydad wawepo kwa wingi ya magoli mepesi sana hasa yale mawili ya mwisho.

Mabeki hata hawaruki kabisa, hata lile la Bocco ni goli la mchongo kabisa, hakuna wachezaji pale simba wanacheza kimiemko sana.
Vita ya ushoga ngumu sana
 
Lini Kagera walikuwa na plans wakicheza na timu kubwa?! Kabla ya mechi timu yenyewe ipo chini chini kwenye msimamo, iweje ajabu ikifungwa na Simba
leo it was obviously, kama wamepewa pesa wafanye mazoezi na simba
 
Rejea headline hapo juu,

Kulingana na mechi iliyochezwa leo pale uhuru Simba vs Kagera Sugar kuna namna imefanyika hata ukiangalia wachezaji wa Kagera wanavocheza kama vile wamepewa vyanzo vya kuzidi ili wacheze tu ilimradi kuwa vutia mashabiki wa Simba kwenye mech ijayo dhid ya Wydad wawepo kwa wingi ya magoli mepesi sana hasa yale mawili ya mwisho.

Mabeki hata hawaruki kabisa, hata lile la Bocco ni goli la mchongo kabisa, hakuna wachezaji pale simba wanacheza kimiemko sana.
Iyo mbona Iko wazi tu, Kagera katumika kutoa motisha kwa mashabiki waende uwanjani JUMANNE, zile goli 2 za Simba na aina ya mchezo walioucheza Kagera ni aibu kwa timu inayojinasibu eti inataka kufuzu robo fainali ya caf champions league, pamoja na Kagera kucheza chini ya kiwango kwa maelekezo ya bahasha bado makolo wana kazi kubwa sana ya kufanya uwanjani, wasipobadilika haraka Kuna kichapo kingine kinakuja mbele ya Azam!
 
Ukizoa kutoa hela unaona mwenzako pia anafanya kipindi wanasiasa wanaaahidi donge nono kwa team itakayoifunga simba kina mwigulu mavunde mdogo wake GSM kipindi wanaahidi hela kwa team itakayoifunga simba ulikuwa wapi mkuu ila siwalaumu kwasababu sifa ya kwanza ya kuwa shabiki wa yanga ni lazima uwe mlalamishi ndio maana tumewaachia uwanja wa AZAM.
 
Back
Top Bottom