Reptilia
JF-Expert Member
- Feb 21, 2018
- 855
- 834
Mu hali gani wadau poleni na mchakato mzima wa DPW pamoja na TEC. Rejea kichwa cha habari hapo juu nataman sana kuzipata hizo tamthilia nimejaribu kuzitafta youtube na platform mbali mbali lakin siku hambulia chochote TASWIRA NGURUMO RADI SUNAMI dah kitambo sana nadhan miaka ya 2005 hivi,mwenye kujua chocho gani naweza kuzipata anipe maelekezo.
Shukrani sana wadau
Shukrani sana wadau