Search results

  1. Abu Ubaidah Commando

    Wanarudishwa katika Makaburi yao baada ya kufukuliwa na kuiba viungo vyao

    Taarifa hii nimeipata 6 Days ago Mashahidi wanarudishwa katika makaburi yao baada ya kufukuliwa na Mazayuni na kuiba viungo vyao. Huu ni unyama na ukatili wa hali ya juu kwa Wapalestina. Nsoji go Nvaa , Njoo huku uone unaowaunga mkono. Mods, nitawashangaa sana mkiufuta ama kuuhamisha uzi huu.
  2. Abu Ubaidah Commando

    Wamarekani wasusia hotuba ya Biden wakitaka kumalizika kwa vita kwenye Ukanda wa Gaza

    Wamarekani wanasusia hotuba ya Biden, wakitaka kumalizika kwa vita kwenye Ukanda wa Gaza. Source: Aljazeera
  3. Abu Ubaidah Commando

    ALLAH akulipeni zaidi kwa kilichobora, na akuzidishieni katika mema ya mizani yenu enyi WAJA wa ALLAH wa OMAN 🇴🇲

    Tafsiri👇 *Wakati wa mahubiri/Khutbah ya jana ijumaa, 5/1/24 kutoka ndani ya vituo vya makazi vilivyozingirwa na karibu na maeneo ya mapigano huko Jabalia, Kaskazini mwa Gaza*Wakati wa shughuli ya Kutoa misaada ya Jumuiya ya Wahisani ya Al-Falah ndani ya vituo vya makazi na chini ya uangalizi wa...
  4. Abu Ubaidah Commando

    Norwegian Man Breaks down after accepting Islam

    Mnorway Asilimu.....Baada ya kutoa Shahada amelia machozi kwa hisia za kiiman.....Allah ampe Istiqama yeye na sisi pamoja. Katika Surat An-Nasr (The Help) بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ إِذَا جَاءَ نَصْرُ اللَّهِ وَالْفَتْحُ An-Nasr 1 Itakapo kuja nusura ya Mwenyezi Mungu na ushindi...
  5. Abu Ubaidah Commando

    Avihai Levy: Ninaogopa, ninajikojolea usiku na siwezi kulala

    Mwanajeshi wa Israel Avihai Levy akiwa kwenye Knesset: "Ninaogopa, ninajikojolea usiku na siwezi kulala kutokana na kile nilichokiona huko Gaza"
  6. Abu Ubaidah Commando

    Algeria yazuia Ndege ya Marekani inayosafirisha Silaha kwenda Israel kutoka anga yao

    Algeria prevents a US aircraft carrying weapons to israel from flying over their space Kwa msaada wa google: Algeria yazuia ndege ya Marekani iliyobeba silaha kuelekea israel kuruka juu ya anga yao. Safi sana الجزاير/Algeria💪🏽❤1🇩🇿
  7. Abu Ubaidah Commando

    Ehud Olmert: Lazima vita isitishwe na kumuondoa Netanyahu madarakani

    Waziri Mkuu wa zamani wa Israel Ehud Olmert: Lazima vita isitishwe mara moja huko Gaza na kumuondoa Netanyahu madarakani kwa haraka iwezekanavyo. Source: Al-Jazeera
  8. Abu Ubaidah Commando

    Israel: Wamekaribishwa na kupokewa, end of the day waliwageuka!👇

    Poleni sana Ndugu zetu waislamu kwa mitihani mnayopitia dhidi ya wazayuni laanatullah alayhim Wamewakaribisha na kuwapokea kwa wema, ila end of the day kilichowakuta sub haanallah, kama mnavyoona clip hii👇 وَلَنْ تَرْضَىٰ عَنْكَ الْيَهُودُ وَلَا النَّصَارَىٰ حَتَّىٰ تَتَّبِعَ مِلَّتَهُمْ ۗ...
  9. Abu Ubaidah Commando

    Kwa hiki wanachokifanya Israel dhidi ya watoto, wamama na wazee 👇

    Kwa hiki kinachoendelea kwa Wazayuni laanatullah alayhim dhidi ya ndugu zetu Palestina, je! Nitaachaje kuungana na Freedom Fighters/Hamas na kuwauwa hao makafiri wa kizayuni! Nitaachaje kupigania uhuru wa nchi yangu dhidi ya makafiri hao!! Ewe Mwenyezi Mungu, wanusuru hawa ndugu zetu wa...
  10. Abu Ubaidah Commando

    Nilikuwa nacheki bongo movie kupitia Azam, ni fedheha sana

    Nilikuwa nacheki bongo movie mchana wa leo kupitia azam 😁 dah ni fedheha sana, ni aibu mno, mimi ni mfuatiliaji mzuri sana wa ERTUGRUL na kwa sasa OSMAN, kwakweli waturuki wapo mbali sana, hii historia ya Ottoman inatufundisha mambo mengi sana ambayo huyakuti katika movie zetu za kibongo wala...
  11. Abu Ubaidah Commando

    Ndugu zangu nawaomba tuendelee kuwaombea dua wapalestina

    Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa. Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin! Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia...
  12. Abu Ubaidah Commando

    Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii

    Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha. Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za...
  13. Abu Ubaidah Commando

    Sioni aibu kukiri! Paul scholes

    Huyu ni fundi aitwae Paulo Scholes, kaona alitoe la moyoni kuhusu mchezaji huyu kuwahi kutokea.
  14. Abu Ubaidah Commando

    Osman/Ottoman Empire

    Kwenu Azam tv, azam two! Kiuchache tu nisiwachoshe wadau wenzangu na wafuatiliaji wa Osman/Ottoman Empire, inayofuatiliwa na watu wengi. Ombi langu kwenu Azam tv/Azam two, tunaomba tamthilia/Historia hii ya Osman, muongeze muda wa ziada, atleast li-saa li-moja na dakika thelathini (1.30hr)...
  15. Abu Ubaidah Commando

    Naweza kupata wapi Sabuni za Imperial kwa jumla?

    Kwema wananzengo? Anaejua zinapopatikana hizi sabuni anielekeze, naomba na bei yake kwa jumla, ndogo na kubwa tafadhali. Sitaki rejareja! Asanteni Usiku mwema!
Back
Top Bottom