Ndugu zangu nawaomba tuendelee kuwaombea dua wapalestina

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Sep 8, 2016
7,593
6,932
Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa.

Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin!

Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia nguvu, hakika kwa kila zito upo wepesi, na ahadi ya Allah ni yenye kutimia, Allah awatie nguvu waislamu wote wa Palestina tupo nyuma yao kwa dua na sala inshaaAllah

Sheikh rashidi shukery kutoka OMANI, Allaah akupe heri nyingi kwa kuwakumbuka ndugu zetu wapalestina.

Hivyo tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu wapalestina kwa mitihani wanayopitia.
 
Waache ugomvi watakwisha....naunga mkono Israel bamiza magaidi mpaka waishe manina zao fyuuuuu
 
Inasikitisha sana,,,,,haya mambo tuombe tu isijetokea Africa maana sio kwa hawa wachina waliojaa huku!
 
Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa.

Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin!

Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia nguvu, hakika kwa kila zito upo wepesi, na ahadi ya Allah ni yenye kutimia, Allah awatie nguvu waislamu wote wa Palestina tupo nyuma yao kwa dua na sala inshaaAllah

View attachment 2323090

Sheikh rashidi shukery kutoka OMANI, Allaah akupe heri nyingi kwa kuwakumbuka ndugu zetu wapalestina.

Hivyo tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu wapalestina kwa mitihani wanayopitia.
Unawaombea Wapalestina kwa Allah wakati kuna Aya inasema Jews wawauwe Palestinan wote... so kwa Wema wa Jews wakawasitiri na kuwaacha hai.. sasa Palestians ndio lengo lao kuwauwa Jews wote na hali ilivyo Jews ndio wanapambana kusurviver kama historia yao ilivyopambana hadi kuwepo leo hii...
 
Allah awajaalie na awakinge ndugu zetu wapalestina dhidi ya hao madhaalimu wakubwa.

Ushindi upo karibu sana, Allah muweza afanikishe, awape subra na awapumzishe mashaahidi wote pema peponi.. Aamiin!

Naomba muyasikilize maneno haya ya huyu mtoto wa kipaletina, Maneno ya uchungu na yenye kutia nguvu, hakika kwa kila zito upo wepesi, na ahadi ya Allah ni yenye kutimia, Allah awatie nguvu waislamu wote wa Palestina tupo nyuma yao kwa dua na sala inshaaAllah

View attachment 2323090

Sheikh rashidi shukery kutoka OMANI, Allaah akupe heri nyingi kwa kuwakumbuka ndugu zetu wapalestina.

Hivyo tuendelee kuwaombea dua ndugu zetu wapalestina kwa mitihani wanayopitia.
Kwa hiyo wewe unafikiri Mungu haini?Mungu alishamwambia Ibrahimu kuwa nchi ile amempa yeye na watoto wake. Wakubaliane waishi pamoja maana wote I watoto wa Ibrahimu.
 
Kuishi Tz ni raha sana asikwambie mtu; ila zingatia yafuatayo

Uwe na uhakika wa bando, hela ya usafir, chakula na mahitaji ya kila siku kwa zaidi ya miezi mitatu hata usipofanya kazi!

Uwe na mademu zako kama watatu hakikisha moja uwe nae karibu sana ukihitaji tu unapata!

Uwe na backup endapo utapata shida kubwa itakayohitaji hela kubwa

Uwe umelipa Kodi miezi sita plus
 
Back
Top Bottom